tezi dume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Wanaume na tezi dume

    Tezi dume si ugonjwa bali ni kiungo miongoni mwa viungo katika mfumo wa uzazi wa mwanaume,ipo chini ya kibufo cha mkojo Ni wakati gani tezi hii huwa ni tatizo? Ni pale ambapo tezi dume inakuwa au inaongezeka kutokana na umri kitaalamu inaitwa benign prostatic hyperplasia,kadri mwanaume...
  2. stephenga

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mtaalam wa tiba ya tezi dume?

    Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume. Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali. Mgonjwa yupo Morogoro.
Back
Top Bottom