NAOGOPA
Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...