Msaada: Tiba ya masikio kulia kama kengele

devinyo1987

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
269
367
Wakuu habari,

Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi.

Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri.
 
Wakuu habari,

Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi.

Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri.
Nenda Hospital ya Muhimbili kitengo ya "ENT" kaonane na wataalam watakusaidia. Pole sana.
 
Tinittus
Treatment
Intravenous Lidocaine 50mg-100mg(the best)
Intra-tympanic dexamethasone injection
Diazepam
Sodium valproate
Nenda kamuone ENT surgeon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom