Hawakufahamiana Kabisa! Lakini TECNO Iliwakutanisha.

TECNO Tanzania

Verified Member
Nov 30, 2019
40
125
Haikuwa rahisi, lakini hatua kwa hatua hatimaye ikawezekana! Lengo lilikuwa ni kuhakikisha Valentine inakuwa ya kipekee sana kwa wateja wa simu za TECNO SPARK4, CAMON 12 na CAMON12 AIR, pamoja na fans kutoka kurasa za TECNO za mitandaoni kwa kuwapeleka sehemu maalum kwaajili ya kuvinjari.

Safari ilianza kwa kumpeleka saluni Queen Alfred (fan wa TECNO Instagram) kwaajili ya kufanyiwa makeup.
Unnamed QQ Screenshot20200228131911.png
Unnamed QQ Screenshot20200228132143.png

Mwonekano wa Bi. Queen baada ya kufanyiwa make up

Hii ni maarufu kama Blind date yaani kukutanisha watu wasiofahamiana wawe marafiki waweze kubadilishana mawili matatu.

Hivyo Baada ya mwanadada Queen kupelekwa saluni, upande wa mwanaume naye alipelekwa duka la nguo kwa gharama za TECNO kwaajili ya mavazi murua! Huyu ni mteja wa TECNO Camon 12 ambaye ni Bw. Kalebo.

Unnamed QQ Screenshot20200228132800.png

Mwonekano wa Bw. Kalebo baada ya kuvaa nguo
kwenye moja ya maduka maarufu ya nguo.

Baada ya hapo walipelekwa Hoteli maarufu kwaajili ya kupata chakula cha usiku yaani 'dinner' bila kufahamiana na hatimaye TECNO ilimkaribisha mmoja baada ya mwingine kwenye meza maalum iliyokuwa imeandaliwa. Hapa ndipo walipofahamiana.
Unnamed QQ Screenshot20200228135105.png

Kalebo na Queen Alfred washindi wa TECNO Blind date wakipeana maua ishara ya kuanza kufahamiana baada ya kukutanishwa bila wao kufahamiana.

Shughuli ya chakula baada ya kuisha, kila mmoja alipelekwa kwake. Je, Kalebo na Queen wameendelea kuwasiliana kuimarisha urafiki au la? Endelea kuwa nasi, ipo siku tutaleta
mrejesho😊😊

Katika Valentine ya 2019, TECNO iliwapeleka wateja wake kutembelea maeneo mbalimbali ya kitalii visiwani Zanzibar kwaajili ya mapumziko bila wao kuchangia gharama yoyote. Mpaka sasa TECNO inaendelea na kampeni ya kuwapandisha wateja wake kwenye helikopta mwezi Machi.
 
From Sir With Love

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
1,908
2,000
Nimeipend hiyo nadharia. Japo picha ya kwanza ya huyo mrembo haikutoka vizuri. Nimependa pozi lake la kukalia tako moja, japo camera imemuangusha. Natamani mngetengeneza clip badala ya kupiga picha.

Msikatishwe tamaa na maneno ya watu, lakini pia jitahidini kuleta simu ambazo ni rafiki na zenye value for money.
Haikuwa rahisi, lakini hatua kwa hatua hatimaye ikawezekana! Lengo lilikuwa ni kuhakikisha Valentine inakuwa ya kipekee sana kwa wateja wa simu za TECNO SPARK4, CAMON 12 na CAMON12 AIR, pamoja na fans kutoka kurasa za TECNO za mitandaoni kwa kuwapeleka sehemu maalum kwaajili ya kuvinjari.

Safari ilianza kwa kumpeleka saluni Queen Alfred (fan wa TECNO Instagram) kwaajili ya kufanyiwa makeup.
View attachment 1371456 View attachment 1371460
Mwonekano wa Bi. Queen baada ya kufanyiwa make up

Hii ni maarufu kama Blind date yaani kukutanisha watu wasiofahamiana wawe marafiki waweze kubadilishana mawili matatu. Hivyo Baada ya mwanadada Queen kupelekwa saluni, upande wa mwanaume naye alipelekwa duka la nguo kwa gharama za TECNO kwaajili ya mavazi murua! Huyu ni mteja wa TECNO Camon 12 ambaye ni Bw. Kalebo.

View attachment 1371461

Mwonekano wa Bw. Kalebo baada ya kuvaa nguo
kwenye moja ya maduka maarufu ya nguo.

Baada ya hapo walipelekwa Hoteli maarufu kwaajili ya kupata chakula cha usiku yaani 'dinner' bila kufahamiana na hatimaye TECNO ilimkaribisha mmoja baada ya mwingine kwenye meza maalum iliyokuwa imeandaliwa. Hapa ndipo walipofahamiana.
View attachment 1371489
Kalebo na Queen Alfred washindi wa TECNO Blind date wakipeana maua ishara ya kuanza kufahamiana baada ya kukutanishwa bila wao kufahamiana.

Shughuli ya chakula baada ya kuisha, kila mmoja alipelekwa kwake. Je, Kalebo na Queen wameendelea kuwasiliana kuimarisha urafiki au la? Endelea kuwa nasi, ipo siku tutaleta
mrejesho

Katika Valentine ya 2019, TECNO iliwapeleka wateja wake kutembelea maeneo mbalimbali ya kitalii visiwani Zanzibar kwaajili ya mapumziko bila wao kuchangia gharama yoyote. Mpaka sasa TECNO inaendelea na kampeni ya kuwapandisha wateja wake kwenye helikopta mwezi Machi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
2,722

Ivi nyie mna uhakika hamjavunja Ndoa/Mahusiano ya Watu? au mlideclare kwamba wote wako Single?
 
TECNO Tanzania

Verified Member
Nov 30, 2019
40
125
Ivi nyie mna uhakika hamjavunja Ndoa/Mahusiano ya Watu? au mlideclare kwamba wote wako Single?
Moo Click, kama ulitufuatilia ni kwamba tulitangaza kuwa watakaokwenda Blind Date ni wale 'single' pekee. Wengine walipewa zawadi nyingine kama simu, na wengine watapata nafasi ya kupanda Helikopta kulitazama Jiji la Dar es Salaam hapo mwezi Machi.
 
TECNO Tanzania

Verified Member
Nov 30, 2019
40
125
Acheni siasa nyie kampuni nyingine hata matoleo ya zamani hayana matatizo Kama ya kwenu nilikua natumia pop2 nimeamua kuacha ana nayo boresheni simu zenu
Simu yoyote inaweza kupata tatizo kutokana na matumizi. Simu zetu zina warantii ya mwaka mzima na pia hata warantii ikiisha na ikakuletea hitilafu, unaweza kuwasiliana nasi ili kupata msaada zaidi hasa kwenye vituo vyetu vya huduma za kiufundi vya Carlcare Service Center.
 
Mileage

JF-Expert Member
Feb 27, 2020
380
500
Moo Click, kama ulitufuatilia ni kwamba tulitangaza kuwa watakaokwenda Blind Date ni wale 'single' pekee. Wengine walipewa zawadi nyingine kama simu, na wengine watapata nafasi ya kupanda Helikopta kulitazama Jiji la Dar es Salaam hapo mwezi Machi.
Haha ! Kwamba huyu baharia alikuwa "Singo" ! Kazi ipo.
 
Top Bottom