tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Tetesi: Msemaji mkuu wa kijeshi wa M23 aua na jeshi la serikali ya DRC

    Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen Sultani Makenga. Wakati huo,baada ya raisi wa Angola kutoka kwenye uongozi wa African Union, ametuma...
  2. Amkeni, mnachezewa akili tetesi za tukio la kamanda katili kuchukuliwa na makamanda wa kulipiza kisasi

    Hili tukio la yule jamaa katili sana kutekwa na wabeba mawe kwenye mabegi ni la kulichukulia kwa tahadhari na akili kubwa. Huenda la kweli au uzushi. Wanaosambaza uvumi huu wote hawaweki ushahidi bali wanasema tuwaamini. Kila anayesambaza anaanza au kumalizia maelezo yake kwa furaha kwa...
  3. T

    Tetesi: Kimenuka! mtawala wa Emirati alishwa sumu, tetesi kaaga!

    Amepachikwa jina la utani: "Shetani wa Waarabu", kutokana na uovu wake alioueneza nchi zote za Kiarabu. Mohammed bin Zayed, anapumulia mashine, na taarifa nyingine zinasema "kisha kitoa". Ulimwengu mzima wa Kiarabu uko katika shamra shamra za kufurahia, hata kama haijathibitishwa rasmi kifo...
  4. TETESI: Mkuu wa BLACKWATER, Erik D. Prince ajikuta mikononi mwa makomando wa M23

    Taarifa ambazo hazikudhibitishwa na serikali ya DRC au kundi la M23, zimedai kwamba mnamo tarehe 5 February, 2026, bwana Erik D. Prince, mwenye kampuni ya mamluki nchini Marekani, alikamatwa na kundi la M23 huko Kivu kusini. Prince aliwasili nchini DRC akitokea nchi jirani ya Burundi...
  5. Tetesi: Siri zimevuja kuna wimbi la account fake mpya za wanafunzi wa chuo mitaondoni lazima tujiulize hivi kweli tumefika hapa sisi ?

    :
  6. Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  7. Tetesi zimezidi kuhusu Namba 1 na 2 kutokupatana, ukweli upoje?

    Huko twitani kelele ni nyingi, wanasema namba 1 na 2 picha haziendi. ukweli upoje, maana wahenga walisema lisemwalo laweza kuwepo
  8. Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji

    Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji.
  9. Kuna watu wengi wanao ondoka Dar kukimbia maandamano ya Gen Z Disemba 9

    Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9. Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa =========== Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria...
  10. Wamama wafiwa wa vijana waliouawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi

    Tetesi, kuna baadhi ya video mtandaoni wamama wafiwa wa vijana walio uwawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi. Maandamano hayptokuwa tu ya Gen z kwenye round hii tutakuwa na wazazi nchi nzima tutakinukisha.
  11. PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  12. Tetesi: Kuna magari yanakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya bodaboda kinyume cha sheria

    Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria. Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti...
  13. M

    GE2025 Tetesi za ndani: Ndani ya saa chache zijazo, INEC wanataka kumtangaza Samia kuwa Mshindi

    Chanzo cha uhakika kinadokeza kuwa mkakati uliopo ni kumtangaza haraka na kumpa hati ya Ushindi Samia Suluhu usiku huu kama Mshindi halali wa “uchaguzi” uliofanyika juzi. Wanachotaka, ni aapishwe mapema iwezekanavyo kisha ‘Kina Mzee Butiko’ waongoze the so called “Maridhiano”
  14. M

    Tetesi hizi: Mama mzazi wa Spika Tulia yupo salama?

    Taarifa za ndani zinazotufikia si rafiki sana. Inadaiwa…
  15. M

    Tetesi hizi: Ester Bulaya yupo wapi?

    Taarifa kuhusu yeye si nzuri sana
  16. M

    UE Statement: Elections in Tanzania were neither free nor fair

    Elections in Tanzania were neither free nor fair October 30, 2025 In a joint statement on general elections held on 29 October in Tanzania, leading MEPs urge all democratic partners to stand firm in defence of democracy and human rights. “As Tanzanians went to the polls today, the...
  17. Tetesi: Kikwete akimbilia Kenya

    Kuna tetesi kwenye mitandao ya kijamii JK kakimbilia kujificha nchi jirani ya Kenya. Hizi tetesi nimezipata Facebook ila nafuatilia kwa karibu sana kutoka vyanzo vyangu vya karibu na uhakika (reliable trusted sources) Kwa hiyo muwe wa vumilivu. Senior JF local and international...
  18. Tetesi: Asilimia 45 mpaka 50 ya majimbo ya ubunge kukosa wagombea wa vyama pinzani.

    Hii ndiyo habari mpya kabisa ikufikie. Hili ni suala la kujiuliza kama taifa.
  19. Tetesi: Simba wasema hawatacheza ngao ya jamii tarehe 16 walisepa season 2, hatuchez season 2

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team Simba acheni uoga...
  20. U

    Tetesi mechi ya kenya vs Madagascar kurudiwa uamuzi wa shirikisho la soka Afrika

    Barua husika hiyo OFFICIAL statement from CAF. The body will release the same Next Week. CAF DECISION STATEMENT Following a thorough review of the FIFA match report, referee assessments, and official video footage of the CAF Africa Cup of Nations Qualifier between Kenya (Harambee Stars) and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…