Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate), iwe ni kuvimba kwa kawaida (BPH), maambukizi (prostatitis), au saratani:
1. Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku (nocturia)
2. Kushindwa kuanza mkojo haraka unapokwenda chooni
3. Mkojo kutoka taratibu/dhaifu badala ya kwa nguvu...
Kuna kipindi tulitangaziwa ugunduzi wa dawa ya Tezi uliofanywa na wanafunzi wa St John University Dodoma.
Serkali nayo ikaipigia debe kuwa dawa hiyo ni suluhisho la maradhi hayo maana haiitaji upasuaji
Ila baada ya hapo haikusikika tena iliishia wapi?
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume.
Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
Nashindwa kuelewa baada ya kusumbuliwa na tezi dume nikafanyiwa upasuaji mambo yakawa Safi.
Baada ya muda takribani mwaka imerudi tena nini chanzo au upasuaji ulifanywa kwa juu juu tu.
Msaada madokta
Habari wakuu nimekuja kwenu kutaka ushauri?
Mzee wangu alifanyiwa operation ya tezi dume mwaka2016 akawa freshi tu Sasa mwaka Jana mwezi wa 8 alifanyiwa kipimo Cha tezi dume Cha kupitisha kwenye njia ya mkojo baadae kikamletea shida korodani zikawa zinamuuma sana korodani moja ikageuka inabid...
Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume; daktari anasema uvimbe ulipatikana 'miezi michache iliyopita,' Waziri Mkuu alipata tiba ya mionzi miezi 2.5 iliyopita, na ugonjwa huo umetoweka.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu afichua kwamba alifanyiwa matibabu ya saratani ya...
Miaka kadhaa liyopita nilikuwa nikiishi na mwanamke ambaye alikuwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara usiku na mchana,nilidumu naye kwenye mahusiano miaka minne tu tukaachana.
Miaka mitatu baada ya kuachana (2023 ) na mimi nikajikuta nina tatizo lile lile lake, tofauti yetu ni moja tu mimi...
📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake.
Kifo cha Mathias kinatokea siku chache baada ya Jambo TV kuchapisha habari akiomba msaada wa matibabu, akiwa...
Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:-
i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi;
ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na
iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume.
Utangulizi:
Nilihamasika kuanzisha...
dume
hii
kati
kiume
kuendelea
kuongezeka
kwa wanaume
mada
miaka
miaka 50
nguvu
nguvu za kiume
tezidume
uhusiano
ukosefu
umri
wanaume
wenye
wenye umri
za kiume
zaidi ya
Rais Biden akutwa na saratani ya tezi dume, imesambaa kwenye mifupa
Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden (82) amegundulika kuwa na ugonjwa wa saratani ya tezi dume ambayo imesambaa hadi kwenye mifupa yake.
Saratani ni ugonjwa ambao hutokea pindi ukuaji wa seli mwilini unapotokea katika namna...
Habari wakuu
Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba .
Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu.
Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo:
1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO?
Kutegemea Umri...
Wadau hamjamboni nyote?
Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
January 1, 2025
Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery
By...
Wadau hamjamboni nyote?
Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi
Mungu ibariki nyumba ya Yakobo
PM to be hospitalized for several days for prostate surgery,
Prime Minister Benjamin Netanyahu addresses the Knesset, December 23, 2024. (Chaim...
Siku tano baada ya dawa ya Uriphytol inayoelezwa kukinga na kutibu tatizo la kutanuka kwa tezi dume kuanza kuuzwa rasmi, dawa hiyo imeadimika katika maduka ya dawa mkoani Dodoma ilikoanza kuuzwa.
Dawa hiyo imegunduliwa na wataalamu wa Kitanzania, licha ya Serikali bado haijatoa tamko rasmi...
Tezi dume si ugonjwa bali ni kiungo miongoni mwa viungo katika mfumo wa uzazi wa mwanaume,ipo chini ya kibufo cha mkojo
Ni wakati gani tezi hii huwa ni tatizo? Ni pale ambapo tezi dume inakuwa au inaongezeka kutokana na umri kitaalamu inaitwa benign prostatic hyperplasia,kadri mwanaume...
Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume.
Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali.
Mgonjwa yupo Morogoro.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.