tarime

  1. Barrick yakabidhi gawio la mrahaba vijiji 5 wilayani Tarime Barrick yakabidhi gawio la mrahaba vijiji 5 wilayani Tarime

    Viongozi wa vijiji vilivyopata gawio la mrahaba wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mavunde na viongozi wa Barrick na Serikali mkoani Mara. Kampuni ya Barrick nchini yenye ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals kupitia mgodi wake wa North Mara, imekabidhi gawio la shilingi...
  2. D

    Msaada wa kupata vyeti vyangu hususan eneo la Tarime 2024

    Habari wana JamiiForums, naitwa Robi Daphane Ngabiya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye vigari vidogo aina ya probox mnamo tarehe 20 -7-2024 lilikuwa linatoka Tarime mjini kwenda Sirari Cheti cha Form 4, Cheti cha diploma nursing Transcript yake, Cheti cha...
  3. B

    PreGE2025 Tarime: CCM yapewa angalizo kupoteza Jimbo la Tarime DC 2025 ikimsimamisha Waitara

    Kada ya CCM Tarime mkoa wa Mara Zakayo Wangwe aelezea kwa kina hali ya siasa Tarime na changamoto iliyopo ikiwa mbunge wa CCM Waitara atapitishwa kugombea 2025 Kada Zakayo Wangwe amesema kuwa kuna makundi ya CCM Halisi na CCM wakuja ya Waitara yanayokinzana na kumlaunu mbunge Waitara ndiye...
  4. N

    PreGE2025 Tarime: Chanzo cha Mbunge Waitara kufurushwa Sirari

    Habari wakuu! Wiki iliyopita kulikuwa na Waitara Cup ambayo mdhamini wake ni Mwita Waitara. Mshindi wa kwanza alipewa milioni 5 na wa pili nasikia kama milioni 2. Sasa, siku ya fainali mshindi alikuwa ni Sirari au kata ya Sirari. Siku hiyo wakati wanarudi kwao, gari waliyokuwa wamepanda mshindi...
  5. Wananchi waiomba Serikali kuwachukulia hatua wanaohusika na mauaji ya Wananchi katika eneo la Mgodi wa North Mara

    Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara na Wananchi wanaoishi katika Kijiji cha Nyamongo wameiomba Serikali kuwachukulia hatua waliohusika na vifo vya wananchi baada ya kutokea mgogoro katika eneo la Mgodi wa North Mara ambapo wananchi hao wanatuhumiwa kuvamia maeneo ya uchimbaji katika mgodi...
  6. Kama una mbwa mdogo na upo Tarime tuwasiliane

    Bajeti yangu ni tsh 20,000 nahitaji kadume. Atleast kawe na asili ya mchanganyiko kasiwe pure mbwa koko. check me.
  7. Mke amuunguza mumewe sehemu za siri na maji ya moto kisa wivu wa kimapenzi

    Mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Kebogwe iliyopo Wilaya ya Tarime, ameunguzwa na mke wake na maji ya moto sehemu mbalimbali za mwili hasa sehemu za siri kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa kimapenzi Shuhuda wa tukio wanadai siku ya Jumatano jioni mwalimu alimkuta mke wake duka fulani na...
  8. Sasa unaingia Tarime! Angalizo: nimeikuta sehemu

  9. Uchaguzi 2025: Waitara anataka kumkimbia Heche Tarime? Aibana serikali kuhusu kugawa majimbo kwa ajili ya uchaguzi ujao

    Angurumapo simba mcheza nani? Ngurumo za John Heche jimbo la Tarime zimemtikisa Waitara, na anaomba serikali itoe msimamo kuhusu mgawanyo wa majimbo. Waitara anatoa hoja hiyo wakati hata timu hazijaingia uwanjani na refa hajapuliza kipyenga. Mang'ana ghasarikile!! Waitara ni moja kati ya...
  10. Chatanda Msibani Tarime kwa Fransisca Gachuma

    Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda amefika wilayani Tarime kufariji Familia ya Ndg. Christopher Gachuma (MNEC) kwa kuondokewa na mkewe Ndg. Fransisca Gachuma, tarehe 29 Machi, 2024. Tarime, Mara.
  11. PreGE2025 Bob Chacha Wangwe atangaza kugombea ubunge Tarime Mjini, asema 'ana soda' kwa ajili ya wajumbe!

    Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" . Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada...
  12. Mara: CHADEMA yakagua Mfumo mpya wa Tume ya Uchaguzi wa kuandikisha wapiga kura

    Hii hapa ni kata ya Ikoma Jimbo la Rorya Mkoani Mara. Moja ya Kata ambazo zimeteuliwa na kinachoitwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania katika kinachoitwa maboresho ya Daftari la Kudumu la wapiga kura. CHADEMA inafuatilia jambo hili ili kutengeneza ushahidi na kujiridhisha na kila...
  13. Umefika Muda Serikali itutumie vijana kutoka Tarime ili kukomesha Masuala ya Uhalifu kwenye baadhi ya Mikoa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!. Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!. Askari ambao tulitegemea...
  14. Mara wamsimika Makonda na kumpa jina la Manyama, aagiza bodaboza ziachiliwe, Mizigo ya magendo itozwe kodi na iachiliwe

    Ukiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa. Ngoja tuone mwisho wa Makonda. Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere. ====== MAKONDA AAGIZA BODABODA ZIACHILIWE "Ninafahamu ya kwamba zipo bodaboda zilizotumia fursa ya mpaka kufanya biashara za magendo...
  15. Heche apeleka mvua kubwa Tarime, mkutano wa Makonda wasambaratika, wananchi watimka mbio

    Kuna watu "wataalamu". Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani. Shikamoo Heche
  16. Tetesi: Musiba kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, anaweza kupewa Arusha, Hai au Tarime

    Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
  17. Nilipofika Wilaya za Kishapu, Maswa, Meatu, Magu, Busega, Bunda, Tarime na Butiama nilishukuru sana kuishi Dar

    Hayo maeneo ni vijiji vya ajabu kabisa. Ni aibu kuiita miji. Yaani maisha ni duni na ya kale sana. Sikuwahi kujua kwamba Tanzania ina maeneo yapo nyuma kiasi hiki katika maendeleo. Baadhi ya sehemu unapita vumbi na unakuja kukutana na lami uchwara pale wanapoita katikati ya mji. Safari ya...
  18. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya yafanya operesheni kanda maalum ya Tarime Rorya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, Askari mgambo pamoja na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum mkoani Mara hususani katika kanda maalum ya Tarime Rorya kwenye bonde la mto Mara. Operesheni hii...
  19. Hii ndio Picha bora ya mwezi Septemba, imepatikana Nyamongo, Tarime

    Kwa wale wanaofuatilia Mikutano ya hadhara ya Chadema ya Oparesheni 255, kote inakofanyika, bila shaka wanafuatilia hotuba kabambe za viongozi, ambazo kwa kweli ni hotuba zinazosisimua na kuwafungua Ubongo wananchi. Lakini sisi wengine tunaenda mbali zaidi, kwa kuangalia kwa umakini yanayojili...
  20. DOKEZO Wakazi wa Bomani, Tarime Mjini walia na tatizo la Mabomba ya Maji ya Kunywa kutoa maji Meusi (Machafu)

    Inadaiwa kuwa wakazi wa Bomani, Tarime mjini wamekuwa hawapati maji safi na salama kwa zaidi ya wiki moja sasa. Pia, inadaiwa kuwa wananchi hao hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mamlaka husika. Maji yanayotoka ni machafu sana ambayo pia ni hatari kwa afya zao. Mamlaka zitazame suala hili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…