Tarehe 23.08.2025 ni siku iliyotangazwa na Kanisa Katoliki Tanzania kuwa itakuwa ni kilele cha maombi makuu kuhusu HAKI na AMANI katika Nchi yetu.
Naomba kuwaalika Watanzania wote wenye mapenzi mema, watu wa Dini zote na imani zote za Makabila yote na wanaokerwa na vitendo vya uvunjifu wa haki...