Shirika la Viwango Tanzania (TBS) pamoja na majukumu mengine hufanya ufuatiliaji wa bidhaa za mbogamboga ili kuhakiki usalama wake. Kilimo cha mazao ya mbogamboga, hutumia viuatilifu ili kukabiliana na wadudu waharibifu, magonjwa ya mimea na magugu ambapo viuatilifu vinavyotakiwa kutumika ni...
Kwa sasa hata bidhaa za kawaida tulizokuwa tunanunua bila mawazo inabidi kuumiza kichwa ili usipigwe. Dawa ya meno usiponunua duka la dawa kuna uwezekano mkubwa wa kupigwa na fake zenye ladha na texture za ajabu ajabu. Mafuta ya kula nayo lazima utulie, sometimes unahisi tumeletewa gutter oil...
Nimeamua kuweka uzi huu kwasababu hata TBS wanaopaswa kutulinda wamebaki kuwa watazamaji, kuna bidhaa feki nyingi sana mtaani
Kuna bidhaa za kampuni ya ORAIMAB ikiwemo powebank niliyonunua, kaeni nazo mbali.
Sehemu nilipo kumeanza mgao wa umeme, Siku ya jana (Jumanne) nikaingia Facebook...
Unanunua bati lililopakwa rangi lakini ndani ya muda mfupi lishapauka vibaya. Sisi wananchi hatuwezi kutambua kwa kuona mabati ya rangi original.Wala bei sio kigezo cha kujua kwamba haya mabati ya rangi ni original au fake.
Kampuni zote zikitengeneza mabati ya rangi zinatakiwa zifuate standard...
Pombe feki mtaani imekuwa jambo la kawaida sana siku hizi
Yaani unaweza kupata chupa ya Hennessy na box yake Kwa elfu 40, hii inakuwa na ladha Ile Ile ni ngumu Kwa mtu wa kawaida kuzitofautisha
Jack Daniels fake ni nyingi mno na zinauzwa elf 30 wakati kawaida hii pombe inauzwa 150k
Mtanganyika...
WAZIRI MKUU KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA TBS MAKAO MAKUU DODOMA
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuweka jiwe la msingi katika jengo la TBS (VIWANGO House) kesho Juni 04,2025 katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa...
Habari wadau,
kwa yeyote anaefahamu usaili wa oral TBS upoje kwa nafasi ya esearch, quality assurance or inspection officer unakwaje?, maswali gani ni common sana? au kama umewahi fanya usaili wa TBS na unakumbuka maswali uliyoulizwa nomba tusaidie tuwaokoe vijana na Mungu akubariki.
Kutokana na kuwepo kwa vikundi vingi vidogovidogo vya wajasiriamali vinavyozalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo za vyakula wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, vikundi hivyo vimeahidiwa kutafutiwa wakala wa Vipimo hapa nchini TBS ili waweze kuwafikia wajasiriamali hao na kupima bidhaa zao ikiwa kama...
Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha ndizi zao.
Sasa kama kuna mamlaka ambayo inahusika ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama na...
Introduction
The Tanzania Bureau of Standards (TBS) plays a crucial role in ensuring food safety and quality in Tanzania. Recent discussions regarding the use of ethylene gas for ripening bananas in Dar es Salaam highlight the need for transparency and consumer safety. Ethylene, a natural plant...
Wasalaaam.
Mheshikiwa Raisi wa Tanzania, waziri wa afya, na mamlaka husika za afya naomba mpitie hii uzi
Leo kuna jamaa yangu kanionyesha bidhaa zake anazouza NeoLife. Ila nimegundua kuwa bidhaa hizi zinaweza kuleta matatizo makubwa ya afya nchini.
Kwa sababu gani? Mfano hii bidhaa ya...
TBS - Tanzania Bureau of Standards (TBS) - Tanzania
ARTISAN II (PLUMBING AND PIPE FITTING) at TBS October 2024
TBS - Tanzania Bureau of Standards (TBS) - Tanzania •
Full-time
Job description
Job type: Full-time
POST ARTISAN II (PLUMBING AND PIPE FITTING) – 1 POST
EMPLOYER Shirika la Viwango...
Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote...
Kwa Kiswahili kinajulikana kama CHOMBO CHA KUSIMAMIA UBORA TANZANIA (TBS)
Jina zuri lakini la kizungu.. Sio tatizo sana
Jengo zuri la viwango
Mazingira mazuri ya Kazi
Vitendea Kazi bora
Maslahi, marvellous na mishahara yakuvutia LAKINI
Watendaji wake ni waovu, wanuka rushwa wasio na chembe ya...
Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani.
Hii hali imenipa mashaka makubwa juu ya matokeo ya baadae ya tasnia ya ufundi na ujenzi wa uhakika mitaani...
Tunaomba Serikali yetu sikivu iangalie hili janga la Vipodozi Haramu vinavyouzwa kama njugu hapa Matui na bwana moja anayejieta ni Agent wa Vipodozi kutoka Congo, Zambia na South Africa, huyu mtu ambae anajieta Jina la hivyo Vipodozi anauza hadharani hivyo Vipodozi ambavyo vimepigwa Marufuku na...
Hii nchi ina mambo ya ajabu sana mpaka mtu unashindwa kuelewa hizi taasisi zinafanyje kazi. Mfano mzuri Shirika la Viwango pamoja na Tume ya Kuwalinda Walaji ziko wapi wakati watu wanaingiza Bidhaa Feki kila mahali na wanauza kwa uhuru kabisa. Imagine mtu anatangaza kabisa iPhone 15 Pro ni Tsh...
Huwa kuna vita ya kiuchumi,
Huwa kuna makosa ya kiufundi
Wananchi tunatumia bidhaa zinazozalishwa nchini na nje ya nchi na uwezo wa ku control kila kitu ni mdogo.
Je hatuoni haja ya TBS kuwa taasisi imara na yenye kila resources ili waweze kufungua ofisi sehemu mbali mbali nchini na hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.