tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

    Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria. Je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

    Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani, Starling wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan. Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo...
  3. JamiiForums Tanzania Dubai, UAE: Ndege kutoka Tanzania kutoruhusiwa kutua kuanzia Desemba 25

    Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa visa vya Kirusi cha Omicron. Nchi nyingine zilizozuiwa ni Kenya, Ethiopia na Nigeria. Hata hivyo, Ndege za UAE zitaendelea kupeleka...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Tanzania Royal Tour

    Her Excellency! Impressive video!
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania: New World Bank Financing to Secure Land Rights for Up to Two Million Citizens

    WASHINGTON, December 21, 2021—The World Bank Board of Executive Directors has approved new International Development Association (IDA)* financing for Tanzania that will strengthen the national land administration system and increase tenure security for at least two million land holders, users...
  6. JamiiForums Tanzania TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

    1. TAWAQAL EXPRESS Pichani ni basi la kampuni ya Tawaqal. Kampuni hii ilikuwa balaa. Njia ya Dar - Mbeya, Dar- Kyela, Dar - Tunduma na Dar - Songea. Kampuni hii ilikuwa na madereva mahiri kwelikweli. Miongoni mwao alikuwepo GIRIKI. Jamaa alitoka Dar saa 12 asubuhi akaingia Mbeya saa 7...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Tanzania mpya tuvikatae Visingizio vyote

    Ukweli, haki, nia, dhamira nk, havijifichi: Sikiliza wanasiasa wote Samia, Majaliwa, Mbowe, Zitto, Lissu, Lipumba nk. Wasikilize kina Ndugai, Kabudi, Msukuma, Polepole, Bulembo, Nape nk Ni kitu gani bado hakijulikani? Kwa hakika watake wasitake Tanzania mpya inakwenda kuzaliwa. Chile...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wengi wa Redio na Runinga Tanzania wanapenda kuishi 'Fake Life' tofauti na wale 'Wagumu Asilia' wa Magazeti?

    Na hata ukiwachunguza tu wa Redio na Runinga wengi wao ndiyo wanaongoza kwa Kupenda 'Kulelewa' na 'Mijimama', Wana Tamaa za Kipopoma ( Kipumbavu ), Wanafiki, Waongo, Wala Rushwa na wapenda Michongo sana, Wafitini na Wadangaji wengi utawakuta huko na hata ukitafuta 'walioathirika' na Gitaa pendwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna waamzi wa mchezo wa mpira?

    Wakati nasoma orodha kamili ya marefa watakaochezesha AFCON kuna marefa kutoka uganda kenya rwanda na burundi ila cha ajabu hakuna refa aliechaguliwa kutoka tanzania hii ni aibu aisee
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Tanzania maambukizi yafikia watu 47 toka 14 kwa siku

    WAZIRI DK DOROTHY GWAJIMA AZINDUA MPANGO WA JAMII HARAKISHI NA SHIRIKISHI WA CHANJO YA COVID -19 AWAMU YA PILI === Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Kampeni Harakishi na Shirikishi kwa Jamii awamu ya pili na kusema, changamoto za...
  11. JamiiForums Tanzania Wabunge 38 wa Uganda wakubwa na corona baada ya kutoka Tanzania

    Wabunge 38 wa Uganda wakutwa na corona baada ya kutoka Tanzana, Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

    Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

    Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021 1. JPM 2. Bakari Mwakapachu 3. Prof Mathew Luhanga 4. Zakaria Hanspope 5. Asas 6. Haruni Zakaria 7. Summry 8. ....
  14. N

    JamiiForums Tanzania Anayeshupaza shingo yake mwisho wake? Je, inawahusu watawala wa sasa hapa Tanzania?

    Kelele zilikuwa nyingi kumkomesha Polepole kuropoka ropoka kupitia shule yake. Akashupaza shingo yake na kutoa shule kubwa Zaidi yenye vijembe kibao ndani yake. Mwishowe tuliona kabisa wakaja TCRA wakakata shingo yake! Mbaya Zaidi amepelekwa na kwenye LiCHAMA lake pengine na bungeni anaweza...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yashikilia meli iliyosheheni sumu ya nyuklia iliyokuwa inapeleka Tanzania

    Mashini za kukagua miyonzi ya nyuklia zinaonyesha humo kuna kontena moja lenye sumu ya nyuklia, kulingana na sheria za kimataifa, Kenya inalazimika kuagiza meli irudi ilikotoka kule India, ila sasa Watz watang'aka kwamba wanahujumiwa, itabidi waalikwe waje waone wenyewe kwanza, maana hata sijui...
  16. JamiiForums Tanzania Timu za Tanzania na maendeleo ya Mpira Nchini

    Timu za Tanzania hasa Yanga, Simba na Azam zimejiimarisha sana kusajili wachezaji nyota kutoka nje ya nchi. Ingawa kwa kufanya hivyo kumeichangamsha sana ligi ya NBC mwaka huu, kinachosikitisha sana ni kwamba hali hiyo pia inadidimiza sana vipaji vya ndani, hivyo kuifanya Taifa Starts ibaki...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi Mmarekani (wa Peace Corps) alivyoua mtu Tanzania, kukwepa mkono wa sheria na kutorokea kwao

    Kwa Ufupi Kuhusu Muuaji na Tukio Hilo Kwa Ujumla Huyo ni Mmareakani. Alikuwa ni mfanyakazi wa Peace Corps. Alitoka ulevini na kahaba huku akiwa amelewa. Alisababisha ajali ambayo iliumiza wawili na kumuua mwanamke mmoja. Baada ya Tukio alishikiliwa katika kituo ambacho hakijatajwa jina...
  18. JamiiForums Tanzania Maandamo ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa CCM ni sasa

    Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena. CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu! Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
  19. JamiiForums Tanzania Uzuzu wa kisiasa,kidemokrasia na kikatiba Tanzania nini kifanyike?

    Habari za kutwa miamba na majabali ya jukwaa mujarabu. Rejeeni kichwa cha maada, nimetafakari nyakati nyingi na kwa marudio kwanini nchi hii ina ombwe kisiasa,kidemokrasia na kikatiba. Kwanini uhuru katika nyanja hizo si kipaumbele kwa Taifa hili? Mara nyingi maswali yangu hujikita...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo apongeza Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    CHONGOLO AWAPONGEZA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewapogeza Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi kubwa wanayoendelea kuifanya katika maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…