teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Teknolojia ilivyogeuka Sumu kali ya Mahusiano katika zama hizi

    Mitandao ya kijamii na mawasiliano ya kidijitali vimebadilisha jinsi watu wanavyohusiana, na hii imeleta changamoto mpya kuhusu uaminifu, muda wa pamoja, na jinsi ya kudumisha ukaribu. Katika enzi za sasa za teknolojia, mahusiano yamepata fursa mpya za kuimarika kupitia mawasiliano ya haraka na...
  2. JamiiForums Tanzania Teknolojia za Ajabu Afrika, Taja nyingine unayoifahamu.

    Hii ni moja ya mambo yaliyowahi kunishangaza sana. Huyo mwamba aliyeshikilia hapo ameamua kuweka kende zake rehani kwa ajili ya taifa.
  3. JamiiForums Tanzania Ukiibiwa simu usijisumbue kwenda kulipa hela ili waitrack utaliwa bure, teknolojia hii Tanzania bado sana

    Kuna makampuni, na watu Binafsi ni wezi wa kimya kimya, pia ukijaa kwenye mfumo wanakuibia. Tarehe 16, Nikaenda polisi, kila siku Longo longo. nikawachek hawa makampuni Binfsi wanataka pesa kabla ya kazi. Pia soma: Ilikuwaje ukaibiwa simu?? Ila nilipowasikiliza Vizuri hawa jamaa, nikaona...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini: Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji utaleta fursa mpya za uwekezaji na uhamishaji wa Teknolojia

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika Dar es Salaam Novemba 19 hadi 21, 2024. Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika...
  5. JamiiForums Tanzania Libya: Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Benki Kuu atekwa, Benki yasitisha Huduma zote

    Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka nyumbani kwake na "kikundi kisichotambulika" na pia wafanyakazi wengine wa Benki hiyo wametishiwa kutekwa...
  6. JamiiForums Tanzania Teknolojia: Kivuli cha Ushindi au Majuto bila muendelezo nanenane itabakia kuwa ya msimu tu.

    Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna udhaifu mkubwa katika teknolojia inayochukua kumbukumbu za kadi ya mpiga kura

    Ningependa kushare na nyinyi kile ambacho nimebaini, ingawa siyo mhusika wala msimamizi/mwandikishaji. Majuzi, tarehe 5, nilikwenda Katoro kwenye kata yangu na kuamua kubadilisha kadi yangu ya mpiga kura ili kurekebisha taarifa, saini, na picha. Nilipofika kwenye kata moja, nilipanga mstari na...
  8. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu ili kukuza ufaulu

    Umuhimu wa sayansi na teknolojia katika shule zetu nchini Tanzania ni mkubwa sana kwa kukuza ufaulu na maendeleo ya wanafunzi kwa njia zifuatazo: 1. Kuboresha Ufahamu wa Kisayansi: Kujifunza sayansi huwasaidia wanafunzi kuelewa masuala muhimu kama afya, mazingira, na maendeleo ya jamii. Hii...
  9. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya 5G Tanzania: Jinsi Teknolojia Hii Inavyobadilisha Mawasiliano, Afya, na Biashara

    5G Technology: Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za 3G na 4G zilikuwa zimeleta maendeleo makubwa, lakini 5G inatoa uwezo wa juu zaidi kwa kasi, uwezo...
  10. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Jerry Silaa, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Bei za vifurushi vya data zipungue

    𝒀𝒂𝒉: 𝑼𝒍𝒊𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊𝒇𝒖 𝒘𝒂 𝑩𝒆𝒊 𝒛𝒂 𝑽𝒊𝒇𝒖𝒓𝒖𝒔𝒉𝒊 𝒗𝒚𝒂 𝑫𝒂𝒕𝒂 𝒏𝒂 𝑴𝒂𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒚𝒂 𝑾𝒂𝒕𝒂𝒏𝒛𝒂𝒏𝒊𝒂 𝗠𝗵𝗲𝘀𝗵𝗶𝗺𝗶𝘄𝗮 𝗝𝗲𝗿𝗿𝘆 𝗦𝗹𝗮𝗮, 𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝘄𝗮 𝗠𝗮 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗼 𝗻𝗮 𝗧𝗲𝗸𝗻𝗼𝗹𝗼𝗷𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶, 𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮, 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮. Mheshimiwa Waziri, Kwanza kabisa, napenda kukupa pongezi nyingi kwa kuteuliwa kwako kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO TCU angalieni upya utaratibu wa vyuo kuwafanyisha wanafunzi mitihani ya online kwa kutumia Moodle

