tiba

The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Papa hawapati saratani hivyo wanaweza kutumika kama tiba ya saratani?

    Kumekuwa na taarifa kuwa samaki aina ya Papa ana uwezo wa kuzuia saratani na anaweza kutumika kama tiba ya saratani. Ni upi uhalisia wake?
  3. JamiiForums Tanzania Tiba za nywele

    Nywele zinaweza kutibiwa njia mbalimbali Kemikali Mimea Mafuta Hivi vyote vinaweza kuchanganywa katika bidhaa Shampoo Conditionner Steaming Proteins Mafuta ya Maji/ Mgando Lotions KEMIKALI Kemikali mbalimbali za viwandani uwekwa katika bidhaa ili kupata matokeo...
  4. JamiiForums Tanzania Figo kuanza kufeli: Fahamu dalili na tiba yake ya mimea

    Dozi hii tuloandaa ni elf 50
  5. JamiiForums Tanzania Tiba za kihindi (ayurvedic) na za asili za Tanzania malipo ni baada ya kupokea mzigo

    Hernia powder;shs 40,000 dozi Siku 7 ni dawa ya Asili inatibu tatizo la ngiri na uvimbe, Korodani kushuka na kuingia ndani,maumivu ya Korodani, ume kulegea au korodani kuvimba, homoni msawazo shs 40,000 dozi siku 28 ni dawa bora ya kutibu magonjwa yote ya uzazi -Ugumba, Pid, chango la...
  6. JamiiForums Tanzania Tafuta mtu asiyekujua mlipe pesa akutukane bila sababu ni tiba kubwa sana

    Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena...
  7. JamiiForums Tanzania Uliza Swali lolote kuhusu Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba (Herbal)

    Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 10 kwenye eneo la Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba nilojifunza maeneo tofauti kuanzia Guangzhou, Dubai , MUHAS (Muhimbili kitengo cha tiba asili) na tafiti kwa matabobi wakongwe . Nitakuwa nashare nanyi uzoefu na kutoa kozi fupi fupi za wanaopenda kubobea maeneo...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Tiba ya macho ya majani yanayoota pembezoni mwa mto

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Kuna rafikiangu kwa sasa ni marehemu alikuwa anasaidia yoyote mwenye tatizo la macho,hasa ile hali ya mtoto wa jicho au hata jicho linaloanza kuwa na uoni hafifu au kuwa kama na ukungu hivi. Huyu jamaa yangu marehemu alikuwa anachuma majani fulani mabichi...
  9. JamiiForums Tanzania Andaa tiba hii ya vidonda vya tumbo (ulcers) na ulete mrejesho

    mtomoko mjaafari kokwa la parachichi Chukua mimea ifuatayo:1.Unga wa matunda ya mtomoko (Annona Cherimola) 500 gm2.Unga wa kokwa la parachichi (Persea Americana) 500 gm3.Unga wa mizizi ya mjaafari...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Diploma in physiotherapy (mazoezi tiba).

    Habari za wakati huu wana jamii forum. " Bro, naomba kujua kuhusiana na kozi ya Diploma in physiotherapy (mazoezi tiba), kuanzia kwenye chuo kizuri kinachotoa hiyo kozi (kwa vitendo zaidi) , nafasi za intern, uhitaji wake katika jamii na upatikanaji wa ajira (serikalini na private)" Naomba...
  11. JamiiForums Tanzania Mwongozo Kamili: Chanzo, Kinga, na Tiba ya Harufu Mbaya Sehemu za Siri

    Tatizo la kunuka sehemu za siri husababishwa na mabadiliko ya bakteria wa asili, maambukizi ya fangasi, magonjwa ya zinaa, au ukosefu wa usafi sahihi, na linaathiri jinsia zote mbili. Ingawa umma unadhani ni tatizo la wanawake pekee, wanaume pia hupata changamoto hii kutokana na muundo wa miili...
  12. JamiiForums Tanzania IJue U.T.I ,chanzo, dalili, madhara na tiba

    U.T.I NI NINI U.T.I. (yaani Urinary Tract Infection kwa kirefu) ni ugonjwa unaotokana na maambukizi (infection) katika mfumo wa mkojo (urinary tract). Maambukizi haya yanasababishwa na bakteria tunamuita E.coli ZIPI DALILI KUJUA UNA U.T.I 1. Kukojoa mara kwa mara na maumivu ukikojoa. Wengi...
  13. JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa GOUT, chanzo, dalili, madhara na tiba yake

    Gout/Jongo ni ugonjwa sungu wa jamii ya YABISI ambao umefahamika kwa miaka mingi sana. Inasadikika kuwa watu wa kwanza kuutambua ugonjwa huu walikuwa watu wa Misri, kunako miaka ya 2640BC. Mtaalamu wao wa tiba Hippocrates aliuita ugonjwa huu “Ugonjwa Wa Kumfanya Mtu Asitembee†na aliuhusisha...
  14. JamiiForums Tanzania Tiba ya kifafa hutegemea chanzo cha kifafa kama ifuatavyo

    Kifafa ni ugonjwa sugu wa neva unaosababishwa na mabadiliko ya ghafla ya mfumo wa umeme wa ubongo. Hali hii huleta mshituko na kusababisha mtetemeko (degedege), kukakamaa kwa mwili, na kupoteza fahamu Dalili za Kifafa Dalili hutegemea eneo la ubongo lililoathiriwa, lakini mara nyingi...
  15. JamiiForums Tanzania Ujue Mmea wa Mjaafari tiba za Vidonda vya tumbo

    Kutokea uzoefu wa elimu ya mimea tiba na uhusiano wake na elimu ya viungo vya mwili vilipo(Anatomy) na elimu ya mwili unavofanya kazi (Physiology), Huu ni muunganiko wa maarifa mengi yaliyo katika taarifa za kisayansi. Kwa mfano leo tuelezee uwezo-tiba wa Mjafari (Zanthoxylum chalybeum), lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa watalam wa tiba asilia. Je mtoto wa miaka 2 anaweza kutumia kitunguu swaumu?

    Habari wakuu. Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza?? Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote. BabaVladimir [USER=227987]BIN NUN @At el
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Inaelezwa kucheka ni tiba na huimarisha afya ya mwili

    Nimekutana na huu ujumbe Facebook je, kinachozungumzwa ni cha kweli? Kucheka si tu ishara ya furaha — ni tiba ya mwili na akili pia! Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa kucheka husaidia kupunguza msongo wa mawazo (stress), huimarisha kinga ya mwili, na hata kuboresha afya ya moyo. Wanasayansi...
  18. JamiiForums Tanzania Vaa KONDOMU. Kinga ni bora kuliko Tiba.

    Vaa KONDOMU jikinge na maambukizi yasiyo na sababu. Kumekua na kawaida wanawake hawataki uvae condom wanataka upige kavu. Nakukumbusha vaa Condom.
  19. V

    JamiiForums Tanzania Tiba ya ndoa hii hapa

    SIKILIZA kwa umakini utajifumza na ndoa Yako itastawi au utawsaidia wengi https://youtu.be/EE1cGJZuNmo?si=u8Fa9QNg-n9F9wkO
  20. JamiiForums Tanzania Maelezo ya jumla kuhushu miwasho na tiba yake

    Kuwashwa (Itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unaokera kwenye ngozi unaokufanya utamani kukuna sehemu iliyoathirika unaweza Kuwashwa sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima KUWASHWA HUSABABISHWA NA NINI? Kuna sababu nyingi za Kuwashwa, ni pamoja na Kuzeeka kwa ngozi Kuvimba kwa ngozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…