Asubuhi ya Julai 4, 2026, mwili wa aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara John Heche, marehemu Suez Dani Maradufu umewasili katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime (Bomani) kwa ajili ya kuhifadhiwa.
Mwili huo umepokelewa kwa vilio na simanzi na ndugu, jamaa, marafiki, pamoja na...