Msaada wa Tiba la tatizo la low sperm count

Nyasa01

Member
Jul 23, 2021
6
45
Habari wana Jf.
Mimi n Mwanaume mwenye miaka 30, Nipo kwenye ndoa takriban 4yrs. Ndan ya hyo miaka sijabahitika kupata mtoto, nikahamasika kwenda hospital kupata vipimo na mke wngu ndipo ika gunduliko mm ndio mwenye shida nikiwa na tatizo la low sperm count.

Kwa takriban 2yrs nahangaika na hili tatizo, nilipewa dawa tofaut tofaut ikiwemo Chromiphene na Proviron zote kwa miez 6 kwa vipndi mbali mbali, lakin hazikuwez kutatua tatizo. Homone ,kolodin test hazina shida.

Nimekutana na dr. Bingwa wa masuala ya uzazi wa muhimbili lakn nae kachemka, alinishauli nifnye IUI (Intra utteran insermination ) na Ivf lakn gharama ziko juu kuliko uwezo ambao ninao.

Nimepitia post ambazo watu waliomba msaada JF hakuna ambae kaleta mlejesho kafanikiwa kupona au kupata njia mbadala ya kutatua tatizo .

Naomba kma kuna mtu kafanikiwa anipe msaada au kma kuna mtu anajua matibabu au msaada wa kutatua tatizo naomba msaada.

Asanteni.
 
Canon 2021

Member
Apr 10, 2021
41
150
Pole sana kwa tatizo ulilonalo..mimi ningekushauri ubadili aina ya vyakula unavyokula.pia niliona sehemu wanasema kama una low sperm count uwe na mazoea ya kunywa mchanganyiko wa karafuu ,kitunguu swaumu na tangawizi kutwa mara tatu.pia uwe unatumia asali mara kwa mara .kama hutojali jaribu kumchek dada mmja huko you tube anaitwa Jenniffaratta au tiktok anatumia jina hilo hilo.
 
Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,538
2,000
1. Acha punyeto
2. Fanya mazoezi
3. Kunywa maji ya kutosha
4.kula lishe bora, matunda, mboga za majani.
Mara moja moja piga Ally kasusu.
 
Prince Kesh Jr

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
424
1,000
Pole mkuu,jitahidi kula vyakula hivi mara kwa mara
1.Karanga
2.Mbegu za tikiti zina omega 3 fatty acids
3.Spinach zina high folic acid,zinasaidia mbegu ziwe bora kwa kutungisha.
4.Mayai,ya kienyeji ni bora zaidi.
5.Kunywa maji ya kutosha pamoja na mazoezi,pendelea kunywa fresh soup ya samaki.kwa uwezo wa mungu atakusaidia mkuu.
 
lyalya

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
418
500
Badilisha aina ya chakula unachokula kila siku , Muombe Mungu .majibu utayapata
 
Prince Kesh Jr

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
424
1,000
Pole mkuu,jitahidi kula vyakula hivi mara kwa mara
1.Karanga
2.Mbegu za tikiti zina omega 3 fatty acids
3.Spinach zina high folic acid,zinasaidia mbegu ziwe bora kwa kutungisha.
4.Mayai,ya kienyeji ni bora zaidi.
5.Kunywa maji ya kutosha pamoja na mazoezi,pendelea kunywa fresh soup ya samaki.kwa uwezo wa mungu atakusaidia mkuu.
Nyama nyekundu na maharage ni high rich in Zinc,madini ya zinc yanasaidia katika uzalishaji wa mbegu bora.🙏
 
Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
13,744
2,000
Mwanangu.. ongeza kula tende nyeusi nz maziwa (ukikosa) Lula tende za kawaida!

Utabarikiwa mfumo nzima.
 
Makandila9090

Senior Member
Aug 16, 2016
159
250
Tumia suppliment kwa mwezi mmoja inaitwa Multi vitamin with Zinc imetengenezwa na Centrum ukienda pharmacy kubwa zipo na bei yake ni ya kawaida. Zinc inasaidia sana masuala ya male fertility ina boost

Usiache kufanya mazoezi na kula vyakula vizuri epuka vyakula vya mafuta mengi,pia punguza/ acha kabisa stress/mawazo, maana sio kwamba huna mbegu zipo lakini ni chache so unaweza ukatungisha mimba mkuu (wengine huwa wana zero sperm count wewe una low sperm count- ooligospermia relax kabisa utapata mtoto)

Mwisho mtoto ni zawadi tupewayo na Mwenyezi Mungu, usisahau kumuomba kwa imani yako atakupatia kwa wakati sahihi. Kila la heri nakuombea kwa Allah awajalie wewe na mwenzi wako.
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,603
2,000
Mkuu pole kwa tatizo la Low Sperm count ushauri uliopewa ikiwa hauja kusaidia nitafute mimi ili niweze kukutibia matatizo yako upate kupona uguwa pole.
 
mweusi asili

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
1,168
2,000
Kuwa low sperm count haikufanyi usipate mtoto cha kufanya licha ya yote iyo tiba,vyakula, mazoezi nk nakushauri jaribu kupunguza siku za kutom.ba unapotaka kutafuta mtoto mfano mzunguko wa mkeo siku anazoweza kuconceive labda tarehe 20 ktk mwezi huo basi jaribu jaribu ku abstain kwa kipindi chote mpaka tarehe mtakazokutana
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,603
2,000
Mpe tiba hapa tatizo lako mzizimkavu ni tamaa
Tiba inatolewa bure? Ukiona tiba inatolewa bure ujuwe hiyo sio tiba na haiwezi kuponyesha mgonjwa. Hata hospitali zipo za aina 2 Hospitali za bure hakuna tiba nzuri na Hospitali za pesa kuna tiba nzuri.Subiri waje wana Group wampe tiba ya bure tuone kama ataweza kupona matatizo yake.
 
Sawa
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,603
2,000
Kuwa low sperm count haikufanyi usipate mtoto cha kufanya licha ya yote iyo tiba,vyakula, mazoezi nk nakushauri jaribu kupunguza siku za kutom.ba unapotaka kutafuta mtoto mfano mzunguko wa mkeo siku anazoweza kuconceive labda tarehe 20 ktk mwezi huo basi jaribu jaribu ku abstain kwa kipindi chote mpaka tarehe mtakazokutana
Kuwa na Manii ndogo kunaweza kumfanya asiweze kumshikisha mwanamke mimba Mkuu.
A low sperm count, also called oligozoospermia, is where a man has fewer than 15 million sperm per millilitre of semen. Having a low sperm count can make it more difficult to conceive naturally, although successful pregnancies can still occur.
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
17,950
2,000
Pole mkuu,jitahidi kula vyakula hivi mara kwa mara
1.Karanga
2.Mbegu za tikiti zina omega 3 fatty acids
3.Spinach zina high folic acid,zinasaidia mbegu ziwe bora kwa kutungisha.
4.Mayai,ya kienyeji ni bora zaidi.
5.Kunywa maji ya kutosha pamoja na mazoezi,pendelea kunywa fresh soup ya samaki.kwa uwezo wa mungu atakusaidia mkuu.
Asisahau sala na maombi pia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom