tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Tanzania hatuna uhaba wa mafuta, tumeshaagiza mengine ya Mei, Juni 2022

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imesema mpaka sasa Tanzania haina Uhaba wa Mafuta, hivyo hakuna Sababu ya Watanzania kuwa na Taharuki ya Ukosefu wa Nishati hiyo Muhimu. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nishati, Januari Makamba katika mkutano wake na Waagizaji na...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania haitajengwa na chama kimoja

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania haitajengwa na mtu mmoja au chama kimoja bali itajengwa na Watanzania wote. Rais Samia ameeleza hayo Jumanne Aprili 5, 2022 Jijini Dodoma wakati akizindua mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), unaojadili maridhiano, haki na amani...
  3. JamiiForums Tanzania How Tanzania look like in one year of Samia Suluhu Hassan administration?

    Elected vice president of Tanzania in 2020, Samia Suluhu Hassan was the first woman vice president in East Africa, the biggest victory for women in Tanzania and around the World. In 2021 after the death of President Magufuli she took over the leadership of Tanzania as President and the first...
  4. JamiiForums Tanzania Wiki ya ubunifu Tanzania-Kanda ya Njombe

    Habari wanajukwaa, Ikiwa ni mara ya kwanza kwa WUTz kufanyika Njombe, na nikiwa ni mmoja wa waratibu wa jukwaa hili la WUTz Kanda ya Njombe nimeona ni vyema nikilileta suala hili hapa JF. Kwanza ni kwasababu ninaamini kuna wadau wengi wenye uzoefu na fikra tunduizi za kutosha zinazoweza...
  5. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz mmiliki mpya wa tiGO Tanzania na Zantel

    Tajiri Rostam Azizi ndio Mmiliki wa Sasa wa Kampuni za Tigo na Zantel Pia, soma=>Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialism economy
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri wa Nishati aliondoa Tozo kwenye mafuta kimakosa kwa sababu Tozo ilipitishwa na bunge, Nimeirejesha!

    Rais Samia amesema waziri wa Nishati January Makamba alifuta tozo ya tsh 100 kwenye mafuta kwa nia njema ya kupunguza bei lakini ikaonekana kuna utaratibu haukuwa sawa. Tozo ile ilipitishwa na bunge siyo waziri hivyo kuifuta kulitakiwa kuanzie bungeni. Rais ameirejesha tozo ya mafuta kama...
  7. JamiiForums Tanzania Ikiwa Tanzania hatujapata Maendeleo kufika Uchumi wa Juu ndani ya miaka 9 ijayo najiondoa JF

    Huu ndo ukweli Endapo Mungu akinipa uhai ndani ya miaka 9 ijayo na hatujafika Uchumi wa Juu, Basi kama sio kujiondoa JF nitakuja na Verified id Kwa nini nasema haya? 1. Mradi wa LNG unaotarajiwa kuchukua miaka 4-6 kukamilika. Mradi huu unatarajiwa kuchukua Takribani Trilion 70-80 na kuingiza...
  8. JamiiForums Tanzania Uhamiaji naomba muwamulike Wanaijeria walio Tanzania

    Niwape pongezi Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya. Ila kuna vitu vidogo mnahitaji kuvifanyia kazi. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Nigeria wapo humu nchini wanafanya biashara ambazo hazieleweki. Unakuta mNigeria eti anashona nguo. Kuna tukio moja limetokea Kidimbwi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania, Uingereza Kupambana Na Usafirishaji Haramu Wa Watoto

    Tanzania na Uingereza zimekubaliana kuweka mikakati ya pamoja kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu wakiwemo watoto hasa maeneo ya mipakani. Hayo yamebainika Aprili 04, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Vicky Ford...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashangaa Tanzania kuwa na wachambuzi wengi wa mpira huku haina kocha hata mmoja anayefundisha nje

    Waziri Mkuu akiongea katika kikao cha maafisa Utamaduni na maafisa michezo Jijini Dodoma, alishangaa kwa nini Tanzania haina kocha hata mmoja anayefundisha nje ya nchi, hata Burundi au Rwanda lakini yenyewe ikiwa inachukua makocha wa kigeni kutoka nchi hizo. Kinachoshangaza zaidi ni Tanzania...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ratiba ya Rais ndani ya nchi ni Ratiba ya wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama? Kwanini akiwa nje ya nchi yupo mwenyewe?

