Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Gerson Msigwa, amebainisha kuwa Serikali ipo katika hatua za kuanzisha Sports Infrastructure Management Agency (SIMA).
Akizungumza katika kipindi cha Morning Trumpet cha Azam TV leo, Bw. Msigwa...