tarura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa TARURA Manispaa ya Ubungo kwa kazi nzuri katika jimbo la Kibamba /Kiluvya Gogoni

    Leo tarehe 2/10/2022 nimepita maeneo ya Kiluvya Gogoni kuelekea kwa kawawa/pamoja na shule za sekondari hondogo nimekuta mabadiliko makubwa ya miundombinu, barabara imepigwa mkeka safi kabisa. Pongezi kwa viongozi lakini Pongezi nyingi kwa Rais Mama Samia kwa kuidhinisha mabilioni kwa TARURA...
  2. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Maegesho: Sitaki kuamini kama uhuni huu wa TARURA una baraka ya Serikali

    Suala la Parking fee kwa kweli naanza kuamini kuna upigaji mkubwa! Kitendo cha kutokuweka karatasi kwenye gari mara baada ya kupiga picha si kitendo cha uu gwana kabisa! tunaibiwa sana sana sana kupitia uhuni huu. Hebu fikiria mtu anakupiga picha ukiwa kwenye FOLENI! kwenye foleni jamani...
  3. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Mtendaji mkuu TARURA: Ujenzi teknolojia ya mawe unaokoa gharama

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amesema ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe na matofali ya kuchoma unaokoa gharama kwa asilimia 50. Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dodoma, Mhandisi Seff alisema...
  4. Nyalotsi

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya kuna TARURA?

    Pamoja na Jiji kuwa na makusanyo mengi ya Kodi lakini ni Jiji ambalo liko nyuma kwa upande wa barabara za mitaa! Mitaa ya zamani kama Mwanjelwa, Nzovwe, Soweto, Uyole barabara hakuna ni mashimo tu. Mitaa mipya ambayo wakati mwingine imepimwa na viwanja kuuzwa na Jiji hakuna hata barabara nzuri...
  5. J

    JamiiForums Tanzania TARURA yaondoa kero ya wananchi Same kwa kufungua barabara mpya

    Ujenzi wa barabara mpya ya Mpirani Dispensari – Dindimo Primary School (4.30 KM) inayojengwa kwa kiwango cha changarawe katika kata ya Bombo Wilaya ya Same utawapunguzia wananchi kero ya kutembea kwa takribani kilomita 18 wakitumia barabara ya mzunguko ya Maore – Vuje – Bombo. Akizungumza mbele...
  6. Mparee2

    JamiiForums Tanzania TARURA - Naomba ufafanuzi tozo za parking

    Naomba kuuliza mtu anatakiwa apaki gari kwa dakika ngapi mjini ndio aanze kuchajiwa/kumulikwa? Nilipaki gari ndani ya dakika moja kununua maji ya kunjwa nikachajiwa, naona kama haijakaa vizuri! Naamini Muheshimiwa Kinana akikumbana na hii hali, atatusaidia kuwajulisha wahusika watoe muongozo
  7. Z

    JamiiForums Tanzania TARURA wilaya ya Ubungo fanyeni utafiti

    Jana tarehe 14/8/2022 Mhe. Rais amewaonya watendaji wa TARURA kutokutoa zabuni kwa wakandarasi wababaishaji. Wananchi wa Wialaya ya Ubungo kata ya Kibamba eneo la Kikuvya gogoni/kituo cha polisi, tunaomba viongozi wa TARUARA wachunguze ujenzi wa barabara inayo anzia Kikuvya GOGONI kituo cha...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tarura na bili za kubambika

    Wadau, mara kadhaa sasa napata bili ya gari wakati likiwa limepaki kwa ubovu au sababu nyingine. Ninawasihi angalieni bili zenu. Maeneo wanayosema gari limepaki hata siyafahamu. Huu wizi tuukomeshe
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni malipo ya TARURA kwa Wakandarasi

    Kwa uaratibu kila mkandarasi anapomaliza kazi na kukaguliwa na watalaam anatakiwa alipwe haki zake. Wengi wa wakandarasi wanaotekeleza miradi ya TARURA hatujalipwa licha ya kumaliza kazi na kukaguliwa. Kwa vile mwaka wa Serikali mwisho ni tarehe 30 Juni kila mwaka tulitarajia tutalipwa...
  10. danhoport

    JamiiForums Tanzania Kwenu TARURA; Vijana mliowapa mashine za tozo za parking wanazitumia vibaya

