tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

    Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa. Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja. ========...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's KenGen eyes Tanzania geothermal deals

    KenGen is eyeing drilling deals in Tanzania in what looks set to cement the Kenyan electricity producer as the leading geothermal power company across the continent. KenGen acting managing director Abraham Serem told the Business Daily that the firm is awaiting a response from the Tanzanian...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa matunzo kwenye hifadhi za barabara Tanzania

    Utangulizi Hifadhi nyingi za barabara nchini Tanzania zimeingiliwa kwa matumizi mbalimbali ya wananchi wakiwemo wafanyabiashara na watoa huduma wadogo wadogo wakati na wakati mwingine wale wakubwa. Maeneo kama Tegeta kwa mfano, ama Bunju ama Banana ama Gongo la Mboto ama Mbagala kumekuwapo na...
  4. JamiiForums Tanzania Tangazo kwa wanaume wote Tanzania

    Huyu binti wa katikati mkae nae mbali, nimeshamchagua
  5. G

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa ni kwanini madaktari wanafunzi wa Sudan wameamua kukimbilia Tanzania badala ya Kenya na Uganda majirani

    Tanzania hatuna mpaka na nchi za Sudan/ sudan kusini, sasa sielewi wetumia kigezo gani kwa hawa madaktari wanafunzi kuja kuendelea na masomo DSM kuliko Nairobi na Kampala!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Tanzania health Summit

    Wakuu nani anajua kuhusu hii tuzo inayotolewa na shirika la Tanzania health summit?. Naombeni Nipate ABC mana ndugu yangu nae pharmacist nimeiona hapa www.ths.or.tz
  7. JamiiForums Tanzania DCEA yakamata Dawa za Kulevya aina ya Heroin ambazo zingeathiri Watu milioni 4.8

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesoma ripoti ya Operesheni iliyofanywa na mamlaka hiyo kuanzia Machi 25, 2023 hadi Juni 19, 2023 ikiwa ni takribani miezi miwili na wiki tatu ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uhalifu wa dawa za...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania Yatakiwa Kuwa na Vyanzo Vingi vya Umeme Ili Kufikia Megawati 10,000

    PROF. SOSPETER MUHONGO - TANZANIA IWE NA VYANZO VINGI VYA UMEME KUFIKIA MEGAWATI 10,000 ILI KUKUZA UCHUMI NA PATO LA WATANZNAIA Mbunge wa Musoma Mjini (CCM), Mhe. Profesa Sospiter Muhongo ameshauri kupunguzwa bei ya umeme ili Watanzania wengi waweze kuutumia. Profesa Muhongo ameyasema hayo leo...
  9. JamiiForums Tanzania Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

    Kwa namna zote inaonesha wapinzani wa mkataba wa DP world hawana hoja zaidi ya kwamba huo mkataba wa uwekezaji mkubwa unahusisha nchi ya kiarabu. Inashangaza kwamba mikataba kama hiyo ilikwishafanyika nchi za jirani na Tanzania miaka kadhaa iliyopita na hakukuwa na kelele. Kama kuna nchi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania DP-World nuru ya kuboresha utendaji na ufanisi katika sekta ya Bandari nchini Tanzania

    Wadau wote na waungwana! Mchakato unaendelea katika kufanikisha kuingia mkataba na kampuni ya DP World ni jambo jema ambalo litaleta Mapinduzi makubwa katika sekta ya Bandari nnchini. Hayo maneno yote yanayosemwa kuhusu ujio wa DP World ni hisia tuu bila ya kuwa na uhalisia wowote na ndio...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji katika Uchunguzi , Tanzania na Afrika

    Utangulizi: Uwajibikaji ni msingi muhimu katika jamii yoyote iliyo na utendaji mzuri, ikilenga kuwafanya watu na taasisi kubeba jukumu la vitendo na maamuzi yao. Katika muktadha wa jamii na uongozi wa Kiafrika, uwajibikaji una jukumu muhimu katika kukuza utawala bora, kuimarisha imani, na...
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

    Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe: MAONI YANGU Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza, Jaribio la nchi jirani lakwama Tanzania

    Jirani anatapa tapa!! Baada ya kujenga Bandari ya Lamu akitegemea kulikamata soko la Afrika Mashariki huku akitarajia kuiwekea gati zaidi ya 30 ambazo zitaendeshwa na sekta binafsi, huku akiimarisha bandari ya Mombasa na kuweka mipango kujenga SGR kuja Tanzania na SGR nyingine kwenda Congo ili...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Kichwa cha andiko letu: Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania. Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana. Hali hii imekuwa ikisababisha ukosefu wa fursa za maendeleo na kuathiri ukuaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Ni jinsi gani Viongozi wa sasa wanaweza kurejesha Tanzania ya Viwanda ya Mwalimu Nyerere?

    Utangulizi: Tanzania ni nchi iliyojaaliwa rasilimali nyingi sana zinazofanya ionekane ni nchi yenye fursa nyingi za uwekezaji, masoko ya ndani na nje, na nguvu kazi yenye uwezo. Kwa kutumia rasilimali hizi, kuunganisha nguvu na kuchukua hatua madhubuti, Tanzania inaweza kurejesha hadhi yake...
  16. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Tunafungua Shauri Mahakama Kuu kwa Hati ya Dharura

    Sakata la bandari zetu kupigwa mnada wakili Boniface Mwabukusi Boniface Mwabukusi amefanya uchambuzi wa mwisho na kuanisha mapungu ya kisheria yaliyopo kwenye mkataba huo. Kwamba kutokana na mapungufu hayo ya kisheria tutaenda Mahakama Kuu Tanzania kufungua shauri kwa hati ya dharura. Tutaiomba...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini tulimchagua Twiga awe Nembo ya Taifa la Tanzania?

    Najua lilikuwa ni Chaguo la kisiasa likiwa na sababu zake Twiga kiasili ni Mnyama mpole, mnyonge asiyependa shida na Chakula chake ni majani laini Twiga hawindi ila Nyakati fulani anawindwa na wanyama " wakali sana" like Simba, Chui na Kundi la " Mbwa mwitu" Kwanini tulimchagua Twiga?
  18. T

    JamiiForums Tanzania What has the devil done to us until we don't appreciate value of our things?

    Unlimited contract? Again all the ports of Tanganyika? This means that the next generation, if they are not given an explanation why DP is running all the ports in the country, they will know that this country is ours and theirs!! Even if Tanzanians have given us green water to drink, we will...
  19. JamiiForums Tanzania Hali ni tete sana, nini kifanyike?

    Kama humu ndani kuna walimu kuanzia ngazi ya awali mpaka university mtakubaliana nami katika Idadi ya watoto wa kike katika shule za awali hadi Msingi ni kubwa kuliko watoto wa kiume,nenda shule yoyote ya msingi, sekondari au chuo kikuu utagundua hilo. Mfano kwa sasa hapa University of Dar es...
  20. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

    Leo majira ya saa 10 alasiri Taifa stars itachuana na Niger katika mchezo wa kufuzu Afcon 2024. Tutakuwa mubashara kupitia uzi huu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…