Naomba msaada wa kutatua tatizo hili, natumia simu aina ya Tecno F1 MT6580

rabyn kiwinga

Member
Sep 21, 2014
38
95
"phone ACK error ( get infor)_id_03_01" by gsm alladin V2 1.34

msaada mwenye kufahamu namna ya kusolve io kitu..ahsanteni!!
 

rabyn kiwinga

Member
Sep 21, 2014
38
95
Unajaribu kurepair IMEI?

Next time hiki ulichoandika kisearch kwenye google. Utaletewa mpaka solutions zake.

Humu kumejaa watu miyeyusho kibao. Wa kwanza kashakwambia Tecno siyo simu
dah google nimepita adi you tube kila mtu anaongea lake mkuu!!...
 

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
245
250
sp flash tool inaleta error mwishoni.."
BROM ERROR : S_SECURITY_SECRO_HASH_INCORRECT (6126) , MSP ERROE CODE : 0x00
Inaonekana firmware yako haimatch na hyo simu kwenye secro.img au baadhi ya mafile ya hyo firmware yame corrupt. Jarb kuflash bila kutick secro.img partition.
 

Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,760
2,000
MKUU, hili jukwaa wajuaji wengi sana nakushauri kama unatumia cracked software katika operatons zako huwa kuna baadhi ya simu lazima zidunde so nakushauri jichange ununue device.

kama unataka files za simu pitia bonyeza hapa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom