Rekodi Alizo weka Samia Suluhu.

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Habari wakuu hapa ni baadhi ya rekodi chache Alizo weka Rais Samia suluhu.
1- Ndiye makamu wa kwanza wa kike Tanzania.
2- Ndiye Rais wa kwanza wa kike wa Tanzania.
3- Ndiye Rais aliye pita pasipo kupitia mchakato wa uchaguzi.
4- Ndiye Rais atakae ongoza muhula wa kwanza mfupi zaidi (Miaka 4).
5- Ndiye Rais wa kwanza Tanzania kutokea kwenye umakamu.
Hizo ni baadhi ya rekodi Alizo weka Je, rekodi gani nyingine Samia kaweka
 
Hapo mamba 4 ndoto yako ishindwe na wewe mwenyewe ULEGEZWE!!!
 
Habari wakuu hapa ni baadhi ya rekodi chache Alizo weka Rais Samia suluhu.
1- Ndiye makamu wa kwanza wa kike Tanzania.
2- Ndiye Rais wa kwanza wa kike wa Tanzania.
3- Ndiye Rais aliye pita pasipo kupitia mchakato wa uchaguzi.
4- Ndiye Rais atakae ongoza muhula wa kwanza mfupi zaidi (Miaka 4).
5- Ndiye Rais wa kwanza Tanzania kutokea kwenye umakamu.
Hizo ni baadhi ya rekodi Alizo weka Je, rekodi gani nyingine Samia kaweka
Karudisha amani, furaha, utulivu uliopotezwa na mwenda zake.
Zama za nduli ukiona Nissan Patrol nyeupe imeongozana na wewe, mitaa miwili au mitatu, tayari na harufu ya perfume ya kwenye gari inabadilika
 
Ndie rais aliyefanya makamanda uchwara ya ufipa kuunga juhudi bila ya kujitambua.
Ndie rais aliyemfunika dictator uchwara aliyeitwa mungu na wapumbavu kwa kasi ya 9G
IMG_20210501_234327.jpg
 
Back
Top Bottom