tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kuhusu shida ya maji, Tanzania kuna tatizo zaidi ya CCM

    Hivi unawezaje mueleza mtu mwenye akili timamu kwamba mikoa kama Mwanza, Geita, Kagera nk ina shida ya maji ya Bomba? Hivi Tanzania tuna pesa za kununua V8 na matumizi mengine yasiyo ya lazima ila hatuna pesa za kutoa Maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine kama Singida, Dodoma, Moro etc...
  2. JamiiForums Tanzania Hawa wanatakiwa kuachia nafasi zao kwa tatizo la Maji

    Tatizo la maji sasa ni mtambuka tutarajie magonjwa mengi kama kipindupindu, UTI, kuharisha nk.. Kabla hatujaenda kwenye solution. Hawa wafuatao waondoke kwenye nafasi zao 1. Mzee wetu Mwamunyange (mwenyekiti wa bodi DAWASA). 2. Luhemeja (mkurugenzi DAWASA). 3. Aweso (waziri wa maji)...
  3. JamiiForums Tanzania CCBRT walivyotatua tatizo la mtoto wangu la mdomo sungura

    hii ni kabla Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF. Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura. Nashukuru Mungu hadi sasa mtoto anaendelea vizuri, nimeazisha thread hii kwa lengo...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Miji ya Tanzania kunuka uchafu nini tatizo?

    Habari ndugu wadau. Hivi watanzania nini tatizo.? Miji yote ukitoa Arusha na Moshi ni michafu kupindukia, watu wanakojoa na kunya ovyo. Plastic zipo kila mahali mitaro imejaa inanuka vinyesi.Hii nchi ya namna gani? Watumishi wa Serikali wapo wanakula mshahara hakuna kinachoeleweka nani...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ni milio mbalimbali (Beep noise) inayoashiria kuwepo hitilafu kwenye computer yako

    Mara nyingi kwenye kompyuta kumekuwa na milio mbalimbali kuonyesha kwamba Kompyuta kuna hitilafu mbalimbali, na hali hii inapotokea inakuwa ni vyema kutambua tatizo lipo sehemu gani hasa. 1. Sauti kidogo tu (very short beep) sauti hii huonesha kuwepo kwa tatizo kwenye Ubaomama (motherboard) Pia...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini kampuni za mwasiliano ya simu kutuma ujumbe wa kifurushi kwisha wakati bado

    Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo. Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao. Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo siyo kuzaa kwa wingi, ila kuweza kuwahudumia unaowazaa

    Uwingi wa watu ukitumika vizuri ni mtaji tosha. Watu wakiwa wengi ni tija kwa nchi ikiwa watakuwa wazalishaji, walipa kodi na wenye uzalendo na nchi yao. Hapa tatizo siyo kuwa na watu wengi au kuzaa sana. Tatizo wanaozaliwa wanaandaliwa vipi kukabiliana na changamoto za kimaisha? Nchi ikiwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Udom kukosa kozi kama civil , electrical na mechanical engineering ni tatizo

    Poleni na majukumu Wakuu,hoja muhimu ni kwamba Imekaaje chuo Chuo kikubwa nchini kam UDOM kukosa kozi tajwa hapo juu ,ikizingatiwa ni chuo chenye uwezo wa kubeba wanafunzi wengi Tanzania.Kwanini wadau na wizara zisipunguze mzigo kwa vyuo kama Udsm,DIT,MUSTnk maana vinachukua wanafunzi wengi...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la Engine rough idle

    Kausafiri kangu ka 1ZZ-FE nilikasusa baada ya kuona hali ya sheli imekuwa tete nikaamua niimarishe mwili kwa miezi kadhaa. Juzi niliamua kukiamsha kwa kukifanyia major service. Sasa kuna tabia ya ajabu imejitokeza japo ilikuwapo ila kwa sasa imezidi. Sikuzote nilifikiri huenda ni transmission...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa. Muda mwingi analalamika hata likitokea...
  11. JamiiForums Tanzania Nehemia Mchechu bila ya ‘speed governor’ ni tatizo. Ndugu zangu wa mitaa ya ‘Al Muntazir’ Upanga mjipange

    Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa. Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me. Kama hela...
  12. JamiiForums Tanzania Adv. Bashir Yakub: Tatizo siyo Law School

    TATIZO SIO LAW SCHOOL. Tatizo ni vyuo vya sheria. Tatizo linaanza na sifa za udahili wa wanafunzi wanaostahili kusomea sheria katika vyuo, na Pili mfumo wa ufundishaji vyuoni. Kuna vyuo hadi mwenye D flat, D English, D kiswahili na D history anapata na nafasi ya kusoma sheria. Sasa hivi...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo namba moja Yanga ni Eng. Hersi Said

    Huyu jamaa ndiyo tatizo kubwa Yanga, pamoja na ndiyo kuwa sababu ya GSM kuweka Yanga ila jamaa hafai. Kila kitu anajua na anataka afanye yeye! Hawezi usiri kwenye mambo ya Yanga, mbaya zaidi anaingilia kila majukumu na tamaa yake ya kuonekana kwenye TV kila siku. Rais anaonekana kwenye TV zaidi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vyakula sio tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Tatizo ni kudharau mitishamba inayosafisha mfumo wa mwili

    Mitishamba ipo na huwa inafanya kazi. Mitishamba ilitumiwa na mababu zetu enzi na enzi na ndio maana walikuwa na wake zaidi ya wawili na shoo za ukweli zilipigwa. Leo hii nashangaa kawama inakuwa mara vyakula. Sasa kama vyakula vimeharibu mwili kwa nini usitumie miti shamba kurekebisha mwili?
  16. JamiiForums Tanzania Ni vema hili tatizo la umeme likatatuliwa haraka. Kazi zinafanyika siku mbili kati ya saba za wiki

    Au huu mgao ni huku tu? Wanakata Jtatu, tano na leo ijumaa. Wanawasha siku mbili za wiki na wikiendi. Hii inasumbua uchumi wa watu sana. Taifa litaendeleaje kwa kufanya kazi siku mbili. Fanyeni mpango kutatua hii shida. Hatuwezi enda hivi hadi mvua zije mabwawa yajae.
  17. JamiiForums Tanzania TANESCO kuna tatizo mahali

    Hi Great Thinkers Kuna mambo yanaendelea saa nyingine yanasikitisha Sana. Ivi ni Kwa nini umeme wetu siyo wa uhakika. Yaani umeme unaenda viwandani lakini ni tia maji tia maji. Saa nyingine tunahisi kuna mtu anahujumu hii shirika. TANESCO Temeke line ya kipawa au chang'omba ni kichefuchefu...
  18. JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo na madoa meusi mikononi na miguuni

    Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike umri miaka 15. mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy. Hili tatizo la kupata vipele vinavyowasha lilikua lina kuja na kupotea baada ya muda.... Baadae kidogo...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Rais gani atakuja kumaliza tatizo sugu la mgao wa Umeme?

    Tatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa mgao upo kwa Samia. Hili ni Tatizo kubwa sana, japokuwa Wamebadilishwa mawaziri na watendaji wakuu...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la wanaume kunyimwa unyumba na wenza wao kwa sababu za kuchelewa au kushindwa kutimiza ahadi zao

    Wakuu naomba tupeane mawazo kuhusiana na swala hili linalosumbua sana katika mahusiano. Kumekuwa na tabia ya wanawake kuwanyima wenza wao unyumba kwa sababu tofauti, lakini kubwa zaidi tutazame sababu hii inayotokana na mwanaume kushindwa kutizimiza ahadi alizompa mwenziwe mfano; kumnunulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…