tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Dangote, you need to remember: Samia will not be the president of Tanzania forever!

    A word of advice to you Dangote: You need to remember Samia will not be the president of Tanzania forever. Tread with care, watch what you say in public. Stop locking yourself into long term investments for sentimental reasons. Like elephants, Tanzanians might look peaceful, but they have long...
  2. JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Dangote kujenga Kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga ni swala la maslahi ya Taifa; Tusizubae!

    Kama kuna habari iliwaumiza wengi ni kauli ya tajiri Dangote kuhamisha uwekezaji wa kiwanda cha mafuta kutoka Tanga kwenda Mombasa. Ni imani yangu kuwa mkutano wa Rais Samia leo na Tajiri Dangote, pamoja na mambo mengine umejaribu kuhuisha matumaini ya mradi huu kubaki Tanga. Ni lazima kama...
  3. JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Wakuu katika pita zangu kwenye application ya Vodacom(Mpesa)nimeona kuna ku link account ya PayPal..Sasa naomba kujua kama inapokea..je mpesa wameingia partnership na PayPal???
  4. JamiiForums Tanzania Mauzo ya Asali Tanzania Yapaa kwa 68.4%!

    Thamani ya mauzo ya asali imeongezeka kutoka Sh bilioni 11.4 mwaka 2024 hadi kufikia Sh bilioni 19.2 mwaka 2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 68.4. Mafanikio hayo yanaendelea kuimarisha hadhi ya Tanzania katika soko la kimataifa la asali.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maamuzi mengi kuhusu uongozi wa Tanzania yanafanywa na watu wenye IQ ndogo sana, au kwa ajili tu ya kujipendekeza

    Hili ni jambo ambalo hatimae nimetambua ndilo tatizo kubwa linaloikabili Tanzania. Ni kwamba maamuzi mengi kuhusu Tanzania yanafanywa na viongozi wenye IQ (akili ya kufanya maamuzi sahihi) ndogo sana, na hata wale wenye IQ ya kutosha hawatumii akili yao bali wanafanya mambo kwa njia ya...
  6. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania: Mkutano wa Rais Suluhu na Dangote

    Kukutana kwa Rais Suluhu na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa Afrika, Aliko Dangote kumeonesha kuwa Tanzania inaendelea kuwa eneo lenye mvuto wa uwekezaji. Hii hutuma ujumbe chanya kwa wawekezaji wengine wa ndani na nje kuwa Serikali ipo tayari kushirikiana na sekta binafsi.
  7. JamiiForums Tanzania Bado business partnership ni ngumu sana kufanikiwa hapa Tanzania

    Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu. Mimi naona...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania imara itajengwa na Vijana wenye Uzalendo na Mapenzi kwa nchi yao

    Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini TAHLISO wameamuakupaza sauti na kusema #NeverAgain kwa machafuko na uharibifu. Kwa pamoja Tuipende, Tuitunze na Tuilinde nchi yetu.
  9. JamiiForums Tanzania Othman Masoud, amesema Tanzania ipo katika mkwamo wa kiuongozi na tusipoangalia tunaweza kuingia kwenye mkwamo mkubwa zaidi

    Salama. Huu mkwamo wa kiuongozi ni kweli upo? Umesababishwa na nini? Je hatua gani zimechukuliwa ili kuweza kutatua changamoto ya huu mkwamo uliopo ? Pengine ni mawazo ya mtu mmoja ,je ndugu mtanzania ni kweli Tanzania ina mkwamo wa kiuongozi na kama upo ni kwa namna gani?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tanzania siyo nchi ya kuamuliwa na Wanaharakati

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakati wa mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayojiongoza kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni zake, na haitakubali kuendeshwa au...
  11. JamiiForums Tanzania Unaitazama na kuitathimini vipi Tanzania ya baada ya miaka 50 kutoka leo?

    Karibuni🇹🇿
  12. JamiiForums Tanzania Je wajua Tanzania ndo nchi ya pekee Africa yenye visima /hifadhi ya gesi kubwa lakini karibu hifadhi au visima vyake vyote haina umiliki navyo?

    Tanzania imemilikisha au kuuza hifadhi za gesi kwa mashirika au kampuni za nje na haina umiliki wa asilimia zozote badala yake wamegewa haki ya kushiriki kupitia TPDC ila hawana umiliki, na baadhi ya visima/hifadhi wameficha taarifa za umiliki, ni huzuni sana. Visima au hifadhi...
  13. JamiiForums Tanzania Akufukuzae Akwambii Toka, Kundi la Tanzania Kombe la dunia wanawake 2026 Poland

    Tanzania imepangwa Kundi B kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake U20 Poland 2026 #fifawomensworldcup @fifawomensworldcup @tanfootball
  14. JamiiForums Tanzania Nchi yangu Tanzania haina tena THINK TANKS wa muelekeo wa kiuchumi, ni bora liende!

    Rais wa Awamu ya kwanza , Mwalimu Nyerere aliwaweka watu waliobpbea kiuchumi kuwa washauri wake. Mwalimu aliweza kubishana na IMF kwa kipindi kirefu kutokana na misimamo inayotokana na ushauri wa kitaalam toka kwa washauri wake wa kiuchumi. Mwalimu alishauriwa na magwiji kama Dr Mwaluko, Prof...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize Kwanini Tanzania haialikwi kwenye mikutano ya uwekezaji

    Mkutano unafanyika Kenya tumejaza majinga nchi nyingine za Africa zinapiga deal https://youtu.be/lf6WeLrKFLs?si=V5VWdGRa4KjbECbY
  16. JamiiForums Tanzania DAR: Tanzania Na Marekani Kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Afya

    Serikali ya Marekani na Tanzania kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Afya Tanzania na Marekani mambo safi Dar es Salaam, 14 May 2026 The Minister of Health, Hon. Mohamed Mchengerwa, today met with Chargé d’Affaires of the United States Embassy in Tanzania, Andrew Lentz, to discuss a new...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hebu sikia kilio cha wakulima wa Tanzania kuhusiana na Mbolea. Mfuko mmoja wa mbolea za DAP, UREA na CAN unauzwa 120,000-130,000

    Nimepita mikoani hususani vijijini ila nilichokutana nacho ni vilio vya wakulima kila kona. Hali ya upatikanaji wa mbolea imekuwa ni ya shida mnoooo!!! Kila maduka ya mbolea utakayopita unaambiwa hakuna mbolea huku wale walionazo stoo wakiuza kwa bei ya kuumiza wakulima kwa wastani wa shilingi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwasasa, mamluki na wafuata mkumbo ni janga na changamoto mpya ya kitaifa Tanzania

    Sote ni mashuhuda kwamba, katika majukwaa mbalimbali humu JF, kumezuka na kuibuka wimbi kubwa sana la baadhi ya wadau wa JF kujidhirisha pasina shaka yoyote kwamba wao ni kundi la mamluki wa vibaraka fulani wa mabwenyenye ya magharibi,yaliyokita kambi humu nchini, lakini pia ni wazi kwamba wao...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wetu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) hawatetei maslahi yetu sababu wanaogopa kutumbuliwa

    Siku ya Wauguzi Duniani ilikuwa Mei 12 ila wahusika ambao wako kwenye nafasi kubwa za Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) waliogopa kuwasilisha kwa watawala hoja za wanachama wao kwa sababu wanaogopa kuenguliwa nafasi zao. Wanafanya hivyo kwa kuwa wao maslahi yao ni makubwa wanajua wakitumbuliwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…