technology

  1. P

    JamiiForums Tanzania Computer engineering vs Computer science

    Je,course ya computer engineering ina dili nchini au Africa kama ilivyokuwa computer science?
  2. akul

    JamiiForums Tanzania Suala la ajira kwa wenye Diploma ya food science and technology limefikia wapi?

    Hivi ndugu zangu suala la ajira kwa upande wa Diploma ya food science and technology limefikia wap maana ni mda umepita tunaomba serikali iliangalie
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mati Technology yapanua wigo wa Kilimo kwa Teknolojia ya Drone

    Na Mwandishi Wetu. KAMPUNI ya Mati Super Brands Ltd kupitia tawi lake la Mati Technology imezindua teknolojia mpya ya ndege nyuki (drone) zinazotengenezwa nchini, zenye uwezo wa kuboresha sekta ya kilimo na huduma nyingine za kijamii. Mkurugenzi Mtendaji wa Mati Group of Companies, David...
  4. will93580

    JamiiForums Tanzania Technology

    Has technology improved the overall quality of life in the 21st century?
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia satellite badala ya minara ya simu kufanya mawasiliano

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tcra) imetoa mwongozo mpya itakayoweza kubadilisha namna ambavyo Watanzania wanavyopata huduma za simu. 🗯️ Mwongozo mpya utoaji wa mawasiliano ya moja kwa moja toka kwenye simu kwenda kwenye satellite, iliyotolewa julai 2025, huruhusu simu za mkononi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi – gpmsc technology & banking company

    🔷 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – GPMSC TECHNOLOGY & BANKING COMPANY 🔷 --- GPMSC TECHNOLOGY & BANKING COMPANY, taasisi inayoongoza kwa huduma za kibunifu za kiteknolojia na kifedha, ikiwa ni kampuni na benki ya kisasa yenye makao makuu Bugarika, Mwanza – Tanzania, inatangaza nafasi za kazi kwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania GPMSC Technology company inatangaza ajira

    Kampuni ya GPMSC Technology company. Inatoa nafasi 24 Vigezo 1. Uwe Mwanza. 2. Accountant Nafasi 4 3. HR nafasi 4. 4. Wanasheria nafasi 4. 4. Secretary nafasi 4 5. IT nafasi 4 6. Afisa mahusiano, nafasi 4 7. Wote muwe na TIN number binafsi za TRA. NIDA number. 8. Cheti ni kwa Secretary. 9...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nani technology gani ilitumika kuonekana Mtoto mdogo anajua kuigiza Katika baby day out

    Kuna kitu mpk leo najiuliza perform ya dogo ukimuona ni kweli alikuwa anajitambua kabisa kwa sasa naigiza au nyingi NI edit Tu za computer kumbuka movie unatoka hata ai tools ilikuwa bado kuanza.
  9. V

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima vya maji vya kisasa

    Karibuni Sana wells technology wachimbaji wa visima vya maji safi na salama borehole gharama za uchimbaji kisima ni kwa mita Dar es salaam na pwani mita moja 90,000 Mikoani mita moja 140000 Gharama zinacover uchimbaji mpk kufunga pump mawasiliano 0657710078 . 0769509666
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Ogopa Sana Mungu na technology

    Huyu Shekh kumbe ni kada mtiifu wa kijani kinondoni
  11. T

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya web 3( blockchain technology)

    Jaman watanzania nahamasisha muamko katika teknolojia ya masjala mtawanyiko(blockchain technology ) kwa sababu kuna baadh ya nchi za Afrika zimepiga hatua katika hii teknolojia na zinaitumia katika ustaw wa Jamii na nchi zao,.. Nchi kama Kenya, .Ghana, Nigeria na kadhalika zimesharasimisha...
  12. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Elimu na teknolojia ya Tanzania iboreshwe kwa viwango vya juu ili iandae watu wenye uwezo mkubwa

    Matatizo mengi yanasababishwa na uwezo mdogo wa Elimu Elimu ya kikoloni Wenzetu wanaendelea kwa kasi Kwa sababu ya elimu yao ibo vizuri Na technology Ni bora mtu asomee kitu atakachobobea awe mtaalamu zaidi
  13. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Tantech services

    Karibu Tantech ujipatie huduma mbalimbali kwa bei nafuu kama website,system,application design.,Digital marketing,social media boosting followers tiktok 1k=8000tzs instagram 1k=8000tzs likes tiktok 10k=12000tzs instagram 10k=12000tzs views tiktok 10k=10000tzs instagram 10k=10000tzs karibu...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Moto waunguza Bweni la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST)

    Taarifa ni kuwa kuna bweni la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology) linaungua kwa moto leo Mei 20, 2025. UPDATES... ( Taarifa ya Mtandao wa Mustso_updates) Moto mkubwa ulizuka katika Hostel za Wasichana 8C lakini umekwisha kudhibitiwa, mpaka...
  15. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Ajira za watu wa information technology (IT)

    Habari za muda huu watu wa JF. Samahani kwa kuwachosha pia poleni na majukumu ya kazi za hapa na pale Nauliza kuhusu nafasi za kazi kwa mtu aliyesoma diploma ya information technology au degree maana nimepitia nyuzi nyingi sana humu sijaona wakiongelewa huenda wengi wamejiajiri tofauti na...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Specialist; Technology Control at NMB Bank May 2025

    Specialist; Technology Control (1 Position(s)) Job Location : Head Office, Hq Job Purpose: Responsible for identifying, assessing, mitigating, and monitoring technology-related risks across all technology functions and ensuring compliance with relevant regulations and internal policies...
  17. Gordon Technology

    JamiiForums Tanzania Wauzaji Vitasa vya kufungua kwa fingerprint na password in Dar es salaam

    Piga 0746373222 Kwa mahitaji ya vitasa janja (smart lock) yani vitasa ambavyo unaweza kufungua kwa funguo za kawaida na pia ukitaka unafungua kwa password au fingerprint au app ya simu au card. Vipo vitasa kwa ajili ya milango ya mbao,milango ya alminium,milango ya vioo na pia milango ya...
  18. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Technology Yetu miaka 10 ijayo je tutakuwa wapi?

    Wadau wa technology: Software Robotics AR & VR technology Mobile Computing Tech in Health Nk. Predictors (Pattern recognitors) wa tujadili next gen tech
  19. G

    JamiiForums Tanzania Level ya diploma information and communication technology nauliza maswali ya practical interview yana base wapi

    Wadau kwa aliewahi kufanya usaili wa vitendo kwenye level ya diploma in information and communication technology ni kipengele gani huwa wana deal nacho
  20. Radical-1

    JamiiForums Tanzania Kijana kutoka Namibia ametengeneza Simu isiyotumia sim-card (line)

    Huyu kijana wa Namibia kwa jina la SIMON PETEUS amegundua simu isiyohitaji mfumo wa SIM (yaani kibongobogo laini za simu) Je unadhani hili lina madhara gani kwa watu wa kawaida na kwa wamiliki wa mitandao ya simu kama Vodacom, Airtel na zingine ikiwa simu hii itaingia sokoni? Simu haihitaji...
Back
Top Bottom