tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania AIBU: Tanzania haina bus la parade kwa mabingwa kuonyesha kombe,Utopolo kakodini zambia

    Amini usiamini nchi nzima hii haina bus yale kama yanayotumika nchi zilizoendelea kufanya city guiding tourism , yaani huku team ikishinda ni wachezaji na benchi la ufundi ni kupakizwa kwenye ma fuso au tandam, Godamn it Natoa rai kwamba msogee hapo zambia tu mkakodishe hili bus ndugu zangu...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea mkopo wa trilioni 1.2 kutoka Benki ya Dunia. Kuboresha tabia nchi, usalama na barabara

    Benki ya Dunia imeipa Serikali ya Tanzania trilioni 1.2 kwaajili ya tabia nchi, barabara na viwanja vya ndege. Nadhani sasa ni muda wa kuondoa tozo au kuambiwa siku ya ukomo. Kiuchumi mkopo unakwenda kusisimua mzunguko wa fedha hasa kama sehemu kubwa ya hizi tenda yatapewa makampuni ya hapa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata muundo wa Serikali za Tanzania na Zanzibar?

    HABARI WAKUU, SERIKALI AU TAASISI YOYOTE DUNIANI LAZIMA IWE NA STRUCTURE Ipo hivi serikali yetu ina OFISI YA RAISI, OFISI YA MAKAMU WA RAISI na OFISI YA WAZIRI MKUU Chini ya hao kuna wizara TAASISI zote km TBA, TRA, TANESCO, BOT zipo chini ya wizara Apo kuna mpangilio mfano BOT yupo chini...
  4. JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga nusu fainali ya kombe la FA Tanzania bara!

    Bashiri matokeo sahihi ya kesho kati ya simba vs Yanga! mimi naenda 1-1.
  5. JamiiForums Tanzania Legal Officer II at Tanzania Automotive Technology Centre (TATC-Nyumbu)

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) synonymously known as “Shirika la Nyumbu” was formally established on the 14th December 198S through a Presidential Order, made under the Public Corporations Act 1969. TATC’s mission Is to develop a reputable capacity for...
  6. JamiiForums Tanzania Technician II - 4 Posts at Tanzania Automotive Technology Centre (TATC-Nyumbu)

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) synonymously known as “Shirika la Nyumbu” was formally established on the 14th December 198S through a Presidential Order, made under the Public Corporations Act 1969. TATC’s mission Is to develop a reputable capacity for...
  7. JamiiForums Tanzania Artisan II - 4 Posts at Tanzania Automotive Technology Centre (TATC-Nyumbu)

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) synonymously known as “Shirika la Nyumbu” was formally established on the 14th December 198S through a Presidential Order, made under the Public Corporations Act 1969. TATC’s mission Is to develop a reputable capacity for...
  8. JamiiForums Tanzania Maximo to attend Tanzania football summit in Zanzibar

    It's greats especially in expanding sports tourism thank mama #SSH for an unique exposure Dar es Salaam. Former Tanzania national football team (Taifa Stars) head coach Marcio Maximo is expected to be among dignitaries who will attend Tanzania’s second Football Summit scheduled to take place on...
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hatuna mgojwa wa Monkeypox nchini

    Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini. - Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania zasaini mpango mpya wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni

    Serikali za China na Tanzania jana Alhamis zilisaini mpango mpya wa 2022-2025 wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni unaolenga kuimarisha ushirikiano wa pande mbili kwenye nyanja mbalimbali. Kwa mujibu wa ubalozi wa China nchini Tanzania, mpango huo uliosainiwa jijini Dar es Salaam na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza msako wa kilimo cha bangi

    Mamlaka za kupambana na dawa za kulevya Tanzania zimeanza msako wa nchi nzima kwa watu wanaolima bangi. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA) Gerald Kusaya amesema Jumatano kuwa heka 21 za bangi zilizogunduliwa katika wilaya za Arumeru na Monduli mkoani Arusha...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania kununua ndege tano ili kuhimiza maendeleo ya sekta ya usafiri wa anga nchini

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Tanzania Bw. Makame Mbarawa alisema Tanzania inapanga kutumia shilingi bilioni 468 (sawa na dola takriban milioni 201 za kimarekani) kwa ajili ya kununua ndege tano mpya ili kuhimiza maendeleo ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL). Mbarawa amesema katika mwaka...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatangaza kuchukua hatua za kudhibiti wanyama pori wanaopotea njia

    Mamlaka za Tanzania zimetangaza kuchukua hatua za muda mrefu na mfupi zinazolenga kudhibiti wanyama pori wanaopotea njia kutoka kwenye maeneo yao wanayohifadhiwa na kufanya uharibifu kwenye vijiji. Kwenye taarifa yake Waziri wa Maliasili na Utalii Pindi Chana amesema wanyama hao wakiwemo tembo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini majasusi wa Tanzania wataanza kuzuia (prevent) uhalifu badala ya Sasa ambapo wanafichua maovu baada ya serikali/wananchi kupata hasara?

    Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria. Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Covid-19 bado ipo Tanzania?

    Nina flue, napiga chafya, nahohoa, naahirisha mwili unauma na kuchoka pia sina hamu yakula ila sina home. Je inaweza kuwa ni Codid? Nianza dose ya Azuma. Naomba jukwaa linishauri
  16. JamiiForums Tanzania Comediams wa Kenya wanafanya poa kuliko wa Tanzania

    Habari za wakati huu wadau, naimani mko fresh na mnaendelea vyema kukimbiza gurudumu la utafutaji. In fact comedians wa Kenya wako vizuri sana kwenye tasnia hiyo, yaani si watu ambao wanaforce lakini automatically tu unajikuna unawafurahia, hasa content zao, the way they play a particular role...
  17. JamiiForums Tanzania Unsung Heroes: Mashujaa wasiopewa heshima yao hapa Tanzania

    Tanzania kuna watu wengi kwenye nyanja mbalimbali ambao wamefanya makubwa kwenye nchi lakini hawatajwi wala kupewa heshima wanayostahili. Sasa mimi nitawataja wachache na yoyote anaemjua mtu aliyefanya jambo kubwa aongezee. P Funk Majani Huyu ndio baba wa bongofleva. Formula tunayotumia sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Ufaransa kuwekeza dola bilioni 4.2 Tanzania

    Haijawahi kutokea- Ufaransa mbioni kuwa muwekezaji nambari wani Tanzania. Ufaransa itawekeza zaidi ya dola bilioni 4.2 katika kipindi cha miaka mitano. Asiyemuelewa mama kindly spare us the noise. === Dar es Salaam. The French public and private commitment for Tanzania over the next five years...
  19. JamiiForums Tanzania TotalEnergies Tanzania pours millions to winners of the 3rd Edition of the Startupper of the Year Challenge

    TotalEnergies Marketing Tanzania Pouring in Millions as it Announces The Winners of The 3rd Edition of The Startupper of The Year Challenge by TotalEnergies The Winner, of the 3rd edition of the Startupper of the Year Challenge by TotalEnergies , Innocent SULLE for the Award for Best...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania Tax regime inahitaji mabadiliko ya kimawazo, bidhaa zile zile majirani bei ni ndogo kuliko hapa kwetu!

    Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo. Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani. Hili ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…