tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ukizoea kuishi jangwani ni Ngumu kusahau Ukame #6 Imekubali kurudi nyumbani

    Niwape hii. Aliyewahi kuvaa Jersey number 6 Yanga anarudi kuivaa tena msimu ujao. ✅💯 Walid na mchumba wa Hamissa wanaondoka✅💯 Winger wa Central African Republic aliye Chamazi kama Azam hawata ongeza dau kubwa naye atakuwa ni CITIZEN✅💯 Source: TRUST ME BRO / NINA WATU 😁
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

    Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Siri ya vita ya Rwanda na Congo DRC na kwanini sasa sio jana?

    Kwanza naomba mapovu yanaruhusiwa na hoja zina ruhusiwa ila mniache nabii nitoe yale nayaona... Mziki ulianza Mozambique 🇲🇿 na sasa Congo DRC 🇨🇩 wanaucheza yes the dark days in Tanzania overseas intelligence.... Upo utani unasema nyani akimuona mwanamke basi kazi anayo ila akimuona mtoto wakiume...
  4. JamiiForums Tanzania Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Tetesi: Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025

    Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025. Kauli zao zinaonyesha kushangazwa na sababu za kutekelezwa kwa mchakato huu kwa haraka na bila tahadhari ya kutosha. Hali hii imepelekea hisia za wasiwasi miongoni...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr. Slaa uenda akatolewa leo kwa dhamana.

    Mawakili wake wameitwa Kwa Msajili wa Mahakama ahsubuhi hii. Tutarajie taarifa njema kwa mzee wetu. Nawatakia furaha njema ya ushindi wa Lisu na Heche
  7. JamiiForums Tanzania Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

    Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kuhamia NCCR Mageuzi mwezi February 2025. Selasini ajiandae.

    Mshukuru Mungu kuvuka mwaka na kupata hii habari ikiwa bado ya moto. Nimepenyezewa hapa na mtu wa jikoni ndani kabisaa, kwamba mheshimiwa sana Lissu ataenda kuimarisha NCCR Mageuzi. Hii inatokana na kuona kabisa Maji yamezidi unga. Safari hii Lissu kajaa kwenye mfumo bila kujijua. Kashatiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA kufutiwa usajili upoteaji wa Wanachama wao

    Za ndani kuna mkakati unaandaliwa chadema kubebeshwa tuhuma za utekwaji na mauaji ya Mzee Wetu Ally Mohammed Kibao na viongozi wa CHADEMA watakamatwa na CHADEMA itafutiwa Usajili sababu kuna wana Chadema wameshaatengenezwa kutoa ushahidi wengine ni waliotekwa na kufichwa soon wataachiwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi tetesi za Lissu kujiondoa kugombea uenyekiti chadema zina ukweli?

    Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni? Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA maarufu kama COVID 19 kutoa tamko la kumuunga mkono Mh. Freeman Mbowe siku ya Jumatatu

    Mambo yanazidi kupamba moto, wabunge 19 wa CHADEMA nao wameamua kuungana na gwiji la siasa za upinzani Tanzania mh. Freeman Mbowe, huu ni ushindi mkubwa kwenye kambi ya Mh. Mbowe kutokana na uzoefu wa kisiasa wa Waheshimiwa hao. Namsihi Mh. Mbowe kukubali kuchukua fomu ili kuendelea...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tarehe 21/12/2024 Mbowe atatangaza rasmi kutogombea uenyekiti na atamuunga mkono Tundu Lissu

    Wasalaam Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu. Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu kutimkia ACT Wazalendo kama watamletea fitna kwenye uchaguzi.

    Wanaukumbi. Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu. Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo. Chadema...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uchaguzi wa CHADEMA,Kuna uwezekano Lissu akakosa Bara na Pwani Umakamu mwenyekiti na uwenyekiti

    Katika uchaguzi ujao wa Chadema, kuna dalili kwamba Tundu Lissu huenda akakosa nafasi za uongozi bara na pwani, hasa (katika nafasi za umakamu mwenyekiti na uwenyekiti.) Hali hii inatokana na changamoto mbalimbali zinazokabili chama hicho, ikiwa ni pamoja na mpasuko wa ndani na ushindani mkali...
  15. JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu takriban 14 wafariki dunia katika ajali ya Lori na Coaster eneo la Mikese

    Inasemekana kuna ajali imetokea Mikese ikihusisha bus dogo Coaster na kuua watu wengi, wenye taarifa zaidi tuambizane --- AJALI MBAYA MOROGORO, WATU 14 WAFARIKI, 7 WAJERUHIWA. Watu 14 wamefariki dunia na wengine 7 kujeruhiwa baada ya gari kubwa la mizigo kugongana uso kwa uso na gari dogo...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji Yanga wanadai malimbikizo ya posho

    Kuna habari kutoka Yanga kwamba wachezaji wanadai pesa ndefu za posho. Kuna posho mpaka za last season wachezaji wanadai. Kuna bonus za last season wachezaji wanadai Kuna wachezaji Kama Azzi K hajalipwa signing fees yake ya mkataba mpya!! GSM na engineer wapo kwenye siasa tu wanataka...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi ya kibabe: Katavi kimewaka inasemekana Mkuu wa kituo kachezea kichapo Cha mbwa koko

    Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote. Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka. Habari ndio hivyo Pang Fung Mi
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Inasemakana ndege aliyokuwa amepanda Bashal Al Assad tokeka Damascus imedunguliwa

    Dakika chache baada ya ndege hiyo kupotea katika rada, hichi ndicho walichoposti jeshi Israel katika ukurasa wao wa X.
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Assad, je anayefuata ni Ayatollah Khomenei!

    Kuna kila dalili kuwa kituo kinachofuata baada Syria ni Iran. Baada ya kusoma komenti kadhaa za waajemi masaa machache yaliyopita katika mtandao wa X, nimebaini ya kuwa utawala wa kifamle ulioangushwa katika mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979- mapema sana Januari mwakani (2025) utarudihswa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania Prisons (Wajelajela) Wadhalilishwa na RTO wa Iringa

    POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera Chanzo cha sakata ni mwendokasi wa dereva wa Prisons akiwa speed 90 badala ya speed 85. Pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…