tecno

  1. Simu yangu ya Tecno inasumbua inaandika 'Google play has stopped'

    Wana teknolojia hamjambo? Naomba msaada wa ufumbuzi wa simu yangu ya Tecno. Imekuwa inasumbua Sana na Kila nikitaka kutumia Kuna ujumbe unatokea kwenye screen (Google play has stopped) hata Niki click "setting" haifunguki. Naomba kuwasilisha.
  2. Phone4Sale Tecno w5 Kwa laki na kumi

    Nauza tecno W5 nzima kila kitu haina tatizo lolote, battery linafanya kazi vizuri kabisa na haina crack Dar es salaam, Bei laki na elf 10. 0762693368
  3. Mwenye simu Tecno W5

    Habari zenu mabibi na mabwana. Nilikuwa nahitaji mwenye kuwa na simu mbovu aina ya Tecno W5 tuwasiliane pm, lengo langu ni kuhitaji board ya nje ya simu tu, wenye nayo aje PM.
  4. Hizi simu nzuri sana kuliko hata Tecno, zinauzwa kwa bei nafuum

    Najua ndugu zangu wa tecno mtakuja hapa na povu kama lote. Ila acha niwaambie tu kwamba hienda hamkuwaza sawa walati mnanunua hivyo vifaa vyenu vya mawasiliano. Anyway nimechagua kadhaa ambazo ni bei rahisi. Japo zingine zinaweza kuwa refurbished lakini zinaperform vizuri tu. Watu wengi...
  5. Nauza Tecno Spark 4 mpyaaa bei ya kutupa

    Tecno spark4 2gb Ram 32gb storage 4G network Camera tatu yuma Bei Tshs 200,000 Simu ni yangu ninashinda na pesa 0684329230 nipo Dsm
  6. Tecno spark 5, simu yenye kamera 5 kuzinduliwa

    Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, inatarajia kuzindua simu yake mpya aina ya TECNO SPARK 5 yenye kamera 5 Ijumaa hii kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya pili kuzindua kwa njia hiyo ya mtandao ambayo kwa mara ya kwanza ilitanguliwa na TECNO CAMON 15. Akizungumza kwa njia ya simu leo jijini...
  7. Kwa nini watumiaji wengi wa Tecno na Infinix wanapenda kujaza screen protectors kwenye simu zao?

    Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa. Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen protectors na case covers za kutosha. Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si...
  8. C

    Watumiaji wa Tecno

    Hivi ni kwa nini watumiaji wa tecno simu zenu huwa hazina update ya android version? Yaani kama ulinunua simu labda ina android 7, ili upate android 8, itakulazimu wewe kununua toleo jingine la simu yao yenye hiyo android 8. Wakati wenzenu wa Samsung wao wanafanya ku-update tu na kupata...
  9. Jipatie Tecno Spark 4 kwa bei nafuu

    Tecno Spark4 Ina Camera tatu nyuma na moja mbele, Face lock na Finger print. Ram 2GB 32GB Tsh. 200,000/= Simu Ina mwezi moja na nusu kwaiyo bado mpya Wala haina mchubuko hata moja. Nipo DSM. Simu 0684329230
  10. TECNO C9 = 90,000

    Haina tatizo lolote simu imesimamia ukucha, ilivunjika kioo ikabadilishwa kwasasa simu imekua mpyaaa kama imetoka dukani. Mawasiliano karibu PM Location: Dar-es-salaam
  11. Naomba msaada jinsi ya KUROOT TECNO LC6

    Nahitaji KUROOT TECNO LC6 Naombe
  12. Samsung A30s na Tecno Camon 12 pro. Simu ipi kali?

    Wakuu kati ya hayo matoleo mawili hapo, simu gani ni kali zaidi?
  13. Hawakufahamiana Kabisa! Lakini TECNO Iliwakutanisha.

    Haikuwa rahisi, lakini hatua kwa hatua hatimaye ikawezekana! Lengo lilikuwa ni kuhakikisha Valentine inakuwa ya kipekee sana kwa wateja wa simu za TECNO SPARK4, CAMON 12 na CAMON12 AIR, pamoja na fans kutoka kurasa za TECNO za mitandaoni kwa kuwapeleka sehemu maalum kwaajili ya kuvinjari...
  14. TECNO Yatoa Misaada Ya Shule Kwa Watoto Yatima

    Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza wa masomo, kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo Chanika Jijini Dar es Salaam ili kuwawezesha kurudi mashuleni mnamo Tarehe 22.Feb.2020 Msaada huo...
  15. TECNO yadhamiria kusogeza huduma zake karibu na wananchi

    Kampuni ya simu za mkononi TECNO imezindua duka kubwa la simu, maarufu ‘Smarthub’ Mtaa wa Mwenge jijini Arush, duka ambalo linatoa huduma mbalimbali ikiwa ni hatua muhimu katika kusogeza huduma kwawananchi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka hilo mwishoni mwa wiki, Afisa Utamaduni Jiji la...
  16. Simu yangu aina ya Tecno Pop1 imezima msaada wadau

    Simu yangu aina ya Tecno pop1 imezima kuna fundi kaicheki kasema inatakiwa iflashiwe je kuflash ni sh ngapi? Je, inaweza kusolve tatizo?
  17. Je ujio wa Teno (A.K.A. Skullo) unaweza pelekea mashabiki kumsahau Tecno?

    Moja kwa moja kwenye mada, wengi wetu tukisikia jina la Tenko au tekno miles . Basi ni ukweli usiopingika moya kwa moya kama siyo moja kwa moja , kila mtu anajua kuwa huyo ni mkali toka pande za Nigeria . ambaye mbaka sasa ameshatamba na vibao kadha wa kadha kama vile " PANYA" , DAYANA bila...
  18. TECNOkutimiza ndoto yako Valentine day 2020

    Kuelekea kusherehekea siku ya wapendanao Februari 14, kampuni ya simu za mkononi TECNO, imeandaa mambo makubwa ambayo yatatimiza ndoto za wateja wake wengi watakaonunua simu za TECNO SPARK4, CAMON 12 na CAMON12 AIR, sio tu wateja hata wafuasi wake wa kurasa za TECNO mtandaoni watapata nafasi...
  19. Una Maoni Gani Kuhusu TECNO, Bajeti Yako na Namna Ulivyoanza Kutumia Smartphone

    Hello wadau! Ikiwa imebaki wiki moja tuumalize mwezi Januari, leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana Tanzania. Huku ikionesha kuwa asilimia kubwa ya watu walioanza kutumia smartphone kwa mara ya kwanza kulingana na tafiti zetu...
  20. Kampuni ya Simu ya TECNO Yaimarisha Ushirikiano wake na Google Kwenye Mkutano wa Maonesho ya Teknolojia 2020

    Toleo jipya la simu CAMON 12 Pro ya hivi karibuni imewekewa kitufe cha Msaidizi wa Google (Google assistant) ambacho kinaruhusu watumiaji kufanya mambo mengi zaidi kwenye mfumo wa Google. Kampuni kinara ya Kimataifa ya simu za rununu ya TECNO yenye simujanja yake ya Camon 12 Pro ya hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…