tech

Virginia Tech (formally the Virginia Polytechnic Institute and State University and informally VT, or VPI) is a public land-grant research university with its main campus in Blacksburg, Virginia. It also has educational facilities in six regions statewide, a research center in Punta Cana, Dominican Republic, and a study-abroad site in Riva San Vitale, Switzerland. Through its Corps of Cadets ROTC program, Virginia Tech is a senior military college.Virginia Tech offers 280 undergraduate and graduate degree programs to some 34,400 students. It manages a research portfolio of $522 million, placing it among the top 50 universities in the U.S. for total research expenditures, top 25 in computer and information sciences and top 10 in engineering, with the latter two the highest rankings in the state. It is classified among "R1: Doctoral Universities – Very high research activity". As of 2015, Virginia Tech was the state's second-largest public university by enrollment.VT has produced two Rhodes Scholars, four Marshall Scholars, 38 Goldwater Scholars, and 131 Fulbright Scholars. Among its alumni are eight Medal of Honor recipients, 97 flag officers, governors of two U.S. states, two astronauts, and one billionaire. Three Nobel laureates and one MacArthur Fellow have received a degree or served as faculty members at the university. As of 2015, VT had more than 240,000 living alumni worldwide.The university's athletic teams are known as the Virginia Tech Hokies and compete in Division I of the NCAA as members of the Atlantic Coast Conference.

View More On Wikipedia.org
  1. Papaah

    Biomedical Engineering (DIT) vs Electrical and Biomedical Engineering (Arusha Tech)

    Salaam wakuu, Kwa ujuvi wa mambo, ukiwa na lengo la kua Biomedical Engineer mzuri kibongo bongo lipi ni chaguo sahihi zaidi hapo juu? Nawasilisha...🙏
  2. Waziri Mayai Wa Maradhi

    Kenya Pours More Money Into Long Delayed Nairobi Tech Hub

    A stalled tech hub in Nairobi has been given a new contractor backed by additional cash more than ten years after it was first envisioned as a flagship of Kenya's industrial modernisation push, prolonging the postponement of a crucial innovation pillar proposed in 2013. Pitched as a...
  3. The Dictator

    Hii ndio tech. ya kibabe dhidi ya starlink...'STARLINK KILLER'.

    "Kalinka & Tobol" ni mifumo ya kivita ya kielektroniki (EW) ya Urusi ambayo hivi karibuni imepata umaarufu kwa madhumuni yake ya kugundua na kuvuruga mawasiliano ya satelaiti, hasa yale ya Starlink, wakati wa migogoro. Kalinka: Mfumo huu ni wa kisasa zaidi na uliundwa mahsusi kukidhi mahitaji...
  4. Bigmaaan

    Tech guyz, Msaada wa kutoka kwenye hii Error message: 0x80070057

    Hii PC mwenyewe anasema ghafla tu ilizima. Nikiwasha inalizimisha kufanya Auto repair. Inakaa hivyo kwa zaidi ya masaa 12. Nimejaribu kureset, kufanya system restore, kufanya new installation of window. Inaleta Error message hii: 0x80070057
  5. X

    Marekani ina uhaba wa wataalamu waliobobea kwenye kutengeneza bidhaa za 'high technology'

    Mara kadhaa kwenye hili jukwaa na la tech nimekuwa na mijadala na watu wa Pro-Americanism. Huwa nawaambia Marekani ina uhaba wa skilled personnel hasa katika kutengeneza bidhaa ambazo ni complex au za high tech wengi hubisha. Uzuri ni kuwa Trump ni kama saa mbovu kuna wakati huwa inasema...
  6. Isaka James

    Sekta ya Teknolojia Tanzania: Tech Zinazodominate na Fursa za Kazi kwa Job Seekers

    Habari wadau wa Jamiiforum! Mimi ni tech enthusiast hapa Dar, na leo nataka kushare thoughts zangu kuhusu technologies zinazotawala Tanzania na how they can help you kufind job au improve in your current one. Kama unajua, global tech na local one ni different sana, especially in developing...
  7. babukijana

    Shilam Disco Tech Dom au NK

    Wakulungwa mshafika humo hapo Dom enzi hizo, Shilam Disco ilikuwa balaa la mjini. Ilikua dakika mbili tu toka home kufika mle, tumecheza sana break dance mle ndani. Na wale mabinti ukiwakuta mle, walikua wazuri,wazuri sana. simu Hamna mnaandikiana barua kupitia SLP. Unaandika leo unatuma mwenzio...
  8. Isaka James

    Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  9. fundi radio

    Serikali ya Tanzania inapaswa kutekeleza shughuli zake zote za kiuchumi/maendeleo kupitia wasomi wazawa

