Ni upungufu wa maji?
Ni ongezeko la mahitaji?
Ni uchakavu wa miondombinu?
Ni upungufu wa rasilimali watu?
Au haijulikani hasa chanzo cha tatizo ?
Wizara husika, TANESCO na idara za maji waeleze kwa upana tatizo ni nini hasa ili raia waelewe na wachangie mawazo ya kujikwamua kutoka matatizo...