tiba

The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Hii ndio Tiba ya Ngiri/Hernia kupitia Dawa za kihindi

    Aina nyingi za ngiri ama hernia zinatokea eneo la tumbo kati ya kifua na nyonga. Kwa watu wengi ngiri siyo tatizo linalohatarisha maisha japo ni tatizo lisiloisha lenyewe bila upasuaji ama dawa. Ngiri inasababishwa na kulegea kwa misuli na kupelekea nyama za kiungo kimoja kuota na kusukuma...
  2. Mshana Jr

    Ungependa utulivu? Tiba ya bure

    Hii mada ni maalum kwa wenye kupenda asili, ukimya utulivu na wenye kujitafuta kiroho ama kujitakasa Je umeshawahi kutembelea mwituni kwenye "Crystal clear water" yanayotirika kwa utulivu na sauti zenye mirindimo laini sana Sauti ya maji yanayotiririka katikati ya msitu ni moja kati ya midundo...
  3. A

    KERO Kuzorota kwa huduma za Tiba na Matunzo kwa WAVIU mkoa kwa Kagera kuanzia January 2026

    Habari, Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini. Kuanzia mwezi wa pili mwaka 2026, sisi WAVIU tumeanza kupata shida ya kuzorota kwa huduma. Kwa mfano...
  4. kali linux

    Nitaelezea kisaikolojia chanzo na tiba ya Ile hali "mbaya" kimwili na kiakili unayosikia baada ya kuzini

    Hello bosses and roses... Ni muda sana sijaandika kuhusu spirituality na psychology lakini leo nmekutana na uzi wa jamaa mmoja analalamika kwamba hakuzini kwa miezi 6 ila baada ya kuzini tu anajisikia vibaya siku ya nne sasa. Iko hivi, kwanza kabisa kabla ya kuzini mara nyingi kuna moments za...
  5. Malaika wa Misukosuko

    Nasumbuliwa na tatizo la "Sinus Tachycardia" anayejua tiba yake aniambie nimechoka kuteseka

    Habari zenu, kwa mwaka sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la Sinus tachycardia, nimetumia propranolol miezi kibao ila zimenisaidia kupunguza maumivu tu ila sijapona. Mwenye tiba ya huu ugonjwa anipe suluhishi maana doctor aliniambia hiyo hali ukitumia dawa itatoweka ila hakuna kilichosaidia...
  6. Imani rubaba

    HOMA YA NGURUWE, UGONJWA HATARI USIO NA CHANJO WALA TIBA 🙌🥺

    Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini. Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi. Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
  7. N

    Dawa za nguvu za kiume kutoka "sanitarium clinicks", ni tiba ya kweli?

    Habari wana jf? Hivi karibuni kumekuwa na utitiri WA DAWA za kuongeza nguvu za kiume HASA kwenye hizi "SANITARIUM CLINICKS", mpaka nachanganyikiwa kujua DAWA ipi inasaidia na DAWA Gani ni feki. Nimekuwa na tatizo Hilo Kwa mwezi Sasa na nilienda lupimo sanitarium clinic, wakanipa sawa zao...
  8. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Mtambo wa CathLab waleta mapinduzi ya tiba ya kiharusi nchini

    Kwa muda mrefu, tiba ya kiharusi hapa nchini ilikuwa changamoto kubwa kutokana na ukosefu wa teknolojia ya kisasa ya kuchunguza na kutibu mishipa ya damu ya ubongo kwa haraka na kwa ufasaha. Hali hiyo ilisababisha wagonjwa wengi kupoteza maisha au kubaki na ulemavu wa kudumu. Ujio wa mtambo wa...
  9. Taasisi ya Mifupa-MOI

    MOI yaendelea kuwa kinara wa tiba ya mifupa Duniani

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba vya upasuaji wa mivunjiko ya mifupa kutoka shirika lisilo la kiserikali la nchini Marekani, Surgical...
  10. Nelly

    Kuna Shida na kama isipopatiwa tiba tutakuwa watu wa ajabu kuliko maajabu yenyewe...

    Inakuwaje mtu ambae sio medical professional kupewa majukumu ya kuongoza wizara nyeti ya afya? Na hii inatokea kwenye wizara nyingi tuu na matokeo yake ndio kama haya... Mnakera na kutia aibu asee
  11. Dr Luu

    Vyakula vya asili na mapishi ya asili ni tiba kwa asili.