    Habarini ndugu zangu, huu mfumo mpya wa Parking ni mzuri sana ila hawa watu mliowapa hizo mashine wanazitumia vibaya. Ipo hivi, kuna kijana anaitwa Anthony yupo mtaa wa Swahili(Kariakoo) yeye likija gari haijalishi litakaa mda gani, yeye uscan ya siku nzima na tiketi haweki na wala hamwambii...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya TARURA, Yaibeba TAMISEMI na Kumng'arisha Rais Samia, Speed Iliendelea Hivi, 2025 Hatahitaji Kupiga. Itakuwa ni "Anameremeta"

    Wanabodi Nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya maeneo ya Vijijini, deep interior, nikashangaa sana kukuta Barabara za lami hadi Vijijini. Kuulizia nikaelezwa ni kazi nzuri ya Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini, TARURA baada tuu ya Mama Samia kushika nchi, ame I double na ku triple bajeti...
  12. ofisa

    JamiiForums Tanzania NITASIKITIKA NA KULAANI NIKISIKIA TARURA WAMEREJESHA MABILIONI WAKATI KWETU NJIA MBOVU.

    Nimekuwa nafuatilia ripot ya CAG na tunasikia fedha zinarudishwa kwa kukosa matumizi. Ikiwa imebaki miezi miwili naomba wahusika kuanzia serikali yangu ya mtaa wa bomba la mafuta kingolwira,CCM,Diwani wangu, mbunge wangu wa Morogoro na mamlaka ya TARURA. Nimewataja hao wote ili washirikiane kwa...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Driver II at TARURA (2 Posts)

    TANZANIA RURAL AND URBAN ROADS AGENCY (TARURA) In reply please quote: Ref. No.FA. 251/293/01/86 ANNOUNCEMENT FOR VACANCIES Tanzania Rural and Urban Roads Agency (TARURA) is an Executive Agency of the President’s Regional Administration and Local Government, (PO-RALG), Established under Section...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo: CCM itaendelea kuweka msukumo kuboresha miundombinu ya barabara na vivuko Kigamboni

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa. Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
  15. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania TARURA na mfumo wa maegesho kuna tatizo kubwa

    Nakumbuka mwanzo mwezi wa oktoba 2021 mfumo huu ulipokuja ulikuwa na changamoto nyingi mpaka ikabidi usimamishwe kwanza ili kuangalia namna mpya ya mfumo unavyofanua kazi ili kuepusha usumbufu kwa watumiaji wa maegesho.Lakini cha kushangaza mfumo huu umerudi na mbaya zaidi tatizo badala kuwa...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TARURA: Kusitishwa kwa muda kwa faini za ushuru wa maengesho ya magari

    TAARIFA KWA UMMA KUSITISHA KWA MUDA UTOZAJI WA FAINI ZA USHURU WA MAEGESHO YA MAGARI Dodoma 8 Aprili, 2022 Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 07/04/2022 Wakala wa Barabara za Vijijini na MijiniTARURA ilitoa taarifa ya kuanza kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho waliopitisha Siku 14 bila kulipa...
  17. Chotti de Alba

    JamiiForums Tanzania Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa?

    Wadau. Salam. Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa? Ngoja niwape scenario. Mfano mimi nimeenda kupaki gari pale makumbusho nje ya jengo la LAPF, Mdada wa parking kaniona kapiga picha kaniandikia deni. Baada ya kupiga picha yeye anaondoka anaenda upande...
  18. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania TARURA nini kinaendelea mpaka deni la maegesho ya gari linaongezeka? Mamlaka itolee ufafanuzi

    TARURA tunaomba mtolee ufafanuzi kinachoendelea kwenye system zenu nilifikiri ni kwangu tu kumbe ni kilio cha kila mtu. Nilikuwa na deni la 13,000 nikasema ngoja leo niingie nilipe deni lao kufungua app nakuta 83,000 nikashtuka au ni penalty? Kucheki last payment nimefanya 15/03 sasa hiyo...
  19. gango2

    JamiiForums Tanzania TARURA badilisheni mfumo huu wa maegesho ni wa ovyo sana

    Habari, Tarura hivi sasa mna mfumo wa ukusanyaji charges za maegesho kwa njia ya kielectronics. Huu mfumo kiukweli ni mfumo wa OVYO sana kwani unamuumiza sana mmiliki wa gari. Mfumo huu pia unatengeneza mwanya wa upotevu mapato sana kulinganisha na ule wa awali. Ninasema haya kwa sababu: 1...
  20. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa Samia madarakani, TARURA yafanya mapinduzi ya kufungua Nchi kufika kusikofikika kwa barabara za Vijijini na Mijini

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua Nchi kufika kusiko fikika hivyo . kuwanufaisha wananchi. Ikumbukwe kabla ya kuongezewa bajeti...
Back
Top Bottom