Habari wadau,
kwa yeyote anaefahamu usaili wa oral TBS upoje kwa nafasi ya esearch, quality assurance or inspection officer unakwaje?, maswali gani ni common sana? au kama umewahi fanya usaili wa TBS na unakumbuka maswali uliyoulizwa nomba tusaidie tuwaokoe vijana na Mungu akubariki.