tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, Tatizo la Tanzania ni Kukosa Viongozi Wenye Akili na Maadili?

    Wakuu, nimeona nilete huu mjadala hapa jukwaani kwa maslahi ya taifa letu. Ni mjadala mgumu lakini muhimu sana kwa kila Mtanzania mwenye uchungu na mustakabali wa nchi yetu. Tangu tupate uhuru, tumepita na marais, mawaziri, wabunge na viongozi wa kila aina—lakini matatizo yetu yamebaki kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la mwili kuwasha baada ya kuoga pamoja na koo pamoja na masikio kuwashA

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo la maji safi na salama Marekani!

    Katika pitapita zangu za kisomi nimejikuta natambua kuwa pamoja na uzee wa Taifa la Marekani bado kuna maeneo mengi hayana maji safi na salama
  4. JamiiForums Tanzania Usiku wa leo kuna members watakuwa bize kugombania kuanzisha uzi wa Berkane Vs Simba, hii nayo ni tatizo la afya ya akili

    Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi? Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi. Fun enough...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kizazi kipya kinaelimika zaidi lakini kimeharibika zaidi. Je, tatizo ni Elimu au Malezi?

    Leo hii tuna vijana wengi waliomaliza shule, wana vyeti, wanaweza kutumia mitandao kwa ufasaha—lakini nidhamu iko chini, maadili yameporomoka, na heshima kwa wazazi au jamii haipo kama zamani. Je, tatizo ni mfumo wa elimu unaotoa maarifa bila malezi? Au ni familia zinazokimbizana na maisha hadi...
  6. JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania tuna tatizo sio bure

    Sisi watanzania sijui nani alituloga. Watanzania tuna mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama mikondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana tatizo la Samia ni uvivu tu !

    Nimeanza kumuelewa Mama Samia kwanini Samia wa 2021-2022 ni tofauti na huyu wa 2026 jibu . Kiuhalisia Mama ni type ya watu ambao wakiwa focus ni wafanisi wazuri lakini wamezaliwa wavivu tu. Sasa wakati ule alikuwa anachukulia kazi ya Uraisi kwa umakini sana na alikuwa makini. Kuanzia 2024 uvivu...
  9. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike tatizo la vijana kukwiba wanapoaminiwa kwenye biashara?

    Kijana akija kuomba kazi anakuja kwa unyenyekevu mkubwa tena akiwa kaweka mikono nyuma utafikiri ana staha na nidhamu ya kweli🙆‍♂️, kumbe hiyo ni zuga tu. Sasa itokee umwamini umpe kazi ndo segedansi zinapoanza. Hakuna picha utakaa usiione. Kama alitakuwa awe anafanya marejesho atakuletea zile...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela

    Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela Hili tatizo linakera sana imepelekea baadhi ya wamiliki wa nyumba na majengo kutokuonekana sana uraiani na kuishi maisha ya siri baada ya kupata...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Habari zenu wakuu. Naomba niende kwenye mada. Mim ni mkulima natokea Mpanda Katavi. Nimelima mwaka juzi zao la papai na kila mwaka wa mavuno hutokea hili tatizo la kuweka vidoti. Wakati papai linaanza kukua kisha hua kama kibarango ikifikia papai kua kubwa na huanza kuoza kabla halijakomaa...
  12. JamiiForums Tanzania Inaelekea Mbowe hakuwa tatizo!

    Kabla ya kuachia Uwenyekiti wa Chama chake, ilikuwa siyo rahisi siku ipite bila kutupiwa dongo! 1. Mara Mwenyekiti wa maisha... 2. Mara CHADEMA ni SACCOS yake... 3. Mara CHADEMA ni Chama cha Wachaga... 4. ...n.k. Baada ya kuuachia Uwenyekiti, kibao kimegeuka. Mashambulizi yaliyokuwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hard disk ya laptop naitumia kwenye TV shida inapata joto kali, natatua vipi hili tatizo ?

    Hard disk ni ya laptop nimeiweka kwenye kasha limeandika Usb 3.0 ila waya wake ulikuwa mfupi, nikaunganisha huo waya na waya mwengine mrefu wa kuchomekea flash na external, waya nao umeandikwa usb 3.0. Shida inakuja hard disk inapata joto kali sana
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Afrika ni Waafrika wenyewe

    Waafrika mara nyingi ndio TATIZO la Afrika. Jenerali Michael Langley ambaye ambaye ni Mwafrika aliyemshutumu Kapteni Ibrahim Traoré kwa kulinda dhahabu ya Burkina Faso kwa faida zake binafsi imekaribishwa kwa joto na serikali ya Ivory. Hii inaonyesha wazu jinsi viongozi wengi wa Kiafrika...
  15. JamiiForums Tanzania Nipo na tatizo la kuwa na damu nyingi

    HAbari za usiku naomba munieleweshe njia ya kupunguza damu tofauti na kuchangia mana doctor ameniambia nikichangia nitakuwa nazalisha tatizo nimeambiwa nina damu nyingi na inanitesa mno msaada tafadhali
  16. JamiiForums Tanzania Kwenye uzi huu weka picha ya mtu ,kiongozi unae dhani kuwa ni tatizo hapa nchini

    Nimeona nilete hojq hapa kama nilivyo ona sehemu fln wakija dili watu ambao ni vikwazo kwa inch hii. Hapa inapazwa uweke picha ya muhusika tu kisha usiandike chochote kisha sepa zako muhusika itamfikia hbr hii kwa namna fln hata kama hatumii mitandao ya kijamii Karibuni sasa tu share picha zao...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, njia zinazotumika kutatua tatizo ni sahihi kulingana na tatizo lenyewe?

    Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na matatizo kadhaa yanayotukabili katika Taifa letu. Kwa ufupi naomba tutathmini ikiwa njia tunazotumia kutatua tatizo ni sahihi kulingana na tatizo lenyewe au la? Kwa kawaida ukitumia njia sahihi kutatua tatizo ulilo nalo, bila shaka tatizo hilo litakwisha na...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Kaya, hivi tatizo ni mshahara mdogo au matumizi mabaya ya fedha?

    Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa? Mshahara mdogo? Matumizi mabaya ya fedha? Au kuto kuwekeza?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini askari wetu wengi hawajui kuwasiliana kwa Kiingereza?

    Hellow! Hili limesababishwa na Nini? Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka, Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii? Karibuni 🙏
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Tatizo sio watekaji, tatizo liko vichwani mwa wananchi

    Watanzania wengi kichwani . Ukipiga stori na Mtanzania mwenzako utagundua hili. Ni wachache sana ukikaa nao mezani kupiga stori utaweza kuondoka na kitu. Wengi wataishia kuropokaropoka tu. Hii hali ya miongoni mwa Watanzania Mimi sijui ni man made au ni genes. Vyovyote vile iwe man made au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…