tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania escaped recession in 2020: This is President Samia Suluhu’s comeback from COVID-19 economic woes

    Tanzania avoided a recession in 2020, but the COVID-19 pandemic has significantly impacted lives and livelihoods across the country. The emergency of the COVID-19 novel coronavirus plunged the global economy into a recession in 2020, and the pace of recovery remains uncertain among advanced and...
  2. JamiiForums Tanzania Janga kubwa katika Tanzania ni viongozi kutaka kuwa ma-celebrities

    Ndugu zangu, Awali ya yote naomba niseme naijua kiasi fulani historia ya taifa hii. Kwa mtazamo wangu, kuna 'legacy tricks' zinazotoka toka kipindi cha ujamaa ambazo tumezishikilia, hasa systems za nchi hii, kwa kuwa kwa mtazamo wao zilifanya kazi huko nyuma kwa hiyo hawataki kuziacha. Hii...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania unaendelea kuleta mafanikio

    Fadhili Mpunji Sekta ya kilimo ni moja ya maeneo yenye fursa kubwa za ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika, lakini hadi sasa eneo hilo liko nyuma ikilinganishwa na sekta nyingine. China ni nchi ambayo kilimo ni jadi yake, na katika miaka ya hivi karibuni maendeleo ya kiuchumi na...
  4. JamiiForums Tanzania Human Resource Officer at Bank of Baroda (Tanzania)

    HR (Human Resource) Officer Dar es Salaam Bank of Baroda (Tanzania) Ltd Bank of Baroda (Tanzania) entered the then Tanganyika way back in 1956. Bank of Baroda, a leading Public Sector bank in India. It also has wide international presence. It ranks 152 amongst the top 1000 in the world...
  5. JamiiForums Tanzania Operations Manager at (R4D) Tanzania

    Operations Manager Dar es Salaam Results for Development is a global nonprofit strategy consulting organization. Results for Development (R4D) is a leading non-profit global development partner. We collaborate with change agents around the world — government officials, civil society leaders...
  6. JamiiForums Tanzania HR Assistant at Rentokil Initial Tanzania

    HR Assistant Dar es Salaam Rentokil Initial – Tanzania Pest Control & Hygiene Services Rentokil Initial: Rentokil Initial is a Global services company employing over 45,000 colleagues across 85 countries. The Company is at the cutting edge of technology and innovation as it strives to...
  7. JamiiForums Tanzania Non Executive Director at VODACOM Tanzania Plc

    Non Executive Director for Vodacom Tanzania PLC Dar es Salaam, Dar es Salam, Tanzania, United Republic of Overview Description Sitholizwe Mdlalose appointed as a Non-Executive Director The Company announced on 10 May 2022 that Sitholizwe Mdlalose, the Company’s Managing Director will be...
  8. JamiiForums Tanzania Field Associate at UNHCR Tanzania

    Field Associate Job Title Field Associate Job ID 38264 Location Kigoma, Tanzania- U.R. Of Salary Grade G6 Hardship Level C Family Location Type Family Eligible Applicants This position is advertised open to Group 1, Group 2 and external applicants. Duties and Qualifications Field Associate...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania tutumie ujasusi kuiba teknolojia, hakuna atakayetupatia teknolojia

    Salama wandugu, Kwa matokeo haya ya form six na hasa zile shule za vipaji maalumu kufanya vizuri, Je Serikali inawatumiaje kwa sababu kuna wengi wanaishia kwenda nje na kusoma na kuishia kufanya kazi kwenye makampuni nje Kama yule mtanzania ambaye yupo kampuni ya Boeing Marekani. Watanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe bajeti ya Tanzania inaweza kuwa Tsh. Trilioni 2 na chenji ikabaki? Inafikirisha!

