tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Utoro wa wabunge bungeni tena bunge la bajeti, tatizo ni nini?

    Habari! Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge. Vikao vya halimashauri...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Pale unapodhani una tatizo zito kupita la mwingine!

  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Mkombozi wa tatizo la ajira kwa vijana ni vijana

    [GASTON JORDAN LIVIGHA] [gaejombishi@gmail.com] UTANGULIZI Naandika sio kwa dhumuni la kushinda pesa la hasha! lakini naandika nikiwa kama mmoja wa vijana walioathirika na janga la ukosefu wa ajira. Nikiwa kama muhitimu wa chuo cha Dodoma shahada ya mipango na usimamizi wa miradi na maendeleo...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Namna ya kutatua tatizo la ajira Tanzania

    UTANGULIZI. Kuna Msemo unasema kuwa "Ajira ni chache ila kazi ni nyingi". Hii inatupa tafsiri kuwa, ajira zinapatikana kwa uchache sana ila kazi (Kujiajiri)/Fursa, zipo nyingi na hii inategemea na uwezo wa mtu (Taifa) kuziona fursa hizo na kuzibadili kuwa fedha na kutengeneza ajira kutoka katika...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo La Kuota Ndevu Kwa Wanawake Na Jinsi Ya Kutibu

    Je umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye ndevu nyingi? Bila shaka, jibu ni NDIYO. Hilo ni tatizo la kiafya ambalo hujulikana kwa kitaalamu kama Hirsutism. Leo tujifunze kuhusu sababu za tatizo hilo na jinsi ya kutibu. Hirsutism ni hali ambapo wanawake wanakua na ukuaji wa nywele wenye...
  6. JamiiForums Tanzania Wastaafu, tatizo lenu sio kikokotoo bali mishahara yenu midogo

    Wastaafu wanailalamikia kikokotoo Cha mafao yao ya kusataafu wakituhumu kikokotoo kinawapa hela ndogo ya mkupuo. Ukweli kikokotoo Kiko sahihi ila shida yetu kubwa ni mishahara midogo sana inayozalisha makato ya mafao ya hifadhi ya jamii. Mishahara yetu ni midogo sana kuliko ya nchi nyingi za...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Kocha Benchikha kwa kuikimbia fedheha hii. Tatizo la Simba ni wachezaji wa kiwango cha chini

    Amani iwe nanyi. Huwa nikiiangalia hii timu ya simba na aina ya wachezaji wake wa sasa hivi kisha nikiilinganisha na ile simba ya kampa kampa tena ya Kocha Patrick Aussem au Didier Da rosa huwa najiuliza ,Je hawa wachezaji wa sasa hivi wangepata kweli namba katika vikosi vya wakati ule. Tatizo...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la kusahau kwa kijana

    Nini sababu na tiba ya kusahau hususani kwa kijana? Wakati nasoma nilikuwa bingwa wa kumeza hadi wahuni wangu wakawa wanastaajabu naweza vipi yaani definition hata iwe ni kurasa nzima basi nitaimeza yote bila ya kuacha neno hata moja. Recently nimekuwa mtu wa kusahau ndani ya huu mwaka...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuahirisha mambo

    Habari wanaJF, Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya. Nitaendelea hivyo hivyo mwishoni nasema kesho. Kesho inafika narudia nilichofanya leo. Hili ni tatizo...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji shule ya Sekondari Same

    Kwa wasioijua Same Sekondari ni moja ya shule Kongwe za Serikali Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1952. Shule hiyo imekuwa na wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita (boys). Kulikuwa na jitihada kadhaa za kutaka kuleta wanafunzi wa kike (wasichana) ila ikashindikana kutokana na tatizo kubwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Tatizo Watanganyika hawajitambui utaifa wao, sisi Zanzibar hatuwezi kufuta utaifa wetu

    Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania. Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake...
  12. JamiiForums Tanzania Kisukari ni tatizo kubwa zaidi kwa Waarabu na watu wa visiwani!

    Katika nchi 15 zenye asilimia kubwa zaidi ya wagonjwa wa kisukari duniani nchi 5 ambazo ni Kuwait, Misri, Qatar, Saudi Arabia na Sudan ni za kiarabu. Nchi moja ya Pakistan ina ustaarabu unaokaribiana na Waarabu nchi nyingine 10 zilizobaki katika listi hiyo ni visiwa vidogo vidogo. Inasemekana...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada kwenye tuta: PC yangu inanyonya sana MB nini tatizo ?

    KICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta. Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna setting nimejichanganya nisaifieni wakuu. Nawsasilisa swali
  14. JamiiForums Tanzania Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

    Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
  15. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

    Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini? Maoni yenu wakuu.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Canon IR 2204 inatoa Copy mbaya. Nini kifanyike?

    Mashine yangu aina ya CANON IR 2204 inatoa copy za namna hyo. Nimejaribu kubadili drum, roller na hata blade lakini hali bado ndo hyo mnaiona hapo chini. Nifanye nini wadau? Nakufa njaa mwenzenu. Msaada tafadhali
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Miundombinu ya Mkuranga ni mibovu, mvua inaongeza tatizo, Wananchi wa hali ya chini ndio tunaoteseka

    Mwanzoni Miaka ya 2000 kila mvua iliponyesha wakati wa kuvuka Barabara tulikuwa tunalazimika kuvua viatu na kukunja nguo kisha tunavuka. Miaka zaidi ya 20 baadaye hali tuliyoizoea kuvuka kwenye maji kila mvua inaponyesha ndio ileile. Miundombinu yetu wakazi wa Mkuranga kwa asilimia kubwa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Kufuatia mvua zinazoendelea nimegunduwa tiles zinaingiza maji, nini tatizo?

    Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi. Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena nakuta wet majimaji hapo ndio sasa naamini maji yanatokea chini yanapenya taratibu kwenye tiles na Mimi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa, migogoro ardhi inatokana na watumishi wa idara ya ardhi. As long as hujawagusa, tatizo litabaki kuwa kubwa

    Unafanya kazi nzuri, nimeona Tanga katika kesi mbili ulizozimaliza. Kesi ya Tahameed moja kwa moja kuna collusion ya watendaji wa idara ya ardhi. Wanarekodi zote, haiwezekani Tahameed akajua kuwa kiwanja fulani hakina mtu. Ni kuwa wanacollude na idara ya ardhi na kufanya uhalifu huo. 1...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wa Umma na Utawala hawasemi tatizo linalozuia vibali vya Uhamisho vya baadhi ya watumishi hata kama mwajili amesharidhia?

    Wizara hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa Watumishi wa Umma hasa wanaofatilia vibali vyao vya uhamisho wakiwemo wale wa kutoka Taasisi mbalimbali kwenda TRA, imekua ni kasumba ya wahudumu wa ofisi ile kujibu mbovu watumishi hawa hasa wanapofika wizarani. Mfano mtu anatokea Geita, Katavi au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…