tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkuu wa majeshi ya Iran na wanasayansi wa nyuklia wauawa kwenye shambulizi la Israel

    Kumekuchaa....jamaa wamewahishwa kwa mabikira. The likelihood is increasing that the Iranian General Staff, including the Iranian Chief of Staff Mohammad Bagheri, and senior nuclear scientists were killed in the opening strike of Israel's Operation Rising Lion, early Friday morning. Dozens...
  2. JamiiForums Tanzania Kila Mnoreform aweke ushahidi wake hapa kwamba ni mtanzania kweli, kuna tetesi eti wengi wenu ni wakenya?

    Hata mimi napata wasiwasi pengine kweli, so wasijekuwa wanatwanga maji kwenye kinu Manake wenzetu jirani kwa kutumia mitandao wapo vizuriiii, Unajua kwanini? Threads yenye comments zaidi ya 100 lakini wachangiaji ni 16 tu, hapa lazima tupate mashaka kidogo
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi Mama mzazi wa Rais wa Mamlaka ya Palestina, Mahmoud Abbas, ni Myahudi

    Wadau hamjamboni nyote? Ndiyo maana rafiki wa Mayahudi Ni tetesi mwenye taarifa kamili aje atujuze. Tazama taswira yake
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

    Wasalaamu Niliwaandikia mambo kadhaa na muda Mwingine napuuzwa Ila yakishatokea wanakuwa wanapuuza wanakausha, Nyuzi nyingi naziletaga ama kwa codes au Kama utani, au Kama swali kumbe ndo nakuwa nafikisha ujumbe 1. Niliwaandikia la Mbowe kutoa baraka kwa COVID 19 na watu wakahisi natania, 2...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Gwajima kufutwa uanachama, kugombea Urais...

    Good morning wadanganyika, Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo. Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna tetesi kuwa CCM na magenge yao yanatafuta njia kuzibiti habari na video za gwajima na wengine wasisambaze.

    Wametafuta mpaka ma IT wao uchwara wajaribu ku hack account ya gwaji boy youtube na lengine wamekataza chombo chochote kisitoe habari za yaliyo ongelewa. Usijeshangaa hapa JF mkafutiwa nyuzi zenu ambazo zinahusu habari ya gwaji kuweka wazi na zikabaki za kumziaki.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hama hama ya wanaCHADEMA stopped

    Zipo tetesi hama hama ya wanachadema na yale yalikuwa yanaendelea yamesimama ghafla tiri fazer notiz. The power from above. Kwahiyo pambaneni na hali zenu mliokuwa mnasubiri kujitangaza.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Uvumi, tetesi , fununu zilibashiri kuwa leo Mbowe ataonekana rasmi kwenye mkutano wa Chaumma, hali ikoje?

    Nyerere alisema DHANA HAIPATANI NA UKWELI. Tujiepushe na kubashiri mambo bila concrete reasoning and valuations
  9. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

    Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo. Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

    Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana Mbunge Mama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli; CHADEMA badala wapenyeze agenda ya mabadiliko walikuwa bize wanasherekea mitandaoni

    Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa "kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa?

    Wadau hamjamboni nyote? Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa? Ni tetesi tunaomba uthibitisho
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili kuhusu mrithi wa Papa baada ya Papa Francis: Kuna maoni muda mrefu kuwa sasa ni wakati wa Papa kutoka Africa. Nini maoni yako

    1. To me, nikiangalia watawala wa Afrika ambamo papa anategemewa kutoka, ninakuwa na wasi wasi mwafrika kushika nafasi hiyo! Ukabila, ndugunisation, rushwa, kuua wapinzania na maujinga mengi ya waafrika yanaweza kupelekwa Vatican. 2. Kama Marais wa Afrika wako kama tunavyowona akina mama...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi Dhidi ya Tundu Lissu imekamilika

    Tarehe 4 April, jamaa yangu mmoja (siyo mwanafamilia), ambaye ni rafiki na alisoma na Mchimbaji aliniambia kuwa siku 3 kabla alikuwa na mazungumzo na Mchimbaji. Wakati wa mazungumzo yao, huyu jamaa yangu alimwuliza kuwa kutokana na TAL kuanza kutoa elimu kwa wananchi, na watu wengi kuonekana...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

    Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi Yalisikika maneno haya ktk kuta ila ndani hapakuwa na watu

    "Kwanini mmeruhusu hili jambo ina maana hamkumwambia miiko ya kitaluni? Majibu tulimwambia Ila hakusikia wala kufanyia kaz na hilo sio jukumu letu na wewe unajuwa.. Hapo ndipo mwanzo wa uchungu ulipo anza...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi zikikoma huwa breaking news

    Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua.. Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Madiwani Moshi Manispaa, kuongea na waandishi wa habari kuhusu , Kauli Tata na Malalamiko ya Wapiga Kura ,Soko la Mbuyuni, Moshi Manispaa.

    Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mo Dewji, Azam na GSM wamejenga uwanja unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

    Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC. Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI. Credit: Nassib Mkomwa
  20. JamiiForums Tanzania Tupeane taarifa juu ya hali ya homa/ugonjwa wa pox, iwe taarfa ya kuuona mgonjwa au kama wew mgonjwa kuna watu bado wanazani ni tetesi

    Homa ya Mpox (Monkeypox) ni ugonjwa wa virusi unaosababishwa na virusi vya Monkeypox. Ugonjwa huu unafanana na smallpox, lakini kwa kawaida ni wa wastani na hujumuisha dalili kama vile homa, maumivu ya kichwa, uchovu, na vidonda kwenye ngozi. Virusi vya monkeypox vinaenezwa kupitia kwa kugusa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…