thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbowe kwa kutambua thamani ya Tanzania

    Nachukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wa CHADEMA kwa kutambua thamani ya Tanzania Tofauti na huko nyuma sasa hotuba zake zimejaa uzalendo anaitanguliza Tanzania. Anaonesha heshima kubwa kwa Rais hii ndio huruka na Tabia ya waTanzania. Nimefatilia hotuba zake Mwanza, Musoma na Tarime kweli...
  2. JamiiForums Tanzania Mapepo ya Harusi: Hivi inakuwaje wasiotuthamini wanatupa thamani wakiwa na shida ya kuoa au kuolewa?

    Wasalaam JF Niende kwenye mada straight, hivi inakuwaje katika jamii, sehemu za kazi, ujirani, au ndugu, mtu ambae haoni thamani yako anatambua uwepo wako nyakati zake za kuolewa au kuoa hasa michakato ya kuchangia pesa za harusi? Kuna uhusiano gani kati ya harusi na kuwatafuta watu ambao huwa...
  3. JamiiForums Tanzania Dira2023 Kwa Mabinti na Wanawake; Jipe thamani: THAMANI yako haitokani na Mwanaume

    DIRA2023 KWA MABINTI NA WANAWAKE; JIPE THAMANI; THAMANI YAKO HAITOKANI NA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Kuhani! Na huu ndio ujumbe wenu, enyi mabinti na Wanawake. Hii iwe ndio dira yenu. Jipe THAMANI! Na katika thamani hiyo elewa kuwa sio lazima itokane na Sisi wanaume. Ninyi ni Wake...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

    Tunapoelekea mwisho wa mwaka, nikaona nijaribu kuleta kwenu hii hoja ambayo imekua ikiibuka Mara nyingi hasa Kwa wanandoa wanaume. Hapa naongelea Mme ameoa, anaamua kuchepuka anasema hawezifanya hicho kitendo na mwanamke mwingine kwenye Kitanda anacholalia na Mke wake. Sasa kama unamheshimu...
  5. JamiiForums Tanzania Tumekwenda Marekani kufundishwa kutumia ardhi yetu kwa kilimo au kuiba teknolojia ya kuongeza mnyororo wa thamani kwenye bidhaa zetu!?

    Wakenya wanaongoza kwa kununua bidhaa za Tanzania, lakini ni bidhaa ambazo hazijaongezwa uthamani, malighafi (raw material) na Kenya wanaongoza kwa kuziongeza uthamani bidhaa hizo na kwenda kuziuza Dubai, Ulaya, Marekani na zinazobaki wanazileta tena kutuuzia Watanzania, nafurahi kuwa tumekwenda...
  6. JamiiForums Tanzania Hela ya Iran yapoteza thamani huku maandamano yakiwa pale pale

    Hela ya Iran, Rial, haijawahi kuanguka kiasi hiki, huku maandamo yakiendelea ya kupinga mauaji yanayofanywa na maaskari wa serikali wanaomlinda "mungu" wa waislamu... Iran’s currency fell to a record low against the dollar on Sunday, with nationwide anti-government protests now in their third...
  7. JamiiForums Tanzania Kitu chenye thamani sana

    Habari zenu..... Binadamu wanaongezeka sana,ila aridhi haiongezeki,tena inazidi kupungua kila kukicha,kama unauwezo wekeza kwenye kununua aridhi sehemu tofauti tofauti,tena nunua kwa kufuata maendeleo ya mji yanavyokuwa,angalia ramani za mji ndo ununue.. Aridhi ukinunua leo baada ya miaka...
  8. JamiiForums Tanzania Kofia ya moto ya thamani ya mafuta yawadondokea G7

    Hapo juzi mataifa ya G7 yakiongozwa na Marekani yalipitisha azimio la kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya kutoka Urusi. Katika mpango huo nchi hizo zimekubaliana kuwa bei ya mafuta ya Urusi isizidi dola 60 kwa pipa moja..ikizidi hapo mataifa hayo wamesema hawawataki mafuta ya Urusi. Katika...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani

    Sothbys kufanya mnada wa almasi yenye karati mia 3 ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 15 za kimarekani.
  10. JamiiForums Tanzania Maisha ya mdudu (vunjachungu dume) si ya thamani tena kwa jike baada tu ya kujamiiana

