Baada ya kuona hakuna njia za kujipenyeza ili mkafanye uhalifu kwa kisingizio cha maandamano waandamanaji na wao wamekubali kutii mamlaka kwa kukaa majumbani.
Taarifa kutoka kwenye chanzo imara kabisa leo zimenifikia zikisema kuwa Tundu Lissu has rejected President Samia Suluhu Hassan’s offer ya kuundwa serikali ya mseto .
Jamaa anasema nipo kwenye mikono yenu ,mimi siyo bora kuliko wengine , nilichokisimamia ndicho ninachokiishi na ndicho nilicho...
Maombi kwa awaye yote. Mwenye nguvu.
Yangetokea maajabu kwa ndugu Polepole mfano wa yanayo watokea makasisi sijui mapadre wa Katoliki ya kupotea kisha kuokotwa siku kadhaa wakiwa hai huku wana msongo wa mawazo (depression) taifa lingepona.
Chuki na hasira zingepoa.
Visasi visingetarajiwa siku...
Kwa wenyeji wa jiji la Mwanza ,ni wapi wanauza taulo zenye quality ya juu kabisa ,zisizo toa manyuzi nyuzi wakati wa kujifuta mwili?
Iwe mtumba au special ili mradi iwe very high quality/fabric.msaada wadau
Yaani ukiona wanavyoumiza Watu, ukienda kituoni wanavyokujibu Vibaya, wakipita kwenye yale magari wanavyodhani wako mbinguni, KUMBE hata Taulo za Kike hawawezi kununua! What a shame!
Mnadhulumiwa hadi pesa za Pedi but kucha kuchwa mko na CHADEMA Tu kuwateka, kuwatesa na kuwaua...
Habari za kuhangaika barabarani Sasa hivi kwisha hela yangu ndio inaniletea pesa mwaka huu watu mtaani watajiuliza nafanya kazi Gani ni mwendo wa kugegeda watoto wakali hahaha
Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa.
Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa.
Oyaa tafuteni kazi nyingine.
Kufa kama nzi mnakufa
Bima ya afya hamna
Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna .
Amkeni.
Hakika wanachadema mpo kwenye wakati mgumu kuliko wakati mwingine wowote ambao mmepitia kama Chama
Kuna viongozi wengi na wanachama wenu wengi wameondoka kutokana na sababu moja au nyingine lkn naweza sema halikuwashtusha kama ambavyo litawashtusha hili ambalo litatokea sasa hivi
Ni wazi...
Ndugu zangu
Japo wapo wanawake wanao danga kwa tamaa zao binafsi ila wimbi kubwa la wanawake na mabinti wadogo wadangaji linalojitokeza ni kwasababu ya kukosa hela ya kununua Taulo za kike (ped) na nguo za ndani kutoka kwa waume zao, wazazi au walezi wao ili kujisitiri pindi anapoingia kwenye...
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Cane Growers wakionyesha maboksi ya pedi za kike zilizotolewa na Kampuni ya Kilombero Sugar leo wilayani Kilombero. Mchango huu, ambao ni sehemu ya mpango wa 'Kukomesha changamoto ya hedhi salama, unaonyesha dhamira ya kampuni hiyo katika kuendelea kupambana na...
Upatikanaji wa Taulo za kike (ped) bule Kwa mabinti kuanzia shule za msingi Hadi kidato cha Sita
Serikali haijaingiza swala la upatikanaji wa Taulo za kike Kwa wanafunzi kama kipaumbele kimojawapo cha Afya kwenda sambamba na Elimu inayotolewa bule
UTANGULIZI
Swala la hedhi nila kibiolojia ni...
Taasisi ya Victoria Foundation kwa kushirikiana na Orica Tanzania inatekeleza mradi wa hatua kwa hatua uitwao Binti Ng'ara, kwa ajili ya kumsaidia mtoto wa kike kupata taulo za kike za kumuwezesha Binti aweze kwenda shule wakati wote hasa wa siku zake za Hedhi.
Katika hafla ya Ugawaji wa Taulo...
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2023/24 Serikali ilitenga Sh Bilioni 2.64 kwa ajili ya kugharamia taulo za kike ambapo kati ya fedha hizo Sh bilioni 1.06 ni za ruzuku ya uendeshaji na Sh bilioni 1.58 ni fedha kutoka mapato ya ndani ya...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Kirumba ameongoza wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huku akigawa taulo za kike na madaftari kwa watoto wanaotoka katika mazingira magumu, kugawa sabuni na sukari kwa wanawake wajane...
Yani nikitoka kuoga nikijifuta kichwani nywele zinabaki na vipamba vyeupe na ni vigumu sana kutoka.
Kwa mataulo ya mtumba mimi niliyashindwa, yani nikifikiria tu kwamba mtu kalitumia kujifutia kwenye mfereji wa mabonde kwa muda mrefu napata kinyaa.
Ni mataulo yapi ya dukani specific ni mazuri >
Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake.
Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.