tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kazier Chiefs washangazwa na jezi feki na ushabiki waliouna tanzania. Wapo Shaffih Dauda

    Ama kwa hakika utopolo wnajiona wajanja lakini kiuhalisia ni majinga fulani tu embu angalia hizi tweets za mashabiki wa kaizer chiefs wakishangaa walichokuwa wanakiona na kikubwa zaidi majezi feki yaliyovaliwa wenyewe hawayatambui kabisa duh kina shaffih dauda mmewaingiza wajinga chaka kwa kweli
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa habari ya Covid-19, Tanzania kisiwa. Mungu ndiye katupa neema hii baada ya kumtanguliza mbele kwenye vita hii

    Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo. Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio. Wanalazimisha kushawishi mamlaka za juu ziseme na kukiri kuwa Tanzania kuna corona. Wanalazimisha kubambikiza kila kifo kuwa ni cha...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzay Mheshimiwa Samia Suluhu leo Mei 22, 2021 amekutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania ( TRC) Masanja Kadogosa Katika mazungumzo hayo muhimu yaliyofanyika Ikulu pamoja na mambo mengine walijadili maendeleo ya Mradi wa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mwanasiasa gani kwa sasa mwenye mvuto na ushawishi zaidi kwa jamii ambaye anastahili kuwa alama ya siasa za Tanzania?

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, kila nchi kwa nyakati tofauti hujaaliwa kuwa na mwanasiasa au wanasiasa wenye kujaaliwa vipaji vikubwa vya uongozi kiasi cha kugeuka kua kichocheo na hamasa kubwa kwa wanasiasa wanaoibukia na hata wasio wanasiasa. Ndipo nikajiuliza tunao wanasiasa wa namna hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Mchungahela: Tanzania haiwezi kuendelea bila viwanda

    Mbunge Issa Mchungahela amesema Taifa haliwezi kuendelea bila kuendeleza Viwanda na vitu vyote vinavyozungumwa haviwezi kufanikiwa. Amesema hayo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara Aidha, Mbunge huyo amesema Vipaumbele vya Bajeti za Serikali vimekuwa havizingatiwi...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
  7. JamiiForums Tanzania Simba, vitendo vyenu vya kishirikina vinaharibu taswira ya soka la Tanzania

    This is Simba. Vitendo Kama hivi vinachefua na kuharibu taswira nzima ya soka la nchi yetu. Serikali ikemee vikali tabia hizi
  8. JamiiForums Tanzania Rekodi Alizo weka Samia Suluhu.

    Habari wakuu hapa ni baadhi ya rekodi chache Alizo weka Rais Samia suluhu. 1- Ndiye makamu wa kwanza wa kike Tanzania. 2- Ndiye Rais wa kwanza wa kike wa Tanzania. 3- Ndiye Rais aliye pita pasipo kupitia mchakato wa uchaguzi. 4- Ndiye Rais atakae ongoza muhula wa kwanza mfupi zaidi (Miaka 4). 5-...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania na Burundi kuendeleza miradi ya pamoja ya maendeleo

  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

    Ndugu zangu kumetokea ubishi hapa baina ya pande mbili, wengine wanasema ilikua ni njia ya hayati mwalimu nyerere kuweka alama kwa kila mtanzania,, wengine wanasema ni chanjo dhidi ya magonjwa kama tb,,, madocta na wataalamu mlioko humu pliizz tusaidieni hapa, tumekwama
  11. JamiiForums Tanzania Exclusive: Wachezaji Wawili Waandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Dodoma Jiji FC wanithibitishia kuwa 100% Ligi Kuu ya Tanzania inanuka Rushwa

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi. Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Elisha Osati anaenda kuongelea hali ya Covid 19 Tanzania kama nani?

    Nimeona Tangazo kwenye jumbe za watsapp ikionesha kuwa kitakuwa na mjadala kuhusu wimbi la tatu la corona nchini Tanzania. Katika mjadala huo nimeona mwenyekiti wa MAT pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake. Ieleweke kuwa kujadili covid sio tatizo ila ni muhimu pia sheria tulizojiwekea...
  13. JamiiForums Tanzania Tusipojua tunataka nini kwenye elimu yetu, tutakuja kupangiwa na watu wa nje

    Naona kama kwenye education system bado tumelala sana. Hivi huwa najiuliza. Wananchi wa tanzania wanataka watoto wao waelimishwe kuhusu nn. Elimu bora imefafanuliwa vipi kwa wazazi. Tuna mpango endelevu kweli wa kujua watoto wetu wanahitaji kujua nn mashuleni utakao husisha kubadilishwa kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mabondia wanne wa Tanzania wamewasili Urusi kupambana akiwemo Dullah Mbabe

    Mabondia wanne wa Tanzania akiwemo Dullah Mbabe wamewasili nchi Urusi kuzichapa na mabondia wa Urusi ambao awali Dullah Mbabe aliwataja kuwa wanapiga sana, lakini ameamua kwenda. Dullah Mbabe atapambana na Pavel Silyagin kuwania ubingwa wa Asian Pacific mkanda wa WBO. Twaha Kiduku atapambana na...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Museveni is to visit Dar today for EACOP signing

    Museveni off to Tanzania to finalise oil pipeline deal President Museveni is any time from now expected in the Tanzanian capital, Dar es Salaam to finalise the signing of the East African Crude Oil Pipeline agreement, the Nile Post has learnt. President Museveni shares a light moment with...
  16. JamiiForums Tanzania Ikulu Dar: Rais Yoweri Museveni na Rais Samia Suluhu washuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa...
  17. JamiiForums Tanzania 21 New Government Jobs UTUMISHI At Tanzania Railways Corporation (TRC), May 2021

    1. JOB TITLE: CIVIL ARTISAN II - 5 POSTS (RE-ADVERTISED) 4.0.2 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Packing of the railway track as directed by the supervisor; ii. To clear grass and bushes along the line; iii. To clean side drains and water outlets; iv. To repair the track after accidents; v. Load...
  18. JamiiForums Tanzania Je, magoli Mawili ya 'Mipango' aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania na Yanga SC yamezingatia Goal keeping Principles Wadau?

    Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania. Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba pamoja na Kipa huyo wa JKT Tanzania Kufungwa leo Magoli yale Mawili na Yanga SC ukimuangalia Usoni wala haonyeshi ama Kusikitika...
  19. JamiiForums Tanzania Dullah Mbabe: Mabondia wa Tanzania msiende Urusi na Kazakhstan

    Bondia wa Tanzania Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amesema hawezi kwenda tena kupigana nchini Urusi na Kazakhstan kwa sababu mabondia wa kule ni wakali sana. Pia amewatahadharisha mabondia wa Tanzania wanaokwenda kule kuwa mabondia wa nchi hizo huwa hawapoi na huwa wanapiga ngumi kama...
  20. JamiiForums Tanzania UNHCR: Tanzania imewanyima hifadhi wakimbizi wa Msumbiji

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema limesikitishwa na taarifa za wakimbizi wanaokimbia mapigano Kaskazini mwa Msumbiji kulazimishwa kurudi nchini kwao baada ya kuvuka mpaka kuingia Tanzania. UNHCR imesema imepokea shuhuda za maelfu ya wakimbizi waliorudishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…