tiba

The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiugua ugonjwa ambao hauna tiba na ukapona, je inahitaji kupatiwa chanjo?

    Tumeona kati ya watu 200 million walioambukizwa na kuugua ugonjwa wa COVID-19, ni watu milioni 4 tu wamekufa. Ina maana zaidi ya million 190 wamepona bila kuwa na na specific treatment ya ugonjwa wa UVIKO-19. Ni kwamba miili ya wagonjwa hawa iliweza kujitengenezea specific antibodies against...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Vijana wabaka wazee wakiamini ni tiba ya UKIMWI

    Imeripotiwa katika makala za Russia Today(RT) kuwa vijana wa #Kenya wanaamini kutembea na aliyewazidi umri kunatibu UKIMWI Kwa kuwa sio wote wanaokubali kutembea nao, vijana huwabaka waliowazidi umri hasa wazee ambao wanakulikana kama 'Shushu' Wazee hao wameanza kujifunza kupigana ili...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu nini chanzo cha majipu na tiba zake sehemu za siri

    Habari zenu wana JF, Kuna magonjwa mengine kama yanadharirisha hivi jinsi ya kuyatamka kwa watu.. lakin ndo hvyo waswahli walishatwambia mficha malazi kifo umuumbua.. Mimi ndugu zangu nina tatizo la jipu limenitokea kwenye makalio pemben kidogo mwa njia ya haja kubwa.. Ni kama uvimbe ulio...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Maelezo ya kina ya Daktari wa Tiba za asili juu ya Chanjo ya Corona. Je, kuna ukweli wowote?

    Huyu ni daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika nyanja ya tiba za asili, na haya ni mawazo yake juu ya chanjo ya Corona. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa maoni, basi naomba tumsikiliza ana nini cha kutueleza. Video ipo chini
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Tiba la tatizo la low sperm count

    Habari wana Jf. Mimi n Mwanaume mwenye miaka 30, Nipo kwenye ndoa takriban 4yrs. Ndan ya hyo miaka sijabahitika kupata mtoto, nikahamasika kwenda hospital kupata vipimo na mke wngu ndipo ika gunduliko mm ndio mwenye shida nikiwa na tatizo la low sperm count. Kwa takriban 2yrs nahangaika na hili...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba ya masikio kulia kama kengele

    Wakuu habari, Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi. Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri.
  7. JamiiForums Tanzania WHO: Vifo vya Covid19 vimeongezeka kwa 43% kutokana na uhaba wa vifaa tiba Afrika

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani(WHO) kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti amesema wagonjwa wa #COVID19 wamekuwa wengi, nchi 10 zina uhaba mkubwa wa vitanda na oksijeni Kutokana na uhaba wa vifaa tiba ndani ya wiki moja vifo vimeongezeka kwa 43%. Huku 83% ya vifo vikirekodiwa zambia, Uganda...
  8. JamiiForums Tanzania Baada wa Watendaji wa Serikali za Mitaa Kawe 'Kutimka Mbio' Kuogopa 'Chatu' aliyeko katika pori la Chuo cha Tiba Lugalo msaada unahitajika

    Taarifa ambazo GENTAMYCINE nimethibitishiwa na Mamlaka ya Ofisi za Serikali ya Mitaa Kawe na Mtendaji Mwandamizi kutoka Jeshini Kambini Lugalo kilipo Chuo chao cha Tiba cha MCMS ni kwamba kuna uwepo wa Chatu mkubwa kiasi cha Kutishia Maisha ya Watu. Kwa takribani Siku tatu zimepita Wakazi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

    Naomba kufahamu madhara yatokanayo na kuangalia picha/video za ngono kwa watu wa aina zote, Wanaume kwa Wanawake...! - Tatizo jingine la mdau wa JF. ========= MAONI NA USHAURI WA WANAJF 1. 2. 3.
  10. JamiiForums Tanzania Njia ipi ni njema kidato cha sita au chuo kwa mtoto anayetaka kusomea tiba? Amemaliza kidato cha 4.

    Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji tiba ya mtu aliyepooza na uvimbe kwenye ubongo

    Wadau nina mgonjwa kapalalaizi tumeenda Muhimbili imesemekana ana uvimbe kwenye ubongo uliosababishwa na TB (kifua kikuu). Mwenye kujua dawa ya kuyeyusha huo uvimbe anisaidie, hata mawazo pia ntayapokea nilimradi nipate pa kuanzia.
  12. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada na ufafanuzi kuhusu uvimbe kwenye mayai na tiba yake

    Wataalam habari za Muda huu? Naomba msaada wa elimu katika hili. Baada ya kuishi na mke wangu kwa muda wa miaka mitatu Sasa bila kupata hata dalili yoyote ya mimba maana hata period yenyewe haieleweki unakuta mwezi huu kaingia tarehe hii mwezi ujao tarehe nyingine tena au inatokea inapita Ata...
  13. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani zakuchukua kabla yakufungua clinic ya tiba asili

    Amani ya Mungu iwenanyi wapendwa, Nimewiwa kuandika makala hii nikitaka kujua taratibu na hatua/taratibu za kufuata kiserikali. ili niweze kuwa na kliniki ya kutoa matibau ya mitishamba au store ya dawa za tiba asili. Asanteni wapendwa.
  14. JamiiForums Tanzania Ndulele au tura ni tiba ya asili ya nguvu za kiume

    Naam toa mti weka mti bila shaka huu mti unaitwa ndulelee au mtula tula ni mti mahalufu sana mti mdogo unamahajabu mwakubwa sana katk tiba za kiganga uwo tunaita mfichua au mwangaza ni atar sana leo nitatoa faida chache sana kwanza kabisa ww unao sumbuliwa na nguvu za kiume jogoo hapandi mtungi...
  15. JamiiForums Tanzania Homa ya Manjano (Homa ya Ini): Zijue athari, kinga na tiba za ugonjwa huu

    Hepatitis b (Homa ya Ini) ni maambukizi ya virusi kwenye Ini(Liver) . Ini likiambukizwa hatuna matibabu kamili na yakueleweka Tanzania. Hepatitis (Homa ya Ini) imekuwa tishio kwa miaka hii na hasa kwa vijana. JINSI HOMA YA INI INAVYOENEA 1.Ngono isiyo salama 2.Kuchangia nguo(Jasho na maji...
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Wakuu, nina tatizo la mwili kuwasha baada ya kumaliza kuoga tu. Hili tatizo lilijitokeza kama miaka mitatu iliyopita likatoweka lenyewe, sasa naona limerudi tena. Je, nini chanzo cha hii hali, ni maji ninayoogea? Ni sabauni ninazo tumia? Sina...
  17. JamiiForums Tanzania Zijue faida mbalimbali za kula papai kiafya

    Papai, tunda lenye ladha nzuri kama sukari, siyo tu ni tamu kulila, lakini ni chanzo kikuu cha virutubisho muhimu vinavyotoa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, yakiwemo yale hatari ambayo huchukua maisha ya watu kila kukicha. Leo soma faida za tunda hili ili ujiepushe na maradhi...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Habari JF Doctor na wana jamii wote. Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lakini hatujafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake. Kwa ufupi ni kwamba alianza tu kuwashwa jichoni, macho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…