    Mwanzoni mwa utawala wa mama Samia, kuna mkopo wa trilioni 1.3 wa masharti nafuu ambao ulikopwa kwa ajili ya kupambana na janga la korona. Huu mkopo ulipata umaarufu zaidi baada ya aliyekuwa spika wa bunge mh. Job ndungai kuhoji kwanini mkopo huo umeombwa wakati tunaweza kutumia hela zetu za...
  11. JamiiForums Tanzania Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

    Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel...
  12. JamiiForums Tanzania Ajira Mpya 44 Tanzania

    Deleted
  13. JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais Samia suluhisho pekee kwa Bandari Tanzania ni hili

    Amani iwe nanyi Leo Rais wa JMT amemtumbua Mkurugenzi wa Bandari Ndug Erick Hamis. Pamoja na kumtumbua Rais Samia amelalamika juu ya efficiency ya Mamlaka yetu ya Bandari na kusema kuwa Mamlaka hii ingekuwa inafanya kazi vizuri ingeweza kuchangia hata nusu ya mapato ya Bajeti yetu. Ni kweli...
  14. JamiiForums Tanzania Ni upi mchango wa wanazuoni wetu katika siasa za Tanzania? Je, wanashauri, wanaponda, wanasifia?

    Salaam Ndugu zangu, Nimekuwa nafuatilia mienendo ya wanazuoni wetu wakiwemo walimu na maprofesa wa vyuo vikuu kadhaa nchini kwetu. Nimegundua asilimia chache sana ndo inafanya kazi kwa ufasaha hasa linapokuja suala la mchango wao katika jamii kwa upande wa siasa. Wengi wetu wametekwa na mambo...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa

    Kauli ya Waziri Kilimo Hussein Bashe kuilazimisha na kuishinikiza Benki Kuu ya Tanzania kuacha kusimamia sheria zilizopo na kufanya upendeleo kwa Benki ya Ushirika katika mfumo wa utoaji wa mikopo. 1. Benki Kuu ya Tanzania imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
  16. JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya Tanzania sasa ni mtihani

    Kilimo cha nyanya nchi Tanzania kimekuwa kigumu kutokamna na mambo mengi: uhaba wa mbolea ukiwa kinara. Katika msimu uliopita mfuko wa mbolea kg50 uligharimu takribani USD 20, kwa sasa mfuko mmoja unagjarimu zaidi ya laki moja. Je, mkulima atapata faida?. Wakati Bwana Lossim Lazzaro...
  17. JamiiForums Tanzania Yupi forward/shipping agent china mpaka Tanzania mwenye gharama nafuu?

    Wadau nataka kusafirisha mzigo kutoka China mpaka Dar es salaaa, Shipping agent niliyempata gharama zake ni Dola 400 kwa ujazo CBM 1. Kama kuna mwenye gharama nafuu zaidi naomba mawasiliano yao.
  18. JamiiForums Tanzania Waraka kwa Kanisa

    KWA KANISA LILIKO TANZANIA ANDIKA: Nayajua matendo Yako ya kuwa umeacha kuhubiri kweli ya Kristo yenye uzima na badala yake unahubiri injili ya vitu viharibikavyo, Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na nyumba nzuri? Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na gari zuri? Je, Kristo alisulubiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Utajibuje ukiulizwa utaifanyia nini Tanzania?

    Wakuu, Kama swali lilivyo, majibu tafadhali. Nianze mimi Binafsi! "Nitahakikisha rasilimali za Watanzania zinawanufaisha Moja KWA moja! Hadi Sasa hakuna manufaa ya Moja kwa Moja ya uwekezaji wa rasilimali zetu kwa Watanzania wenzangu. Nashangaa eti hadi leo hakuna gawio KWA KILA Mtanzania...
  20. JamiiForums Tanzania 2022: Naliona Jeshi la Polisi Tanzania likifanyiwa marekebisho makubwa

    Jeshi hili lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia neno usalama wa Raia ndipo chimbuko la mabadiliko ninayoyaona mbeleni mwakahuu. Jeshi hili halijawahi kuwa karibu na Raia hata kidogo! jamii ambayo inaweza kukimbilia polisi ni wezi wanapokuwa wamebananishwa kipigo kikaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…