tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Naapa kuwa sirudii tena kumsaidia Mtanzania -- never!

    Habar zenu ndugu zangu. Ama baada ya salam ningependa kuendelea na kile kilichonifanya niandike uzi huu. Ndugu zangu kama ilivyo ada au kama tulivyofunzwa na misingi yetu ya Taifa kwamba watanzania popote tulipo haijalishi ni ndani au nje ya nchi, sisi ni watu wamoja. Kwahiyo kwa misingi hiyo...
  2. B

    Detention Register: Jaji Tiganga yuko Majaribuni - Kiza Kinene

    Kesi hii inayovutia hisia za wengi, zaidi ya weledi ilihitaji uhuru stahiki wa mhimili wa mahakama na uthubutu wa Jaji katika kutoa haki tupu na kwa mujibu wa sheria. Pungufu ya hivyo tunakoelekea mahakama haitaweza kukwepa lawama. Mezani tulipo kuna pingamizi ambalo kigezo chake kikuu ni kuwa...
  3. W

    Kiongozi anaeona kuchelewa kwa mradi ni kawaida tena anaongea kwa kutetea hilo

    Kutokana na kuibuka kwa hoja kwanini mradi wa Bwawa la Mwl. Nyerere umechelewa na huko asilimia karibu 45 hadi sasa, na kimkataba ilitakiwa asilimia karibu 90. Mhe. sana Waziri wa nishati, Makamba akasimama kutoa maelezo. Katika maelezo yake, ambayo yalijaa maneno matupu, na si kueleza...
  4. Je, Chanjo ya COVID-19 ilikuwa ni ya kupatia Mkopo? Sisikii tena

    Dr. John Pombe Magufuli was right. Inachukiza na kuumiza kuongea maneno haya sababu sikuwa na upendo kwake. But Ukweli ni kuwa He was Right. COVID-19 (Wabunge wa CDM waliopo Bungeni) ilikuwa ni biashara na itaendelea kuwa biashara. Watu ni kweli wapo waliofariki kwa ugonjwa huo. Sikatai but ni...
  5. Kwa jinsi mambo ya navyoenda hapa nchini CCM ikiianguka haita inuka tena.

    Sio siri CCM ndio ipo madarakani,iwe kihalali ama sio kihalia lakini ndio ipo madarakani. CCM ndio inayounda selikali, Ndio inayo unda Bunge na ndio inayoweaka majaji. Ndani ya serikali kuna vyombo vya dola. Na ndio inaviweka. Kwa hiyo hivyo vyombo vote nilovyovitaja navyo ninawajibika kutenda...
  6. Hii maana yake nini jamani, hapa kuna mkopo au ndiyo basi tena?

    Nimemtumia maombi ya chuo mdogo wangu na hajapewa mkopo kabisa. Sasa najaribu kuapeal napata meseji hii; Sorry!! S.......... is not Eligible for Appeal Because of the following reason(s);- Incomplete Application Form Verification Sasa hapo sijaelewa wanamaanisha nini. Mwenye uelewa...
  7. DC Makala, hakikisha kuwa wamachinga wote hawarejei kwenye maeneo tena

    Waliotii agizo la serikali la kuondoka bila shuruti kwenye maeneo yasioruhusiwa kwa biashara wanavunjika moyo kuona wenzao waliovunjiwa panoja bado wanaendelea na biashara zao kwenye maeneo yaleyale waliyoyahama. Hii itasababisha yafuatayo: 1. Wanunuzi wasiende kwenye maeneo mapya kutafuta na...
  8. Kesi ya Mbowe Novemba 4, 2021: Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe atoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Novemba 5, 2021

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana kesi iliahirishwa kutokana shahidi kupata dharura ya kiafya na upande wa utetezi haukutoa kikwazo chochote kwenye sababu hiyo. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ==============...
  9. Ukorofi: Wanajua hatari yake ila wakifungiwa ili kuzuia maafa wanafoka tena

    Jaribu kuangalia hii makala iliyoandaliwa na chombo cha habari cha WION . Tatizo langu halipo kwenye news outlet hii but nashangaa pale serikali inapoamua kuchukua hatua kudhihiti machafuko yanayochochewa na mitandao ya kijamii " Social Networks" hawa hawa ndo wa kwanza kusema serikali...
  10. Koffi Olomide achapwa tena

    KOFFI OLOMIDE ACHAPWA TENA Baada ya kukosekana kwa miaka 11, Koffi Olomide alitarajiwa kutumbuiza katika ukumbi wa Paris La Defense Arena, mojawapo ya kumbi kuu za burudani barani Ulaya, akirejea Ufaransa. Msanii huyo maarufu nchini Congo na Afrika, ambaye kwa sasa anaishi Ufaransa, ni miongoni...
  11. Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

    Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana. Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito mbele ya Miamba ya Soka Afrika Simba Sc kuhakikisha Wanapata Ushindi Wa Goli 3 bila Dhidi ya Wenyeji Wa...
  12. Wakati nikiwa siwataki tena Makocha Gomez na Hitimana, Wafuatao upesi sana Wafukuzwe na Wasimamishwe Simba SC

    1. Meneja Patrick Rweymamu 2. Mratibu Abbas 3. Kipa Aishi Manula 4. Beki Shomary Kapombe 5. Beki Pascal Wawa 6. Nahodha John Boko 7. Kocha Selemani Matola Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani...
  13. Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

    Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete
  14. M

    Tanzania kwenda Afcon tena

    Inawezekana Tanzania ikaenda tena Afcon endapo tu chama cha soka cha Equatorial Guinea kitashindwa kulipa faini waliopigwa shirikisho la mpira FIFA ndani ya siku 30. Equatorial Guinea 🇬🇶 walipigwa faini ya kiasi €644,000 baada ya kushindwa kuwalipa makocha waliopita wa timu ya taifa ya wanaume...
  15. R

    Biashara United wamekwama tena kifedha. Mkuu wa mkoa yuko wapi?

    Biashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
  16. Ole Sabaya kutinga tena mahakamani Oktoba 18 kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuendesha genge la uhalifu, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.
  17. Namshauri mchumba wa Sabaya aolewe mapema Sabaya amechafuka na haajiriki Tena na hataweza kumbeba na uzuri ule

    Kifupi sabaya ni zero empty na hakuna future Wala connection kuwa Nate. Yule mwanamama wake ni mlimbwende na bado Ana ndoto na maono makubwa aachane na sabaya ; sabaya ameshafeli maisha ni zero set aachane nae aolewe na mwanaume mwenye future.
  18. R

    Tujuzane: Maisha Lugalo MATC yakoje, ni ya kishuleshule au kichuochuo, nifanye maamuzi sahihi

    Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari! Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena. Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc...
  19. Lile kaburi limeshajengewa kwa heshima, halijazungukwa tena na mabati

  20. Hodii. Mjomba wa Wajomba amefika na huku tena

    Ni mjomba wa wajomba, Mwenye kulonga kwa wahenga na wakunga, mjini na vijijini, anagonga hodi hapa kujenga na kujengwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…