tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania DC Shaka: Usalama ni nguzo ya maendeleo

    PICHA: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka akikagua gwaride la Amani. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka leo amehitimisha na kufunga mafunzo ya wiki miezi 4 ya askari 114 mkupuo wa 20 wa jeshi la Akiba yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Mvumi. Akizungumza na...
  2. JamiiForums Tanzania Hata mfumo wetu wa Elimu ndio umeamua jinsi leo wa Tanzania tulivyo

    Yeah , kujipendekeza kwa watawala, kushangilia mafisadi wakitumia pesa hovyo na hata kukubali kuhongwa baiskeli,pikipiki n.k ambazo obviously zimenunuliwa kwa kodi zetu tunazokamuliwa kila uchao. Mnaweza kuwabagaza walioelimika na wasomi nguli hawajionyeshi wala kujitokeza kwenye majukwaa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna muda hizi siasa huwa zinachekesha sana

    Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa, Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁 Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
  4. S

    JamiiForums Tanzania Website Kali Kwa Tanzania zinazotambulika Kwa movie na series zilizotafasiliwa Kwa Kiswahili

    Leo katika pitapita yangu wadau nnimekutana na moja ya website makini sana ambayo inahusika na maswala ya movie na series zilizotafasiliwa Nahitaji mnisaidie kunipatia majina mengine ya website maana nimekutana na site moja hapa inaitwa SWAFLIX Hii website ipo na movie na series zote za madj...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba Tundulissu aachiwe mara moja na bila mashariti yoyote nimeongea mimi na nikiongea huwa sirudii.

    Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka. Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike. Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu . Nimesema TAL aachiliwe haraka...
  6. JamiiForums Tanzania Generali ‘Sani Abacha’ wa Tanzania anasafisha njia vizuri sana kwa ajili ya mwanae 2030. Mji wa Mombo Tanga umepotea

    Kete ya Mtendaji Mkuu wa MCC kuwa ajaye 2030 ilisukwa vizuri baada ya swahiba wake aliyekuwa nae kwa kina Gaucho kipindi akiwa balozi kuukwaa u DG wa Meno. Kwa kuwa huwezi kuwa Rais wa Nchi ya Kusadikika bila Meno kukupitisha Mtendaji Mkuu aliamini baada ya mama basi lazima atakuwa yeye...
  7. JamiiForums Tanzania Hatima ya Tanzania 2025-2050

    Leo hii ni Tarehe 16/08/2025, ninaandika hapa hatima ya nchi yetu hii pendwa (TANZANIA). Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania, hapa ni kwetu, hapa ndipo tunapojivunia kama watanzania. Kabla ya kuwa Juma au Patrick au Patel au Nakamura au Masanja ulianza kuwa Mtanzania, Yes sisi ni watanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

    Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana Leo tazama wachezaji maingizo mapya 1. Mohamed Doumbia Huyu jamaa ni kama Pacome au zaidi ana akili ya mpira ameziba vyema pengo la Aziz ki 2. Andy Boyeli Striker...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud Othman: Binafsi sina imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar

    Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani. Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ambaye pia ni mgombea Urais...
  10. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania, Kanisa Katoliki lipo kwenye Maombi ya Kufunga

    Sala na Kazi Ujasiri wa wananchi wanaonyonywa Kinyume na wanamtandao wanyonyaji. Mshikamano kukabiliana na uhuni kwenye uchaguzi dhidi ya waliojipanga kutumia mahakama kuua fikira. Ni kama kondoo kati ya mbwa mwitu. Nani panya atamfunga paka kengele? Tumrudie Mungu Mwenyezi, Mungu wa Paulo na...
  11. JamiiForums Tanzania Somewhere in Tanzania....

    Where Serengeti.......; what are you waiting for, get on board
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kusini mwa Jangwa la Sahara

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema Tanzania inajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara kwa kuvutia uwekezaji kwenye viwanda vya kutengeneza bidhaa za migodini na utoaji wa huduma kwenye migodi ya ndani na nje ya nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Majukumu ya TAKUKURU yahamihishiwe Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

    Wakuu asalaam ! Kwa mujibu wa sheria, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliundwa kwa lengo la kuchunguza, kuzuia na kupambana na vitendo vya rushwa nchini Tanzania. Inatakiwa iwe nguzo ya haki na mwanga wa matumaini kwa kila raia anayetafuta msaada dhidi ya dhuluma na...
  14. JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kesi kama hizi zipo wazi, lakini je TAKUKURU wanafeli wapi?

    TAKUKURU wameirejea Habari iliyochapishwa na JF ya kukamatwa kwa mke wa aliyekuwa Rais wa Korea kwa tuhuma mbalimbali za Rushwa ikiwepo kupokea zawadi zenye Vito vya thamani kutoka kwa watu mashuhuri na waliokuwa na ushawishi kwa taifa. Kesi kama hizi zipo nyingi sana zikimuhusisha JK na hata...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki)

    UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo. Sababu kubwa sio tu kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania POTOSHI Video hii ya RC Kihongosi akitoa adhabu ya viboko kwa watu wazima ni ya mwaka 2025?

    Halafu RC wa Arusha Kihongosi yawezekana ana Uzoefu wa Kuchapa Bakora kwani si kwa Bakora za maana alizowachapa.
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania sasa iitwe TanChina au United Arab Emirates of OmanTan.

    Kwa uchukuaji, sorry, uwekezaji huu, Tanzania si yetu tena bali yao. Kila kitu ni chao na hata sisi ni wao. Sisi ndiyo waliowao Samia kafungua nchi kwa wachukuaji. Kila kitu kiko sokoni na bei ni bwerere. Nani atatuokoa na balaa hili la kujitakia? Hiyo ndiyo Tanzania ya Samia. Tunaangamia.
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania ndo nchi ya ajabu unakutana na mchungaji anajitapa alikuwa jambazi,ona Sasa TRC Ina hasara Bilioni 234 alafu mkurugenzi wake amepitishwa kugo

    Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka. Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana

    Mahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana. Kesi za kisiasa zinatolewa maelekezo kiasi kwamba hata maamuzi mengi ya mahakimu na majaji ni mpaka wakaongee na wakubwa wao badala ya kufuata sheria . Mahakama ilikuwa sehemu ya wasomi inayo heshimika sasa mahakama imekuwa sehemu ya kisiasa na sio...
  20. JamiiForums Tanzania Kiwanja chenye ukubwa wa 2,200sqm kipo regent estate mikocheni daressalaam tanzania, bei ni dollars million 1.2

    #plotforsale #mikocheni #daressalaam #tanzania KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO REGENT ESTATE DARESSALAAM TANZANIA UKUBWA WA KIWANJA NI 2,200SQM KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI KABISA NA KUNA NYUMBA NDANI YAKE DOCUMENTS NI TITLE DEED BEI NI DOLLARS 1.2M 🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…