    Tunaweza kubadilika nakuokoa fedha na rasilimali wakati pale tutakapokubali kwamba upo umihimu wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Mhe. Rais akiwa popote nchini anakuwa na wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama ambao naamini Kila mmoja anakwenda na timu ya Watu wasiopungua kumi. Watu Hawa...
  12. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano, 2022: Rais Samia asema Maendeleo hayafanywi na CCM na Rais pekee, aahidi ushirikiano na vyama vingine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridiano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 05 Aprili, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. ========= Updates: RAIS SAMIA AMEELEZA HAYA: Binafsi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Tanzania wanalamba asali tamu

    Haijawahi kutokea na haitakaa itokeee free ride kama waliyonayo wafanyabishara wa Tanzania kwa sasa, usishangae leo ukakuta sabuni ya kuogea inauzwa 500 kesho asubuhi ni 1200 ukilalamika unaambiwa ni vita ya ukraine Rais wa nchi kama mara tatu kwenye hotuba zake amekuwa akisisitiza kwamba ni...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mikoa gani na wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi Tanzania?

    Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo ngano inaweza kuzwa kwa wingi? Nitashukuru sana kwa msaada wa majibu huyu wapenda, natanguliza...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanamichezo wangu Bora 22 ndani ya Tanzania kwa Karne ya 21

    Karne ya 21 tumeshuhudia mengi Sana kwenye michezo,ya kutia aibu mfano kukosekana kwa disc lenye wimbo wa taifa ndani ya uwanja wataifa Hadi yale ya kubadilisha muda wa mchezo bila timu shiriki kupewa muda. Pia Kuna mengi mazuri ya kujivunia ndani ya miaka hii 22 ya Karne ya 21. Wafuatao ni...
  16. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi Tanzania kupeleka timu nne

    ➡️Baada ya klabu ya Simba kufanikiwa kutinga robo fainali ya kombe la shirikisho (CAF Confederation Cup) rasmi sasa Tanzania tutapeleka timu nne kwenye mashindano ya CAF msimu ujao (2022/23) baada ya kuwa miongoni mwa maitaifa 12 yayopeleka timu 4 msimu ujao. ➡️ Kabla ya mchezo wa jana Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ndani ya CCM badala ya kuleta matumaini yamewavuruga wengi na kesho ya Taifa la Tanzania

    Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele tukiwa na umoja wa kitaifa. Ccm chini ya viongozi wakuu wa Taifa hili wametoka kwenye misingi baba wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mapungufu katika tuzo za Tanzania Music Awards (TMA)

    Unapokuwa na maono ya kufanya shughuli yoyote inayohitaji ubunifu na manufaa makubwa, jaribu kuwaona waliowahi kufanya shughui Kama hiyo ili wakuelekeze inafanyikaje! Nimestaajabishwa sana kuhusu TMA walichokifanya🥺! Maana ilikuwa Kama kongamano la kisiasa yani... Stage mbaya Lighting mbaya...
  20. JamiiForums Tanzania Washindi Tuzo za Muziki Tanzania 2021, heshima kwa Rais Samia, Diamond, Ruge, Mabeyo

    Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021 zinatolewa usiku huu wa Aprili 2, 2022 ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa tuzo kama za muziki kama hizo Nchini Tanzania. TUZO ZA HESHIMA Shughuli inafanyika kwenye kwenye Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, watu watano wa kwanza kupewa tuzo ya heshima ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…