tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kusheherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wakati tokea Uhuru hadi leo Taifa lina Changamoto za Kimsingi zifuatazo ni Uzuzu uliotukuka

    1. Ujinga uliochanganyika na Upumbavu. 2. Elimu mbovu na inayozalisha Mazuzu wengi na Ajira kuwa Janga la Kitaifa. 3. Umeme usio na uhakika nchini. 4. Kutopatikana Maji kwa Wananchi. 5. Ukabila, Udini na Ufisadi mkubwa. 6. Afya duni kwa Watanzania wengi. 7. Siasa mbovu na Demokrasia ya...
  2. JamiiForums Tanzania Wamasai wanatuwakilisha vyema sana hapa Tanzania

    Wakuu habari za usiku. Acha niende kwa mada leo katika pitapita zangu maeneo ya huku chini ocean road nikakutana na mmsai yuko na demu wakizungu afu sasa dizian kama dada kamwelewa mmasai. Uyo demu wa kizungu alikua mzuri balaa mpaka nikaona wivu Mmasai anaonekana mjanja alikua anamshikashika...
  3. JamiiForums Tanzania Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania na kuipunguzia mzigo wizara ya Nishati

    Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas...
  4. JamiiForums Tanzania Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  5. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

    Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni , Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Misafara ya viongozi ni hasara kwa taifa maskini kama Tanzania

    Niko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100. Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara wa magari utadhani kuna vita yote hayo yakitumia kodi za kibabe tunazotozwa ni. Kwanini usitumike...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini Tanzania itapata Rais, Makamu na Waziri Mkuu wenye mtizamo na mawazo ya kibiashara?

    Tanzania inashindwa kuendelea kwa sababu ya kuweka madarakani viongozi wenye damu ya Utumishi wa umma na kushindwa kuweka mchanganyiko wa Watumishi wa umma na wafanyabiashara. Ntatoa mfano kwa awamu zote sita zilizowahi kuwepo kwenye utawala Historia ya Mwalimu alikuwa Mtumishi wa Umma kwenda...
  8. JamiiForums Tanzania Kumaliza/kupunguza tatizo la maji safi Tanzania

    Wote tunafaham kuwa kumekuwa na changamoto ya maji safi ambayo pamoja na juhudi kubwa za Serikali inachukua muda kupata suluhu kwani kila wakipunguza eneo moja kuna eneo lingine linaongezeka kwa upungufu Tatizo 1. Visima/chemchem nyingi zimekauka/zinaendelea kukauka 2. Kuchimba kisima kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa kubadilisha jina la timu ya Taifa na kuipa nembo

    Timu yetu ya Tanzania ambayo inajumuisha Bara na Visiwani.... Feitoto inapitia kipindi kigumu sana. Ukiangalia karibu nchi nyingi za Afrika timu zao zina majina ya tofauti. Mfano Rwanda ama Msumbiji kuna Amavubi na Mamba. Sisi huku ni Taifa Stars... hakuna hata nembo inayowakilisha nchi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mliosoma Political Science / Public Administration hivi Kitaalam huu Mtindo uliopo Dunia ya Leo unaitwaje?

    Kuteua waliokataliwa Kiutendaji na aliyekuwa Bosi wako na Kuwaondoa katika Utendaji wale walioaminiwa Kiutendaji na Bosi wako. Sasa naanza Kuamini kuwa ukifanya Kazi na Mtu mahala ( ofisi ) fulani si vizuri sana Kumuamini kwani huenda hata Maadui zako wakapitia Kwake na Kukuangusha na hata...
  11. JamiiForums Tanzania EAC Tanzania kinara kuvutia Wa-USA

    Kuna watu wanapenda kudharau watu toka Mataifa yaliyoendelea kama Marekani na mengineyo kwa kuwaita eti wao ni "Mabeberu " kitu ambacho sichema kwa ustawi wa nchi na kwanchi zinazotuletea biashara na ajira kama hizi kuwaita "Mabeberu " japo hii sio hoja yangu wacha twende kwenye hoja...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list

    The heavily indebted poor countries' list is a joint initiative by the World Bank and the International Monetary Fund. The aim of the initiative is to ensure that no poor country in the world ever faces a debt burden it cannot manage. Out of 36 countries on the list, African countries dominate...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi yaliyotikisa kesi ya Jamhuri v Mbowe haya hapa

    Katika kesi ya shujaa wa siasa za Tanzania yapo mambo kumi yanayosisimua nakuonyesha aina ya binadamu tunaokutana nao misikitini na makanisani walivyo na roho za kikatili, ntaeleza kwa mfumo wa count down 1. Kielelezo kinatoka store ya Mahakama kinafika kwa wakili wa serikali na Kisha kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr. Meneja wa Makampuni: Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo

    Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo. Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila kukariri huwezi kujua kusoma na kuandika, bila kukariri huwezi kushika verbs, bila kukariri huwezi...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Africa kwa unywaji wa pombe nyuma ya mataifa tajiri ya Ulaya

    Top Consuming Country by Alcohol Type Consumption/Capita Czech Republic Beer 6.77L France Wine 6.44L Cook Islands Spirits 7.07L Tanzania Others 6.60L The importance of local crops couldn’t be overstated. Regions like Africa and Asia that struggle with the right conditions for grapes or...
  16. JamiiForums Tanzania Climate Change: Nchi za Kiafrika, hususan Tanzania tuwe waangalifu na njama pana zaidi

    Katika kuongea na wenzetu wana siasa Ulaya na Marekani, ni muhimu kutazama tatizo lolote kwa uwigo mpana zaidi. Wakati wa utumwa , waafrika walichukuliwa kuwa kama wanyama wa kazi, kama punda na farasi. Ulaya na Marekani walipo ingia Industrial revolution ,sasa nguvu kazi iliyotumika kwa miaka...
  17. JamiiForums Tanzania Review: Tanzania kutofaidi kwa madini na gesi asilia Tatizo ni nchi sio kampuni za nje

    Baada ya kuisoma kwa uzuri tafiti iliyofanywa na wataalamu wa mafuta na gesi Afika, Polus, A na Tycholiz, W nimekuja na review ya kile ambaco kipo kwenye kazi waliyoifanya mwaka 2019 ikiaangazia uwanja wa madini na gesi asilia nchini Tanzania huku wakionesha namna ambayo nchi inapoteza mbali na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wakongo (Congo DR) wametudharau sana Wabongo (Tanzania) Jana haki ya nani

    Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen amekisuka Kikosi chake kwa Siku 8 mfululizo, huku Kocha Hector Couper ameungana na Wachezaji wake Juzi Usiku tu na Jana wametufunga Kishalubela (Kikatili) Magoli 3 kwa 0 kwa Mkapa tena mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waandamizi wengine wa Serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Electronic Banking Officer at Tanzania Commercial Bank

    Tanzania Commercial Bank is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products. Tanzania Commercial Bank is a Bank, whose vision is “to be the leading bank in Tanzania in the provision of affordable, accessible...
  20. JamiiForums Tanzania Driver at SOS Children’s Villages Tanzania - 3 Posts

    SOS Children’s Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to SOS Children’s Villages International, a worldwide child care and protection organization that provides orphaned and destitute children with a permanent home and educational opportunities. Established 60 years...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…