tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Potea potea ya watoto imezidi, nini tatizo, mbona Serikali iko kimya?

    Kila kukicha matukio ya kupotea kwa watoto, huku wakija kupatikana wakiwa hawana viungo vya sehemu za siri. Shule nyingi Mbagala watoto wameacha kwenda shule wakihofia usalama wao. Walimu wakapendekeza kila mzazi ampeleke mtoto wake shule na kumrudisha, wazazi wamegoma ssbabu hawana huo muda...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Benki zote zina matatizo ya kimtandao, tatizo ni la dunia nzima

    Kuna matatizo ya kimtandao yametokea benki karibu zote duniani. Nimeenda benki tangia asubuhi huduma hakuna Vip na wewe umekutana na tatizo hili?
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la Wafanyabiashara wakiskia tu tetesi za kuongezeka mishahara hapohapo tamaa inawashika wanapandisha bei bidhaa .

    Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo unaoleta wasiwasi tukisema tufanye kitu huko tutafeli V8 Tulizonunua zinahitaji wese. Liwe tu...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Katizo la maji Kimara Dar es Salaam

    Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini. Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾 Pia soma - Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji
  5. JamiiForums Tanzania Nina Tatizo la kugairisha mambo/mipango (Procrastination)

    Nimegundua nina Hili tatizo la kugairisha mipango yangu ninayopanga baada ya mda flani. Yaani naweza nikawa na mipango thabiti kabisa juu ya jambo flani ambalo ukiangalia Kwa mda huo nikilifanya linaweza kuniletea faida kubwa saana au kupiga hatua kubwa saana katika maisha ila Kwa bahati mbaya...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wangu unajitahidi sana tatizo kubwa ni upigaji na rushwa vinatisha ! Wateule wako kwa sasa Wana ukwasi wa kutisha!

    Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta hela ,unakopa ,unakusanya Kodi lakini pesa inatumiwa vibaya sana na wateule wako !! Wateule wako...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    Kwa ninavyofaham, barabara ya mwendokasi ya kuelekea mbagala ilishakamilika kwa 100% kwa zaidi ya mwaka sasa, lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma. Badala yake, sasa imekua ndo barabara kuu ya bodaboda. Inasikitisha na kutia hasira, kuona kitu ambacho kingetoa msaada kwa maelfu ya wananchi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI Dodoma Kuna nini, naomba kujuzwa wadau

    OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti kituo kipya mwezi Oktoba 2023, bado CHEKI namba kwenye MFUMO wa UTUMISHI (ESS) inasoma kwa Mwajiri...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo siyo Yeye kukataa Kusinya kubakia Kigamboni ila tunaogopa Akisinya tu atamaliza Fedha zote na tutarudi kutembeza Bakuli kwa Ukata utakaotukumba

    Nipeni Bilioni Saba ili nibakie hamtaki naenda kwa Madiba au kwa Farao na mkinikera zaidi nabakia hapa hapa kwa Tunasuka Upya Kikosi Kikali Sports Club ili muumie zaidi na Wao nitawaomba wanipe tu Milioni 800 kwani ni Timu niliyoipenda hata kabla hamjaniroga kwa Majini yenu na nikaja Kwenu...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la Power Steering kwenye Toyota Allex

    Wakuu habari! Naomba msaada, gari aina ya Allex imeniwashia taa ya PS, na mara kadhaa imekuwa ikiwasha na kuzima yenyewe baada ya mda. Sasa nahitaji suluhisho la kudumu. 1. Nini sababu haswa? 2. Namna ya kutatua 3. Makisio ya gharama Lakini pia naomba kujua hizi gari kama zinatumia power...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
  12. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Bwana yesu asifiwe...... Nianze Kwa kushukuru MUNGU muumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo Kwa, kutujalia amani, upendo na mshikamano. SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA -Ukosefu wa ajira ni janga linaloitafuna nchi yetu ya Tanzania, hivyo ili Kuondoa au kupunguza tatizo hili yafuatayo lazima...
  13. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana kuelekea Tanzania tuitakayo

    Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani hakuipi Tanzania uhalali wa kuto kuchukua hatua mbalimbali kuondokana na tatizo hili kwani Kuna weza...
  14. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike Kumaliza tatizo la maji na ubovu wa miundombinu hasa ya Barabara vijijini na mijini kuelekea Tanzania tuitakayo

    Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala haya zimechangia Kwa namna Moja ama nyingine kufifisha Kasi ya uzalisha Kwa ghrama nafuu, kufeli Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

    Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit. Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
  16. JamiiForums Tanzania Teuzi za wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi zilizofanywa na Mo Dewji na Mangungu zinadhihirisha tatizo la Simba liko wapi

    Baadhi yetu tumepiga sana kelele kuonyesha kuwa tatizo kubwa la Simba ni ukosefu wa mfumo thabiti wa uongozi unaowezesha timu kuendeshwa kwa ukaribu na umakini. Simba haina management imara, bali management ipo kama jina tu ila haina watu na waliopo hawana meno ya kutenda majukumu yao. Chukulia...
  17. JamiiForums Tanzania Mabinti wenye umri kati ya miaka 18 -22 ni tiba Mujarab kabisa ya tatizo la msongo wa mawazo kwa wanaume

    Kama wewe ni mwanaume wa age 30+ umeoa au umezaa na mwanamke/wanawake na wanakupa stress za mapenzi kama vile unahisi wana flirt na michepuko au mmeachana na ex wako ame move on, etc, halafu kwa sababu hiyo eti umepatwa na msongo wa mawazo basi Mimi NINAKUTUKANIZIA MAMA AKO MZAZI. Kosa lako...
  18. JamiiForums Tanzania Kupungua quality ya picha dstv nini tatizo

    Jana nimegundua quality ya tv imekuwa chini sana nikiwa nachek tbc na itv ,startv,sio kawaida nikajua labda ni tv yangu inashida,nikaona ngoja niende Kwa jiran kuangalia Ili nipate uhakika,nikabaini kumbe tatizo lipo pia Kwa jiran ,ila ukiingia Youtube quality IPO vizuri sana,na wote tunatumia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani mwauwasa

    Ninaandika taarifa hii kwa masikitiko makubwa kuhusu MAUWASA. Sasa yapata wiki mbili Mtaa wa Mwananchi, Kata ya Mahina, hapa Mwanza hatuna maji hata tone. Hakuna tatizo la umeme wa kusukuma maji na maji yako mengi Ziwa Victoria. Mhe. Waziri Aweso ingilia kati tatizo hili vinginevyo tunaona...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo pale Simba SC ni mashabiki

    Mashabiki wa Simba wajitafakari wasiwe mashabiki oya oya wanaodanganywa. Leo wanamlaumu Mangungu, Siku ya mkutano mkuu wa uchaguzi aliwapa tu ubwabwa na akamleta Manzoki aongee, basi wenyewe wakampa kura zote za ndiyooo. Na tuliwaasa kuhusu hili jambo na propaganda zote. Leo wanasema Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…