    Ni kwamba karibu robo ya matukio ambapo vunja chungu dume anapomkaribia jike basi huliwa. Na nyakati hatari zaidi kwa dume ni wakati wa tendo la kupandana. Wanapomaliza, ikiwa itatokea dume litaponea kuliwa, basi dume huanguka tu kwa kuishiwa nguvu kutoka kwa majike au huruka kabla...
  11. JamiiForums Tanzania Taratibu taratibu mama zetu na dada zetu wanaanza kuelewa thamani ya ngozi zao

    Kadri siku zinavyoenda taratibu taratibu wakawake wa kiafrika wanaanza kuelewa thamani ya rangi ya ngozi zao. Siku hizi ile kasi ya wanawake ku-bleach ama wanaita kukrimu rangi ya ngozi zao waonekane weupe inapungua ama inaelekea kuisha kabisa. Sasa wanawake wanajikubali kwamba ngozi yao nyeusi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa duka la Vito vya thamani Iringa

    Wakuu naomba kupata location ya Duka linalouza Vito vya thamani Kama pete za gold hapa Iringa. Kwani nimezunguka nakutana na masonara tu.. nami cna utaalam sana. Maduka mengi naamini yanauza vitu vya uhakika.. Moshi, Arusha maduka yapo mengi au hapa Iringa ni kumalizana na sonaraz tu?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada ya kuchaguliwa mara mbili na Rais Xi Jinping

    China na Tanzania ni nchi ambazo zimekuwa na urafiki, undugu na ushirikiano wa kina tangu enzi za waasisi Mwenyekiti Mao Zedong na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Urafiki huu umeendelea kudumishwa na viongozi wengine wote wa pande zote mbili waliofuatia baada ya waasisi hao, na kuendelezwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mfuko wa PSSSF wafikia thamani ya Tsh. Trilioni 7.2

    Gharama za uendeshaji kwa Mfuko wa Pesheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) zimepungua kutoka Sh128.93 bilioni kwa mwaka 2018 hadi kufikia Sh68.83 bilioni mwaka huu sawa na asilimia 46.61. Kupungua kwa gharama hizo kunatokana na hatua ya uunganishaji wa mifuko ya pensheni minne ya PSSF, LAPF, PPF...
  15. JamiiForums Tanzania Kituko: Binti asie na bikra ya kumpa thamani kiroho na kimwili anatoa wapi ujasiri wa kumkatalia mwanaume asijaribu mitambo mpaka waoane?

    Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
  16. JamiiForums Tanzania Apple yatajwa kuwa na thamani zaidi ya Google, Meta na Amazon kwa pamoja

    Kampuni ya Apple, imeweka rekodi ya kuwa na thamani kubwa kuliko kampuni za Alphabet (Google), Meta na Amazon - ukizichanganya kwa pamoja. Yaani ukichukua Market Cap ya Amazon, Meta na Alphabet kwa pamoja; bado haziifikii kampuni ya Apple. Apple imefikisha thamani ya dola Trilioni 2.307 siku...
  17. JamiiForums Tanzania Thamani ya miamala ya Simu yapungua nchini

    Wakati idadi ya watumiaji wa huduma za fedha kwa simu za mkononi ikizidi kuongezeka, thamani ya miamala wanayoifanya inapungua kila uchao. Ripoti ya robo mwaka inayoishia Septemba 2022 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha idadi ya miamala imeongezeka kutoka zaidi ya milioni...
  18. JamiiForums Tanzania Thamani ya mwenza wako

    Sina nia ya kutiririka wala kuperform kazi ya motivational speakers ila kwa niliyojionea, ningependa kufikisha ujumbe fulani. Niliachana na mwanamke wangu sababu alikuwa mkavu hadi kero. Baada ya round 1, nyingine zote ni mwendo wa kujichubua tu, a perfect no 11 shape. Nikaanza harakati za...
  19. JamiiForums Tanzania Thamani ya mtu huonekana pindi anapotoka katika mzunguko wako wa maisha

    Kuna namna nyingi binadamu wa sasa tunazitumia kuonesha thamani ya mtu. Wengine tunamthamini mtu pindi tu tunapokuwa na uhitaji yaaani anakuwa na thamani pindi anaponipa huduma fulani ila ikiisha tu na thamani yake pia inapungua, inaisha ama inapotea kabisa. Kuna Wengine tunawathamini kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Unataka kupendwa?

    Kama kweli unataka kupendwa na kuheshimiwa na watu fanya haya. 1) Jua thamani yako. Kujitambua 2) Jifunze kuzuia hisia zako. Husivauke, maamuzi sahihi yanapatikana kwakutokuwa na hasira wala shahuku/furaha 3) Husishobokee vitu vya watu. Iwe mke, gari, nyumba chochote kile acha shobo. 4) Jua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…