    Habari, Nimeleta hii post ili kukumbusha asili yetu kwa upande wa mapishi na vyakula kwakua ni wazi kuwa magonjwa yanaongezeka kila kukicha pindi asili inapoondoka. Kwa ambao tumeonja ladha ya vyakula vya asili toka utotoni tumebaki na kumbukumbu ya zamani tu ila hatupati ile ladha ya asili ya...
  12. lizy22

    Natafuta tiba za kuasili Tanzania, nimepatwa na makubwa huku

    Natafuta tiba za mganga wa kiasili Tanzania. Sina nguvu tena mwilini, ya kuenda chooni haja kubwa na ndogo. Nguvu za hedhi pia zimetolewa mwilini. Akili nasumbuka sana. Usiku hua nalala na nyoka. Jirani wangu anahusika pakubwa sana. Hata nguvu ya roho walitoa kabisa, hua inavutwa na kitovu...
  13. M

    Msaada: Mpenzi wa ana tatizo la kukojoa usingizini, ipi tiba yake?

    Jamani mwanamke wangu nayetegemea kumuoa ana matatizo ya kukojoa kitandani na alishindwa kunambia hadi baadae alipoamua kufanya hivyo. Naombeni msaada wa jinsi ya kumsaidia ili tuendelee na maisha lakini pia awe huru hata kutembea na kulala kwa ndugu.
  14. N

    Yas yatoa msaada vifaa tiba Hospitali ya wilaya Chalinze

    KAMPUNI ya mawasiliano hapa nchini, Yas imeonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha ustawi wa jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba muhimu katika Hospitali ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani. Mpango huo, uliongozwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Pwani Kusini, Fadhila Saidi ambaye alimkabidhi...
  15. Sifi Leo

    Kwa Nini ndege na Njiwa wanamfata fata kila nyumba aendayo na Sasa amehamia kwake Bado TU wamemfata je Nini tiba?

    Huyu ni rafiki w karibu sana,tulicheza pamoja na tukakua pamoja. Leo ameamkia nyumbani kwangu kifuru Dsm,katika moja na mbili analalamika yakuwa amekuwa anafatwa na Njiwa kila nyumba aliyokuwa akipanga na Sasa ameamia kwake pia wemfata je hii Ina maana Gani? Wapo ndani ya singibodi.nachukia...
  16. Top Gun

    Wakuu nisaidie tiba ya kienyeji za sikio kuziba , dawa za kizungu zimedoda

    Nasikia presha kwenye sikio, kelele sikioni na pia kama niko majj hivi, hali ya sikio kuwa kama kuba kitu kimeziba. Nisaidieni wakuj
  17. Nusratt

    Tiba ya Mtoki (Swollen lymph nodes) kujirudia kila mwaka

    Nina hili tatizo la muda mrefu la kurudia kwa mtoki wenye maumivu makali karibu kila mwaka. Kuna wakati nashindwa hata kutembea maana umekaa sehemu mbaya. Nikibonyeza naushika ila uko kwa ndani na ni kama jipu gumu linalouma kwa ndani. Sina ugonjwa wowote wa zinaa wala maambukizi ya VVU. Na...
  18. M

    Tiba ya hernia kwa Mzee miaka65 korodani zinamuuma sana

    Habar wakuu naomba msaada wa tiba ya hernia Mzee wangu ana miaka65 korodani zinamuuma sana kineno kinauma na uvungu wa paja unamuuma sana,pia korodani moja inavimba inamuuma. Hii yote imetokana baada yakufanyiwa kipimo Cha tezi dume kupitisha dawa kwenye tundu la mkojo ili kipimo kiweze kusoma...
  19. M

    Tiba ya Mshipa kwa Mzee wa Umri miaka65 hospital Gani nzuri kufanya operation

    Habar wadau msaada wenu,Mzee wangu Umri miaka65 Leo umemkamata Mshipa wakorodani moja kuuma na nyonga kuachia,ikabid awahishwe hospital akapatiwa sindano Mshipa ukapoa, Sasa nauliza tiba yake huwa ni nin,naje hospital Gani nzuri kufanya matibabu
  20. B

    Tiba ya tatizo la ANAL FISTULA

    Nina ndugu yangu amepata changamoto ya anal fistula amefanyiwa operation mbili tatizo lipo katika hatua za awali anatokwa na maji kidonda hakifungi na mwezi 6 mwaka huu wamemfanyia operation nyingine kwa kufunga njia ya haja kubwa wamemtoboa tumbo uchafu unapita hapo.Tunaomba mwenye ushauri kwa...
Back
Top Bottom