tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Market research and training opportunities in Tanzania

    Hello everyone...! I hope you are doing fine..I am posting this thread because I believe there will be someone here who is dealing with this issue My name is Festo Kaguo and I'm a freelancer researcher. Few weeks ago I met with a training company from UAE that provides training opportunities...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Upinzani Tanzania: CHADEMA wanashangilia ACT kuibiwa kura na CCM

    Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo. Maajabu ni kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Dr. Ndumbaro Remove the whole Executive Committee of entire Tanzania Olympic Committee (TOC) are Corrupted since 2002.

    Honorable Minister, we would like to put it in your attention existence of the following facts; 1. That, since 2002 Tanzania Olympic Committee’s current top leadership has been in power untouchably and since then Tanzania has never gained a single Olympic Games Medal. 2. That, since 2002 there...
  4. JamiiForums Tanzania Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuanzisha somo jipya la Historia ya Tanzania alioyoagiza Hayati Magufuli umeishia wapi?

    Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa. Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Uwanja unauzwa Mlimwa "C" karibu na makazi ya Waziri Mkuu wa Tanzania. Millioni 50

    🥀SEHEMU:-MLIMWA "C" MKOA:- DODOMA MJINI 🏀Kina fensi upande mmoja 🍀UKUBWA WA UWANJA:-1,091 sq.m ✅BEI:- MILLIONI 50. 🇹🇿MAWASILIANO:-0622 599 002
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndumbaro kutumbuliwa: FiFa huenda ikaifungia Tanzania

    Kauli ya Waziri wa Michezo Ndugu Ndumbaro kuagiza wananchi watakao-vaa jezi ya Mamelodi au ya Al ahly wakamatwe na kupelekwa polisi ama waingie kwa Passport imeleta sintofahamu. Chama cha Soka CAF kimepenyezewa habari hii na huenda kama kawaida wananchi watakao ingia na jezi hizo watakamatwa...
  8. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania ina shida gani? Eti Physics, Kiswahili na Geography nayo ni combination moja

    Lengo ni nini? Haya maamuzi yamefanyika kwa kushirikisha wataalamu kweli? Tunakusudia kujenga taifa la aina gani? Mtu akisoma Physics, Kiswahili na Economics (PKE) anaadaliwa kuwa nani? Au anayesoma Chemistry, Comerce na Mathematics (CCM) mnamuandaa kuwa nani kama sio kuwa chawa? Nadhani idadi...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

    1. Mzize - Mchezaji wa Yanga Ukristo kwenda uislam 2. P Funk - Producer Ukristo kwenda uislam 3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira Uislam kwenda Ukristo 4. Barnaba - Msanii wa Muziki Ukristo kwenda uislam 5. Mwijaku - journalist infuencer Ukristo kwenda uislam 6. Young killer -...
  10. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania wanapaswa kujifunza kitu kwa Eric Omondi, sio lazima kujipendekeza kwa Serikali ili maisha yako yaende

    Msanii wa Comedy kutoka Kenya, amekuwa akifanya vitu ambavyo kikawaida tumezoea kuona vikifanywa na wanasiasa kwa lengo la kutafuta huruma za wananchi waje kumpigia kura wakati wa uchaguzi. Ingawa pia, inaweza kuwa ni pia mipango ya Erico, you never know. Lakini kitendo cha kufanya tu hivyo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Tanzania wachekelea baada ya kuzinduliwa njia mpya ya meli kati ya China na Dar es Salaam

    Hivi karibuni Tanzania ilizindua njia mpya ya meli ya moja kwa moja kati ya China na Bandari ya Dar es Salaam. Huduma hii mpya ambayo inatarajiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa muda wa mizigo kusafiri kutoka China na kuwasili Tanzania, kutoka wiki sita (siku 42) hadi wiki tatu (siku 21), inaonekana...
  12. JamiiForums Tanzania School Improvement Project Officer at So They Can Tanzania March, 2024

    Position: School Improvement Project Officer Reports To: Education Program Manager Location: Babati District, Manyara Region Contract Type: Employment ABOUT THE SCHOOL IMPROVEMENT PROJECT: So They Can collaborates with the Babati District Council, Wards and Village Councils and communities, to...
  13. JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    BARUA YA WAZI KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KASHFA MBALIMBALI ZA BALOZI MTEULE WA RWANDA NCHINI TANZANIA GENERALI PATRICK NYAMVUMBA. Ndugu Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan nakusalimu na kukupongeza kwa sababu...
  14. JamiiForums Tanzania Ufanisi wa Bima za NHIF Tanzania

    Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza watoa huduma za afya Tanzania, lakini kuna swala nimelishuhudia ambalo sidhani kama lipo sawa. Binafsi nilipatwa tatizo la macho, nikaenda hospitali (ipo Dodoma) nikawa nimeonana na daktari kwa kutumia bima ya NHIF ambayo mimi ni mteja wao. Nilionana na...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania tutacheza mechi za kimataifa ratiba hii

    Ndg Wacheji wetu walau wataoenekani duniani
  16. JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu Nchemba (MP), has thanked Denmark for contributing to the development of Tanzania in various economic and social fields

    The Minister of Finance, Honorable Dr. Mwigulu Lameck Nchemba (MP), has thanked Denmark for contributing to the development of Tanzania in various economic and social fields, as well as the construction of the Standard Gauge Railway (SGR) project from Morogoro to Makutupora in Singida region...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala Alioanzisha Diamond Plutinum Kuwa Rais Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania ni Mhimu ukatiliwa Maanani

    Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania. Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo; 1. Ni mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Taifa la Tanzania, 2. Pamoja na kuwa ni mwanamke,amefanya kazi bora...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Aibu: Waajiriwa wanaojiweza ni wengi kuliko wafanyabiashara. Maeneo ya kishua kuna waajiriwa wengi kuzidi wafanyabiashara

    Inashangaza sana kuona nchi iliyobarikiwa rasilimali kibao kukuta wafanya biashara waliotoboa ni wachache, WHY? Mbaya zaidi karibu top 20 wote ni wageni waarabu na wahindii kina Bakhresa, Mo, GSM. bado nawaaita wageni sababu huwa wanaishi kivyao, huoana wao kwa wao, huzikana wao kwa wao, si...
  19. JamiiForums Tanzania Presidential Transition in Tanzania Not as Smooth as Previously Thought

    The belief that the presidential transition to Tanzania’s very first woman was a smooth transition after President Magufuli died is declared to not be as peaceful as it was observed in 2021. Under Article 37(5) of the Constitution of the United Republic of Tanzania, the vice president shall...
  20. JamiiForums Tanzania Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni: 1. Saratani (Cancer) 2. Vidonda vya tumbo 3. Kisukari Ongezeeni mengine hapo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…