tiba

The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tiba ya homa ya ini

    TIBA YA HOMA YA INI NI IPI? Ndugu zangu, Wanajukwaa wenzangu Kuna Ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na Maumivu ya Mbavu za Kulia pamoja na Kukojoa Mkojo wenye rangi ya Kahawia na Kutokwa na Jasho Jingi wakati wa Usiku. Baada ya vipimo alionekana ana hepatitis B na Tayari ini limeshaanza...
  2. JamiiForums Tanzania Mdau: Je, kwenye Taaluma ya Tiba kuna walakini?

    Rafiki yangu amelazwa kwenye hospital kubwa kuliko hapa nchini. kabla ya kulazwa alianzia hospital ya mkoani wenyewe wanaziita za rufaa baadae akapewa rufaa kuja hospital moja yenye jina kubwa DSM. Tatizo lake halikupata ufumbuzi it is like they were treating shadow. Hivyo akaamua kuomba rufaa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Umagufuli ndio tiba ya kudumu ya maradhi ya ufisadi, rushwa na uzembe

    Nikikumbuka zoezi la mchakato wa awali la usaili kwa ajili ya ajira za TRA lilivyochukua muda mrefu nikaamini zoezi hilo lingekuwa na umakini mkubwa lakini sivyo zoezi hilo liligubikwa na uzembe, ufisadi na rushwa. Katika hali isiyitarajiwa kijana mmoja alijikuta akiongea kwa uchungu na kusema...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada: Uso wangu upo rafu sana, nina mba sana na nimeshatumia antifungal creams za kila aina

    Uso wangu upo rafu sana..nina mba sana na nimeshatumia antifungal creams za kila aina ila bado mambo bado,hata za kumeza pia kama fluconazole,itraconazole lakini mba unaisha na uso unakaa vizuri kwa siku chache tu mba wanarudi tena kwa kasi ya ajabu. Wakuu mwenye experience ya hii shida...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

    Habari ya leo wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Ningependa nipate msaada wenu kwa kunifahamisha dawa au tiba ya Uric acid nyingi mwilini. Natanguliza shukrani
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI --- --- UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI Tatizo la kutokwa ana jacho mwilini, mikononi na miguuni: Ugonjwa huo unaitwa HYPERHIDROSIS. Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe...
  7. JamiiForums Tanzania Anayeoa hajui ndoa na anayeolewa hajui ndoa. Usela endelevu hauna tiba

    Hello, Je waoaji na waolewaji wanafahamu na kupata maarifa ya kutosha kuhusu ndoa, why ndoa? Uishije ndoa? Road map ya ndoa inarejea msingi ngapi na ni zipi. Usipojua haya huna tofauti na masela wenye jinsia tofauti ila wako ghetto na wana mishe mishe fulani. Hitimisho kama walioa na...
  8. JamiiForums Tanzania Wenye tatizo la nguvu za kiume, tiba imefika Aga Khan

    Wanaume wanaokabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, sasa watapata ahueni baada ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKUH) kufanikisha upasuaji wa kupandikiza uume kutibu tatizo hilo. Upasuaji huo ambao ni wa kwanza kufanyika katika ukanda wa Afrika Mashariki, umekuja wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kujitibu

    KAIMU Mkurugenzi wa huduma za tiba Wizara ya Afya Dk. Caroline Damiani, amesema, zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kwa ajili ya kujitibu magonjwa mbalimbali kabla ya kwenda katika vituo vya kutolea huduma za afya au baada ya kupata huduma katika vituo vya kutolea huduma za...
  10. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Kweka wa Magic FM: Wanaosali muda mrefu wana 'Uwendawazimu' wanahitaji Tiba ya haraka ya Kisaikolojia

    "Haiwezekani Mtu unasali Kuanzia Saa 12 asubuhi hadi Saa 12 Jioni au hata kwa Masaa 8 mfululizo ukawa Salama Kichwani mwako. Napenda mno Ratiba za Ibada za Waislamu na hata Madhehebu mengine ya Kikristo ambapo zimepangiliwa kabisa muda na hauzidi dakika 45 mpaoa dakika 90 au 120 tu na hazizidi...
  12. JamiiForums Tanzania Nini tiba ya maradhi ya Kidney cyst?

    Kwa muda wa mwaka sasa nimepimwa na kukutwa na hili tatizo katika figo ya kushoto( Kidney cyst 2.9cm x2.5cm ).Wakati mwingine huwa nasikia maumivu upande wa kushoto. Madaktari wanasema haina madhara ila maumivu wakati mwingine yanasumbua.Nini hasa tiba ya huu ugonjwa ikiwezekana hata tiba...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, baada ya madarasa kituo kinachofuata kiwe vifaa tiba vya msingi kama mashine za Ultrasound, Haematology, Analyserachine na X-ray

    Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa vya afya vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo lakini havina hali inayo pelekea wangonjwa kusafiri 20...
  14. JamiiForums Tanzania Tiba ya malumbano yote ni Katiba

    MALUMBANO YOTE MSINGI WAKE MKUU NI KATIBA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na majibizano na hoja nyingi zinazoibuliwa na baadhi ya watu Mashuhuri. Majibizano haya yamezua mijadala mikubwa mitandaoni.Kila mtu anaibuka na umahiri wake mkubwa katika kutetea hoja yake anayoiamini. Hoja za...
  15. JamiiForums Tanzania Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya Kisonono

    Natumai mu wazima wa afya, Kwa yeyote anayefahamu tiba ya kisonono anisaidie, nilikwenda hospital nikapewa dozi ya vidonge. Dozi ilikuwa ni metro siku 2,cpro siku 5 na doxn siku 7 lakini haikusaidia kitu. Nimerudi hospital tena nikaandikiwa sindano moja kila wiki kwa wiki tatu pamoja na...
  17. JamiiForums Tanzania Ijue bustani ya asili yenye mimea lishe / tiba adhimu.

    Najua mpo mnaopenda kuenzi mambo ya asili, basi pitia hiyo atacchment naamini kuna kitu utajifunza. Kwa ufupi Posh Garden ni sehemu ambapo tunajishughulisha na uoto wa asili na kufanyia kazi tafiti mbalimbali.
  18. JamiiForums Tanzania Elimu yetu inahitaji tiba, iko hoi katika kitanda cha mauti

    Najaribu kutafakari ni vipi tunaweza kujikwamua ili tuwe na elimu bora, lakini nakosa majibu. Huenda shida si mtaala au content ya kinachofundishwa. Inawezekana tuna mtaala mzuri lakini tumeshindwa kudhibiti ubora wa elimu katika Mambo mengine. Kwangu shida kubwa katika mfumo wetu wa elimu ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kagera: Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122

    Mbaroni kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vya Sh milioni 122 Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia, Anicetha Johannes (24) mkazi wa Omukigusha kata ya Bilele muuzaji wa vyuma chakavu kwa kosa la kukutwa na vifaa tiba vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 122. Kamanda wa polisi Mkoa wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini hospitali zina mchoro na picha ya nyoka?

    Habari zenu wana Jamvi. Nimefuatilia sana hili suala na nimeamua kuomba msaada na majibu,kwa wale wanaoiamini Biblia ktk historia ya Kuumbwa kwa Adamu na HAWA kiumbe huyu Nyoka ndiye aliyetumiwa na shetani kumdanganya HAWA na baadae Adamu na hivyo wakaingia ktk Dhambi na Mungu akaweka Uadui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…