tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kuanzia tarehe 1/07/2023 hakuna kufunga biashara kwa kigezo cha mtu kukiuka taratibu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kwamba kuanzia July 01, 2023, iwe ni marufuku kwa Taasisi yoyote ya Serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 42 - tarehe 07/06/2023

  3. JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuripoti waajiriwa wapya kada ya Ualimu na afya ni lini?

    Amina anuliza Tarehe ya kureport lini kwa waajiriwa wapya,UALIMU na afya? Pia anaulizia ,Afisa lishe na ustawi wa JAMII wanalipwa tshs ngapi? Je Kuna marupurupu?
  4. JamiiForums Tanzania Tarehe 03 Juni, 2023 Yanga inachukua kombe, kila mmoja aseme AMEN

    Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club. Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe. Kombe la Shirikisho wakilichukua tutanufaika kama Taifa.... Watanzania tusimame na Yanga kwani...
  5. JamiiForums Tanzania Tunaoicheka Yanga SC sasa kwa kufungwa Juzi ukiona marejeo ya tarehe 3 wanafanya hiki jueni kwa 100% wanabeba Kombe la CAFCC

    Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza tu Filimbi Mechi kuanza wakiupiga mpira upande wa Kulia wa Uwanja kutokea Goli la Kusini...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Waalgeria 10 juzi Waliwanyamazisha Kiushangiliaji Mazuzu FC 60,000 kwa Mkapa. Kwao wakiwa 17,000 hiyo Juni 3 itakuwaje?

    Asikudanganye Mtu hapa Barani Afrika hakuna Watu wanaojua Kushangilia Viwanjani na Kufanya Fujo na Vitimbi vya kila aina ili Kummaliza kabisa Mpinzani Kama Mwarabu na hasa hasa Waarabu wa Misri na Algeria. Kama juzi tu kwa Mkapa walikuwepo Waarabu Kumi ( 10 ) tu ila Shughuli yao Kiushangiliaji...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi (PSG GUARDS) DSM General Manager, Marketing Manager, Accountant, Operation Manager ... mwisho Tarehe 5-June, 2023

  8. M

    JamiiForums Tanzania Wale waliozoea tarehe 22/23 kila mwezi mambo kuwa mazuri naona mwezi huu bado ATM zimenuna, Kulikoni?

    Isije ikawa ni athari ya biashara kariakoo kufungwa! Si mnajua serikali huwa haina ujanja mwingine zaidi ya kodo?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka Machi 17, 2021 naishia kusema acheni Mungu aitwe Mungu

    Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa. Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama sijengi barabara". Watu walichoshwa kusikia ama kuona kiongozi wa kitaifa akitoa matusi mazito kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Kigoma: Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe

    Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
  11. JamiiForums Tanzania Mimi sigomi, siandamani, na nitafungua biashara yangu kama kawaida hiyo tarehe 15/5/2023

    Sababu zangu kubwa za kutokuunga mkono huu mgomo wa wafanyabiashara ni nyingi, ila nitataja chache tu 1-Sie tumepigwa faini sana na hakuwepo wa kututetea, leo wamebanwa wakubwa huko wanataka support yetu, si sahihi 2-Hivi kuna kipindi wafanyabiashara waliteseka kama awamu iliyopita? Mbona...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yasema idadi ya magonjwa ya ngono imeongezeka pia watu 1,612,52 wanatumia ARV’s Nchini Tanzania

    Watoto Milioni 1.5 wapatiwa chanjo Wizara ya Afya imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu jumla ya watoto 1,596,951 sawa na asilimia 98.6 walikuwa wamechanjwa chanjo ya Penta3 kwa ajili ya kuzuia magonjwa ya Dondakoo, Kifaduro, Kupooza, homa ya ini na homa ya uti wa mgongo, ambayo hutumika...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Waitara aonywa kwa utovu wa nidhamu, atakiwa kujirekebisha

    WAITARA NAONYWA KWA UTOVU WA NIDHAMU, ATAKIWA KUJIREKEBISHA Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amepewa onyo baada ya kuonesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kukiuka Kakuni ya Bunge 83: 1 (c). Waitara alitoka nje ya Ukumbi wa Bunge akionesha kutoridhishwa na majibu ya Serikali kuhusu...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Nani kasema vijana wa Dar es Salaam hawawezi kulima?

    MBUNGE: UKAGUZI KWA WATUHUMIWA GEREZANI UNADHALILISHA WANAWAKE Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amesema “Tunawasisitiza RPC, OCD na Wakuu wa Vituo kuzingatia Sheria kwa makosa yanayostahili dhamana, pia Serikali imetenga fedha katika Bajeti ijayo kwa ajili ya kununua vifaa vya...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi hawana hamu na tarehe 1/5/2023 sikukuu ya wafanyakazi? Ni majeraha ya nyongeza ya 23% mshahara?

    Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi. Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao...
  16. JamiiForums Tanzania Picha za Rais Samia baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023.
  17. JamiiForums Tanzania Napendekeza sherehe za kidini zisizofahamika tarehe zisiwe za kitaifa na Serikali isizitambue

    Sherehe yeyote ya kidini ambayo inatambulika kwamba ni sikukuu na serikali inaitambua basi inapaswa tarehe yake tuifahamu. Hii itasaidia serikali kupanga ratiba zake ku-accomodate shughuli husika kwa siku husika. Hii uncertainity inasababisha bughudha kubwa sana hata kwa wasio husika, vipi na...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24. Hizi dini ni za magumashi amkeni. Cc: Kiranga
  19. JamiiForums Tanzania Wafuatao ni Wachezaji hatari Kinyota kwa Simba SC Jumapili tarehe 16 Aprili, 2023

    Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90. 1. Farid Musa 2. Aziz Ki 3. Bernard Morisson 4. Kennedy Musonda Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali itangaze tarehe ya kuwarejesha vyura wa Kihansi ili wadau wa mazingira tukawapokee uwanja wa ndege

    Mimi na wadau wengine wa mazingira ikiwemo taasisi ya TREE OF LIFE FOUNDATION tuna mpango madhubuti wa kwenda kuwapokea mashujaa wetu waliokaa ughaibuni kwa miongo miwili. Hii nchi ina longolongo nyingi sana huenda hao chura walikufa miaka mingi sana ila wajanja wazito wamewafanya ni mtaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…