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya vyuo kufanyisha wanafunzi mitihani kwa mfumo wa online(Google) na mfumo unakuwa na changamoto nyingi kama vile muda unaowekwa unakiwa hautoshi,unakuta maswali 50 ya kuchagua (mcqs) unapewa dakika 25 yaani ujibu swali moja kwa sekunde 30? Halafu pia network...
  12. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Teknolojia mpaka sasa yamekupa faida gani katika maisha yako

    Swali: Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na athari gani chanya katika maisha yako ya kila siku? Je, kuna teknolojia fulani ambayo imekuwa na mabadiliko makubwa kwako binafsi?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Muelekeo wa ajira na maendeleo ya teknolojia kwa miaka 10 ijayo

    MWELEKEO WA AJIRA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA MIAKA 10 IJAYO. Kwa miaka takribani 10 Sasa tangu mnamo mwaka 2014 katika awamu ya mwisho ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete matumizi ya mitandao na TEHAMA kwa ujumla yamekuwa chachu katika kuongeza pato la taifa, naiona Tanzania yenye vijana wenye...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko katika teknolojia ya mawasiliano na uchukuzi

    Ni mwaka 2034. Tanzania imebadilika kabisa, ikiwa na miundombinu ya kisasa ya mawasiliano na uchukuzi inayotumia teknolojia za hali ya juu. Haya yote yalianza na maono thabiti na mipango kabambe iliyowekwa mwaka 2024. Katika kipindi cha miaka kumi ijayo, tunaweza kubadilisha sura ya nchi yetu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapinduzi ya Elimu na Teknolojia: Njia Kuu ya Kufikia Tanzania Tunayoitaka

    Elimu na teknolojia ni misingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu katika taifa lolote. Katika muktadha wa Tanzania, uwekezaji katika elimu kwa kutumia teknolojia unaweza kuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Andiko hili linapendekeza mbinu za kibunifu ambazo zinaweza...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya: Kutumia teknolojia ya Blockchain kukabiliana na Ufisadi serikalini na TRA

    Katika habari za hivi karibuni, kuna skendo kubwa imetikisa sekta ya fedha ya Tanzania. Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alihusishwa na wizi wa fedha za serikali, kiasi cha zaidi ya TZS 3.8 bilioni (takriban USD 1.6 milioni). Skendo hii imesababisha wasiwasi kuhusu usalama na uadilifu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utumiaji wa teknolojia ya mfumo wa data wazi(open data) kama chombo muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa na kuimarisha utawala bora nchini Tanzania

    "Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora UTANGULIZI Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au vizuizi. Kuna mambo kadhaa yanayowakilisha mfumo wa data wazi kama vile data inapatikana bila malipo au...
  18. JamiiForums Tanzania MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

    MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. "Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi wasichana wanaokatiza masomo kwasababu ya kupata ujauzito wanarejea Shuleni. Hatua hizo ni pamoja na kutoa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya fursa inayotokana na teknolojia ya Akili Bandia watu wengi wanaichukulia kama tishio kwa ajira zao

    Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo inavyoonekana kwamba matumizi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanashika kasi sana duniani. Maendeleo haya ya haraka yameanza kubadilisha sekta nzima ya teknolojia na kuonesha uwezo wa kugusa nyanja nyingi za maisha ya kisasa. Kwa sasa inaonekana...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Uwezo wa teknolojia katika kukuza sekta ya kilimo

    Kilimo kimekuwa uti wa mgongo wa taifa la Tanzania kwani kwa asilimia kubwa nchi yetu inategemea kilimo ili kuzalisha malghafi mbalimbali kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa pamoja na kulisha taifa zima. Tangu tupate uhuru kilimo kimekuwa kikichangia katika pato la taifa na ukuaji wa kiuchumi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…