tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tutegemee lockdown tena?

    Je, Tanzania Tutegemee Lockdown Tena? Katika wimbi la tatu la CORONA Tanzani itakua chini ya Vizuizi vya kutoka nje? Hapo jibu ni hapana kwa mjibu wa majibu ya Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema kwamba Tanzania tusitegemee tena kuwepo kwa lockdown ( Vizuizi). Hii ni kwasababu Nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ina kitu cha kujifunza kinachotokea kuhusu Rais Mstaafu Zuma nchini Afrika Afrika

    Nafkiri Serikali ya CCM na Watanzania kwa ujumla wetu kuna kitu cha kujifunza kupitia VURUGU zinazoendelea kuhusu kifungo cha ZUMA. Kiuhalisia asilimia kubwa ya hao wanaondamana na kuleta fujo ni wale ambao wameona wamepata FURSA ya kuonyesha na kupunguza STRESS na HASIRA zao kwa mambo mengi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania National treatment policy ya Covid 19 kwa Tanzania ni ipi?

    Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa kila hospitali inatibu Covid 19 kadri inavyoona inafàa. Hakuna mwongozo maalumu wa kitaifa kutoka mamlaka husika. Nasema hivyo kwa sababu nimeuguza wagonjwa kadhaa including me katika hospitali tofauti tofauti na kushuhudia kila hospitali inatoa dawa kadri...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kuleta chokochoko za vurugu CHADEMA yapuuzwa Tanzania nzima. Operesheni Haki waliyofanya yaonekana ni batili

    Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma. Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia. Tafiti za kisayansi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Chanjo ya Corona itakayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile inayotumika Marekani

    Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani. Chanzo: ITV habari Nawasalimu kwa jina la JMT!
  6. JamiiForums Tanzania Siku 60 zijazo Tanzania inaweza kuwa zaidi ya India kwenye suala la COVID-19

    Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida. Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi. Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Timu ya Riadha ya Tanzania yafuzu kupeperusha bendera Olimpiki

    Watanzania Felix Simbu, Failuna Matanga na Gabriel Geay, wamefanikiwa kufuzu viwango vya Olimpiki na wanatarajia kuondoka nchini Julai 27, 2021 kuelekea Japan kwa ajili ya mashindano hayo yatakayofanyika mwezi Agosti Timu ya Taifa ya Riadha ya Tanzania imekabidhiwa bendera ya Taifa, tayari kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nikijibiwa kitaaluma na kuelimishwa vyema juu ya hili swali langu nitaondoa wasiwasi juu ya elimu ya Tanzania na matokeo ya mitihani

    Swali... Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi (Future Intellectuals) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi...
  9. JamiiForums Tanzania Upi Mustakabali wa ACT-Wazalendo Kwenye Siasa za Upinzani Tanzania?

    Mwandishi Njonjo Mfaume anauliza nini mustakbali wa ACT Wazalendo kwenye siasa za upinzania Tanzania? =========== Kuna baadhi ya viumbe ni vigumu kuwaainisha. Kati ya hao yuko popo. Popo anaruka kama ndege lakini ni mamalia. Kwa mujibu wa wataalamu, huyu ndiye mamalia pekee kwenye sayari yetu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa PCM pekee ndio hupiga one za tatu Tanzania?

    Nimekuja na tokeo la vijana machachari kutokea KISIMIRI wakiendelea kunyosha misonge ya one kali. Swali langu ni moja kwanini ni vijana wa PCM tu ambao hutoboa kupiga one za tatu tangu Tanzania kuumbwa.
  11. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

    Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo. Sirro amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Wasomi wengi wa Tanzania ni Opportunist wakubwa, Walaghai na Wabinafsi

    Hawa wasomi njaa hawa kipindi kile cha nyuma walitusababishia ikawa ukienda kula ndizi choma na mishkaki unawekewa kavu na ukitaka chachandu unatakiwa ulipie. Yaani Ghafla Chachandu ikawa dawa ya Corona. Kwa utafiti gani haijulikani. Yaani sisi watu wa hovyo sana. Wauzaji chips wakawa sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Watu 408 wamebainika kuwa na Corona , 284 wakiwa katika mashine za oksijeni

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi kufikia Julai 8, 2021 jumla watu 408 walibainika kuwa na ugonjwa wa corona huku 284 wakitumia mitungi ya oksijeni. Dk Gwajima ametoa taarifa hiyo leo Jumamosi Julai 10, 2021 wakati akitoa elimu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kenya unategemea mahusiano ya kibeberu dhidi ya Tanzania

    Ubeberu wa kimataifa umejiundia tangu kale mahusiano ya kiuchumi ambayo wao ni kama bahari. Mito yote kutoka nchi kavu na maziwa lazima yaishie kwao baharini. Kuna mito huingia kwenye maziwa halafu kuna mito inatoka kwenye maziwa kwenda baharini. Kenya ni kama ziwa kwa uchumi wa tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania zinakosa tija kwasababu wanaharakati wa kisiasa wanatumia muda mwingi ku-attack personality badala ya kuwa objective

    Hili ni tatizo ambalo naona linazidi kukomaa, siasa za wanaharakati wa sasa iwe chama tawala ama wenye mirengo ya upinzani, wamekuwa ni watu wenye hoja za ku attack personality zaidi na kukosoa kila jambo. Yaani kama ni mwanaCCM anaona harakati zake hazijakamilika bila kumtukana Mbowe au Lissu...
  16. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya miradi mikubwa ya maendeleo Tanzania kuchelewa au kukwama? Je, ni hujuma za majirani?

    Amani iwe nanyi wadau! Leo naomba niandike mada ngumu kwa wengi Ila nyepesi kwa wachache wenye akili na jicho la tatu!! Mada hii imetokana na Jarida la African Report kuandika Makala inayoelezea kwa Jinsi gani Rais Samia anaweza pata ugumu katika kushawishi Kujengwa kwa Mradi wa Bandari ya...
  17. JamiiForums Tanzania Somewhere in Tanzania you will meet these beautiful people

  18. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi namna ya kugawana pesa za Simba SC Tanzania

    Nimeona kuna wanajiita wachambuzi au wanamichezo wanapotosha makusudi ama hawajui haya mambo. Wanadai azam media wakiipa pesa Simba kupitia mkataba wa haki za matangazo basi mudi atakata 49% kinachobaki ndo kinaenda Simba SC Tanzania. Huo ni uongo na upotoshaji. Hesabu za kupata gawio...
  19. JamiiForums Tanzania Bidhaa 10 ambazo huruhusiwi kuziingiza Tanzania

    Habari WanaJF, Kuna orodha ndefu ya bidhaa ambazo ni marufuku kusafirishwa kuja Tanzania kwa mujibu wa sheria za nchi na sheria za kimataifa. Hivyo, tunashauri kabla hujaagiza bidhaa yoyote ni vyema ukafahamu sheria hizo vizuri kuepuka usumbufu, hasara na matatizo na mamlaka. 1. SANAMU ZA...
  20. JamiiForums Tanzania Corona iko maeneo gani Tanzania?

    Hey, Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani?? Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi. Kiuhalisia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…