tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Ukombozi wa Kiuchumi: Je, Tanzania Inaweza Kupenya Minyororo ya Madeni na Kusimama Kwenye Miguu Yake?

    Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi duniani, hakuna taifa lililopaa kufikia economic sovereignty bila kukabiliana na changamoto za madeni, sera dhaifu, na utegemezi wa rasilimali za nje. Tanzania, kama developing economy yenye rasilimali lukuki lakini bado ikihesabu kwenye low-middle income...
  2. Mwaka 2022 niliwapekea udsm proposal ya kutengeneza dawa ya Corona wakaikataa- Moja ya sababu iliyoni-inspired kuwa na ndoto za uRais wa Tanzania

    ###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE### Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza dawa mda sisi nchi za afrika tumebakia kama onlookers zinafanikiwa mwaka 2021 Kwanin ilikuwa UDSM...
  3. Tanzania na Rwanda Zaimarisha Ushirikiano kwa Kusaini Hati Mbili za Makubaliano

    Tanzania na Rwanda Zaimarisha Ushirikiano kwa Kusaini Hati Mbili za Makubaliano Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda umefungwa rasmi jijini Kigali leo tarehe 26 Julai 2025, baada ya mawaziri wa pande zote...
  4. Waziri Kombo afungua milango mipya ya ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda kupitia mkutano wa jpc Kigali

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefungua rasmi Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Rwanda, uliofanyika tarehe 26 Julai 2025 jijini Kigali, Rwanda. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
  5. No treatment of tinnitus in Tanzania??

    Mdogo wangu anasumbuliwa na tinnitus kwa muda sasa karibu miaka 8, tumejaribu kila njia lakini anasem bado. Kwa anefahamu matibbu ya tinnitus msaada Tumejaribu kununua hearing aid lakini hkuna matokeo chanya
  6. Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda

    WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania jijini...
  7. Waziri Kombo apongeza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa jpc Rwanda, ahimiza kuchangamkia fursa za ushirikiano

    WAZIRI KOMBO APONGEZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA JPC RWANDA, AHIMIZA KUCHANGAMKIA FURSA ZA USHIRIKIANO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewapongeza wajumbe wa Tanzania waliowasili jijini Kigali, Rwanda kwa ajili ya...
  8. Tanzania ina waandishi wa habari wazuri sana, vyeti sio tatizo

    Nimeona baadhi ya watu wakishangalia baada ya tetesi kwamba waandishi wa habari kadhaa wamepukutishwa kutoka vyombo kadhaa vya habari kwa madai ya kukosa vyeti vya taaluma, washangiliaji wanaowana waandishi wa habari wengi wa bongo kama machawa zaidi na watu wasio na weledi, hili jambo ni ujinga...
  9. Ukweli mgumu kwa nchi

    Sikiliza Huu ujumbe kwa Nchi https://youtu.be/qQHFX3DBj-k?si=4YEiO6KBXBJgn-0O
  10. K

    Aina ya Mioyo ya wapinzani Tanzania

    (1)Wale wasiyoyumba wala kubadilishwa kama Tundi Lissu hata umuonge nini habadiliki (2)Wale wa maslai kama Mbowe wao watavumilia kila aina ya mateso lakini ukiwapa pesa wanasahau yote (3)Wale wanaofwata upepo kama akinyimwa madaraka Chadema anaenda kuyatafuta kwingine Msigwa (4)Wale awana...
  11. Tanzania Development Vision 2050: A critical view and alternative thoughts

    The Tanzania Development Vision 2050 is a detailed and ambitious document that outlines a clear and inspiring plan for the country's future. Its strengths include inclusive language, a solid foundation in good governance, an honest look at past challenges, and a logical structure that connects...
  12. A

    Kama Mwalimu Moroko ataacha kutupangia line up yake kwa majaribio Tanzania ana kila sababu ya kutwaa UBINGWA Wa CHAN Kwa mara ya kwanza

    Stars haijawahi tu kuwa serious na CHAN tofauti na ilivyoshiriki kwa mara ya kwanza mwaka 2009 chini ya mzee Marcio Maximo na Ally Bushiri. Tumefuzu Afcon 2025 kwa kuzifunga nchi zilizotumia wachezaji kutoka ulaya huku sisi tukiwa tunacheza humuhumu... Tulifungwa na Morocco na DRC tu. Wakati...
  13. Mbona hamasa ya CHAN ni Tanzania peke yake wanafanya vipi uko Kenya na Uganda

    https://www.youtube.com/watch?v=VqJg2dTFm4A
  14. Mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania

    Wakuu Tanzania ni nchi kubwa sana na ina resources nyingi sana. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza sana hivi tukianza kuwa makini na resources zetu hatuwezi kujikomboa kutoka kwenye umasikini kweli? Hii Tanzania ina ardhi kubwa sana, kuna madini, ardhi yenye rutuba, vyanzo vya maji, watu wengi...
  15. U

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi awaalika Waislam wote kuhudhuria Maulid ya Daarul Maarif, kwenye Viwanja vya Bakwata Makao Makuu

    DAARUL MAARIFA DAY 2025 Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu. Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
  16. E

    Heche: Kwanini ulale njaa wakati Tanzania peke yake ndio yenye madini ya Tanzanite?

    Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?
  17. M

    Tony Nyadundo mwanamuziki mashuhuri wa Kenya aliyezaliwa Tanzania na kuileta sifa kubwa Kenya

    Ndo ya Machozi inakubalika kila kona ya Afrika Masgariki
  18. Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
  19. Uchaguzi Tanzania 2025: Upinzani Tanzania unajimaliza wenyewe?

    Katika taifa linalohitaji mabadiliko yoyote, vyama vya siasa vikiwepo vya upinzani huwa na nafasi ya kipekee. Nchini Tanzania vyama vya upinzani ambavyo vilitarajiwa kuwa chachu ya mageuzi sasa vinaonekana kugawanyika kuliko wakati wowote ule. Badala ya mijadala ya sera na hoja mbadala dhidi ya...
  20. Take a trip around the Tanzania Mainland and Zanzibar

    Here we go
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…