tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania BBC: Habari za Polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zimesomwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa

    BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Cap: Ni kama kimekuwa vazi la laana hapa Tanzania

    Cap. Kapero. Ni moja ya mavazi yanayopendwa sana ulimwenguni tena na watu wema. Lakini kwa nchi yetu, vazi hili binafsi nimekuwa nikilinasabisha na uhalifu. Mara kwa mara matukio haramu ya utekaji ukitizama wale watekaji pale inapotokea wamerekodiwa hakosekani mmoja (au wawili au zaidi)...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tumeshindwa kuwa na kiwanda cha kupokea takataka na kupata umeme, gesi, mbolea na malighafi?

    Nahisi serikali ya CCM inapenda wale wawekezaji wasiotaka mema nchi wala kuona inapiga hatua mbele. Vyanzo vingi vya uchafu vinaweza kuwa recycle na kuwa na faida. Mfano mpaka sasa tumeshindwa kwenye majiji kutatua shida ya maji wakati mitaro ya maji,mito na vyanzo vingine ikawa msaada...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Chama cha siasa kikubwa kuliko vyote Tanzania ni CHADEMA

    Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni. CCM iko kwa sababu ya polisi ma watu kutafuta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani hutamuona mtu kule. CHADEMA IPO BILA RUZUKU, BILA BIASHARA LAKINI WATU WANAIKIMBILIA NA KUIAMINI NA...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania kama nchi imeipa Nini Dunia?

    Hili swali nimeuliza mahsusi kwa sababu. Atleast nchi kama Japan wameipa dunia gari aina ya TOYOTA. KOREA wameipa dunia products za Samsung Na hata Russia wameipa dunia AK 47 N K Sasa sisi kama Tanzania tumeipa nini Dunia kama Product unique ambayo inaitambulisha Tanzania? Naomba kufahamu
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania Leaks: Makanisani usiku wa leo kagueni watu wote wanaokuja na vibegi

    Ni taarifa kutoka Tanzania Leaks, lakini tusiipuuze. Hawa wanaojiita GenZ japo ni vibaka au panya road wanaweza kufanya lolote.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya kijiolojia yaliyojengwa na China yachochea ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania FT Nigeria 2-1 Tanzania| AFCON 2025| Group Stage| Group C| Match 1 of 3|

    Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea kukumbwa na wakati mgumu nchini Morocco baada ya kuruhusu bao moja hadi kufikia dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza katika mchezo dhidi ya Nigeria. Ikumbukwe kuwa msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
  10. JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo kikuu TANZANIA ni mfu?

    Leo nilipita chuo kimoja mjini kumpitia mdogo wangu twende Kilimanjaro kula sikukuu. Wakati nimepaki viunga vya chuo akaja na wenzake Kama watatu hivi kumbe walikuwa wanamalizia ku discuss naswali ya fulani hivi Nikaanza kuwasikiliza kwa makini wakibishana nikakumbuka kabisa hii mada nilisoma...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania inafungwa 3+, isipotokea NAJITOA JF

    Leo ni 3+ wanapigwa Tanzania Isipotokea hivyo NAJITOA JF RASMI NA SITOTUMIA TENA JF. Timu kwanza inalaana ya damu inayonuka nchini, mpaka HAKI ipatikane ndio mambo yatakua shwari. Timu lenyewe halina hata rangi za mpangilio wa jezi ambao umedumu miaka kwa miaka mingi kama timu nyingne za...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kuibuka mabingwa wa AFCON 2025

    Hello Kupitia analysis fupi niliyofanya nimekuja na majibu kwamba Tanzania tuna asilimia kubwa 99% kubeba kombe hili Timu nyingi za Taifa ambazo ni magiant round hii zinacheza mpira wa ovyo na hazina ubora ule tuliouzoea siku zote Viwango vya wachezaji havipishani sana baina ya yale mataifa...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania tupo vizuri kwenye nini kati ya vitu 15 vifuatavyo?

    Hapa naongelea Tanzania nzima, sio tu Tanganyika Yani naongelea hii nchi yetu yote (Tanganyika+Zanzibar) ambayo imebakiza miezi minne kusherehekea miaka 62 ya Muungano Katika vitu vifuatavyo, ndani ya hii miaka yote 62 tuliyoungana nataka niulize Tanzania tupo vizuri kwenye nini kati ya vitu...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kilitokea Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025? Huu hapa mtazamo binafsi wa Likud.

    Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa. Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period. Kwa vilaza 👇👇👇 Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Mwaka huu ndo nimejua kuwa CCM ni chama pekee kinachosimamia agenda ya Amani ya Tanzania yetu. Hongera CCM kwa hili

    Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado. Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu nchini, kipo radhi kikeshe bunge la ulaya kwa lengo la kuhatarisha amani ya Tanzania yetu. Ni vema wakajua...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yatemwa kwenye Tour za IShowSpeed Africa Tour, Rwanda na Kenya zala Shavu

    Darren Jason Watkins Jr. (aliyezaliwa tarehe 21 Januari 2005), anayejulikana pia kwa jina la kisanii IShowSpeed au kwa kifupi Speed, ni YouTuber na mtiririshaji wa maudhui mtandaoni kutoka Marekani. Yeye ni miongoni mwa watiririshaji wa maudhui yya mtandaoni na miongoni mwa watu mashuhuri wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Robert Alai: Tanzania Shida siyo Samia, shida ni system (mfumo), ili kufanikiwa lazima ing'olewe

    Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
  18. I

    JamiiForums Tanzania I Show Speed Kuzuru nchi 20 Afrika. Tanzania haimo

    https://www.instagram.com/p/DSiPoY2EV_C/?img_index=3&igsh=czl4ZGx1ajM4cTQ3
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wasipindishe ukweli. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa bali watu hawamtaki Rais aliyepo madarakani

    Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia. Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki. Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka. Hii ina maanisha ni wazi kuwa hawamtaki. Kwa nini? Walishasema ufisadi na mambo mengineyo. Hawa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ona mzaha mwingine: MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ameti

    MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…