tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania IDM ni software muhimu, kwanini watu wengi hata wenye uwezo kiuchumi hawataki kuinunua wapo tayari kuteseka na matoleo ya kuchakachua yanayosumbua

    Unaweza kuwaelewa watumiaji kama wanafunzi kutumia matoleo ya kuchakachua ila inakuwa too much mtu anaitumia idm miaka zaidi ya 10 na uwezo anao bado hataki kuinunua anakomaa na matoleo ya crack yenye changamoto nyingi kuanzia virus, ujumbe kutokea mara kwa mara wa kuinunua, ku expire, n.k.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Houthi:" tupo tayari kuishambulia Israel endapo makubaliano yatasitishwa

    Mikono yetu ipo kwenye trigger na tupo tayari kwa mapambano kama Israel atasitisha makubaliano na kuamua kushambulia gaza-HOUTHI HOUTHI wametoa msimamo huo mara baada ya Hamas kudai hawatoachia mateka siku ya jumamosi wakidai Israel wamekiuka na kuvunja makubaliano. Hali kadhalika Waziri...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Jordan kaenda white house kamuunga mkono Trump kuwahamisha wapalestina, Misri na nchi nyingine kukutana Saudi Arabia kusuka mpango kazi

    Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo uliangazia juhudi zinazoendelea za kubadilisha mwelekeo wa Mashariki ya Kati, hasa kuhusu uhamishaji...
  4. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Ukraine iko tayari kutoa ardhi yake Kwa urusi kumaliza vita

    Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao. Chanzo: SPECTATOR INDEX
  5. R

    JamiiForums Tanzania Unapokutana na vibaka kuna mambo matatu tu, kimbia sana, uwe tayari kwa pambano au utoe ushirikiano, usianze kuleta ubishi / ujuaji.

    Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara. Unapokutana na wezi ni option tatu pekee 1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

    Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k. Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
  7. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Wakati wenzao wanajiandaa na mchezo wao wakajiona tayari mabingwa wakaenda kuzurura bungeni dodoma

    Weka neno moja kisha pita kimyakimya 😀
  8. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania Baada ya jana Nyamibwe kuangukia mikononi mwa M23, leo tayari wapo Ihusi

    https://x.com/StanysBujakera/status/1887306274750030073 Akiongea Vital Kamerhe, anasema: muda umeshatutupa; kuna wabunge hapa hata hawajui ilipo MINOVA, Nyabibwe iko wapi na maeneo mengine. Mkiambiwa, mnatakiwa muelewe hali halisi ya kinachoendelea. Nadhani wenzetu wa Kivu Kusini na Kasikazini...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  10. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Dexter: Original Sin: Season 1 Episode 8 tayari

  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: No reform no election ni maneno ya kwenye Kanga, tupo tayari kwa ajili ya uchaguzi

    “Hao wanaojitoa ufahamu kwamba No reforms no Election hayo ni maneno ya kwenye kanga, Reforms zinafanywa na bunge ni mambo ya kisheria, naomba msidanganywe tupo tayari kwa uchaguzi, na hao waliosema wamejifungia ndani kutafakari” Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos...
  12. President of China

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko, 8 zimeshawasili

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko ambapo treni 8 zimeshawasili na kati ya hizo 8, treni moja siku ya Jumamosi Januari 25, 2025 inakamilisha majaribio yake kutoka...
  13. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Putin ampongeza Trump na kusema yupo tayari kusuluhishwa na Ukraine vita iishe

  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ilivyo, Bunge lijalo Naliona kama litakuwa na vurugu nyingi hiv.Maana raisi ameshapitishwa tayari

    Wajuvi hebu tuliangazie macho bunge lijalo,hiv litakuwa na sura gani? Naliona kama litajaa pongezi nyingi sana kwa walioteuliwa,halafu kila kitu kitapita bila kupingwa ikiwa kama hongo.Namuona mpina peke yake ndiyo akiwa anasimamia shoo sababu hana cha kupoteza. We unaona nini?
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

    1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. 2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? 3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
  16. Imchomvu

    JamiiForums Tanzania Nahhitaji mchumba mwanamke alie tayari anicheki tuyajenge huu mwaka nataka kuoa

  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Simba SC mpaka muda huu tayari Mashabiki wa Simba SC wameshajichangisha Milioni 32 kati ya Milioni 100 za CAF ili ikalipwe kama Faini

    Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Trump alisema asikute huo uchafu hapo, hao mateka waachiwe kabla hajafika ofisini, na tayari HAMAS wamekubali

    Trump alipiga mkwara kwamba akiingia akute mateka wameachiwa la sivyo kutakua jehanamu, naona HAMAS, magaidi wenye mlengo wa kiislamu wamekubali amri, yule jamaa ni chizi, patanyooka sana hapo ukanda huo...... Hamas has accepted draft agreement for Gaza ceasefire and hostage release, officials...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania BAVICHA tayari moshi mweupe

    Kambi ya mabadiliko imeanza na BAVICHA. Twende kazi mpaka kieleweke. Kule tayari moshi mweupe umefuka.
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano

    Wakuu! Retired FUSO Tlaatlaah Ambaye yupo tayari aweke Laki mbili Mimi naweka Laki tano. Lisu akishindwa unachukua Laki tano. Akishinda nachukua hiyo Laki Mbili. Aliyetayari kwa Mchezo aniambie tucheze. Mwisho tarehe 15 Nasubiri
Back
Top Bottom