    Hivi sasa Tanzania ina miaka Zaidi 60 tokea tupate Independence, ina wasomi mbalimbali na wataalamu kwenye different sectors. kwa mujibu wa sensa ya 2022 umri kati 18-35 ni 77% ya watu wote nchini. eeh nguvu kazi ni ya kutosha. kupitia vyuo vikuu , vyuo vya kati, ufundi(VETA), SIDO na...
  10. jikuTech

    Jiku Tech Tips | Mambo ya SIRI ya TEHAMA

    Kuna Siri nyingi katika Dunia na ulimwengu wote, zilifichwa muda mrefu sana na mataifa machache, lakini muda mrefu ni mrefu kwetu sisi kutokana na ukomo wetu wa muda wa kuishi duniani ila kwa nature (universe ) ni kama usiku na mchana. Siku hizi kuna AI Inakupa hata mambo ya sirini, inakutolea...
  11. M

    Siri Mpya ya Coder Kupanua Uwezo Wake na Kujenga Future ya Maendeleo ya Tech..

    Zamani, dunia ya software development ilikuwa kama mji usio na ramani. Kila developer alikuwa akijenga daraja lake mwenyewe kuunganisha tools, APIs, na frameworks. Kila API ilikuwa kama mlango wenye funguo tofauti—na kupata kila kitu kifanye kazi pamoja ilihitaji muda, pesa, na nguvu kubwa...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗨𝗻𝗮𝗽𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗷𝗶𝗵𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗶 𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗺𝗯𝗼 𝘆𝗮𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼 𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝘀𝗮𝗹𝗮𝗺𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼𝗻𝗶

    Intaneti ni moja wapo ya chombo muhimu sana katika ulimwengu wa Leo , imefanikiwa kuunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kote. Hata hivyo pamoja na manufaa yake huja na vitu ambavyo ni hatarishi upelekea usalama wako kuwa mdogo pamoja na faragha kwa ujumla. Hakikisha unazingatia mambo...
  13. Brayan_Jk

    How A young Tanzanian farmer built promising Poultry Tech startup

    By Josephine Christopher Josephine Christopher is a senior business journalist for The Citizen and Mwananchi newspapers Mwananchi Communications Limited After a failed poultry venture left him in debt and despair, Brayan Kimaro transformed his hard-earned lessons into Fuga, app and and Fuga...
  14. V

    Natafuta kazi ya ya Pharm Tech

    Mimi Ni KE 24. Natafuta kazi ya kuuza pharmacy nmemaliza chuo mwaka 2024. Mimi ni pharm tech nmefany mtihan mwaka huu wa leseni. Npo Dar es salaam.
  15. President of China

    Tech and AI battle kati ya USA na China, Makampuni Mengi ya USA yanaongozwa na wachina (Battle ni China vs Chinense diaspora) - USA vita hawezishinda

    Watu wengi hufikiri vita ya teknolojia ni kati ya USA na China… Lakini ukichunguza kwa undani, kuna vita isiyo rasmi kati ya China ndani ya china na diaspora yake Wachina walioko Marekani wanaoongoza makampuni makubwa ya AI ya Marekani. 1. Vita ya Teknolojia: USA vs China (Kiwango cha Serikali)...
  16. magabelab

    Boya: mjuaji wa tech za majuu,

    .
  17. Tanzanian kid

    My Tech Learning Journey Has Begun.

    A few weeks ago, I made a decision that could shape my future: I started learning front-end development. My focus right now is on HTML, CSS, and CMS platforms like WordPress. It’s exciting, sometimes challenging, but very rewarding. My goal is to be able to create beautiful, responsive...
  18. P h a r a o h

    Discoveries, Science, Technology and Nature

    Ninauweka wakfu uzi huu kwaajili ya ku-share mambo yanayohusiana na uvumbuzi, sayansi, teknolojia, na nature leo naanza na hii Sungura wa California wameanza kula nyama: utafiti mpya unaonyesha kuwa wanakua wawindaji Katika mabadiliko yasiyotarajiwa ya asili, sungura wa California...
  19. Technophilic Pool

    China inatumia Tiktok kuadvance agenda zake kimataifa kwanini Tanzania isitumie app za ndani kama JamiiForums Kudominate Global tech??

    Wakuu nauliza tu!! Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!! Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech zetu hata kama ndogo kuadvance kwene uso wa dunia Mfano ni hii JamiiForums ambayo mizizi yake ni hapa...
  20. figganigga

    Tech & media convergency (TMC) yashirikiana na Ubalozi wa Marekani dar, katika kutekeleza mradi wa kuimarisha ushirikiano katika ajenda ya kidijitali

    Dar es Salaam, 16 Januari, 2025 - Tech & Media Convergency (TMC) Inapenda kuwatangazia ushirikiano wake na Idara ya Serikali ya Marekani (Ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam) katika kuzindua Mradi wa kimapinduzi ya Tanzania Digital Collaboration." Programu hii ya kibunifu unalenga kuimarisha...
Back
Top Bottom