tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Yaani nimenunua Mwenyewe Nguo ya Mamelodi Sundowns halafu Waziri wa Tanzania anipangie namna ya Kuivaa Jumamosi?

    Nina Miaka 20 sasa sijamvunja Mtu Kolomero na kuyageuza Macho yake Kisogoni. Sasa ole wake nione Askari yoyote Siku ya Jumamosi amakuja kunifuata GENTAMYCINE Uwanja wa Mkapa Kunikamata kwakuwa Mimi ni Mtanzania ( Shabiki wa Simba SC ) nimevaa Jezi ya Wageni Mamelodi Sundowns FC. Uzalendo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape afanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Tanzania

    Waziri Nape Afanya Mazungumzo na Balozi wa Finland Tanzania Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting Ofisini kwake jijini Dar es Salaam aliyeambatana na Mkuu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Umeme ulianza kutumika Tanzania mwaka 1908 walishindwa vipi kuboresha mitambo madhubuti miaka yote hiyo?

    Years African Countries Started Using Electricity⚡ South Africa 🇿🇦 - 1860 Kenya 🇰🇪 - 1875 Egypt 🇪🇬 - 1893 Nigeria 🇳🇬 - 1896 Zimbabwe 🇿🇼 - 1897 Ethiopia 🇪🇹 - 1898 Mauritius 🇲🇺 - 1899 Tunisia 🇹🇳 - 1902 Zambia 🇿🇲 - 1906 Uganda 🇺🇬 - 1906 Tanzania 🇹🇿 - 1908 Morocco 🇲🇦 - 1914 Ghana 🇬🇭 -...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la mchele mbovu kutoka Tanzania, Rwanda

    Mchele Unaoingizwa nchini Rwanda walaumiwa kwa kukosa viwango vilivyo andikwa ktk vifungashio . .. Mwishoni mwa mwezi uliopita, habari za utapeli na uaminifu katika mamia ya tani za mchele kutoka Tanzania hadi Rwanda zilitawala vichwa vya habari vya vyombo vya habari vya ndani. Baadhi...
  5. JamiiForums Tanzania 1979-2024 takwimu za watu duniani walipota maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Tanzania mpaka leo ipo kwenye kundi la top 5

    Kuna video ikionesha takwimu za tokea ugonjwa wa ukimwi kuingia mpaka sasa yani ulitokea uganda ila uganda kashindwa kimashindano na Watanzania. Tazama video hii: Ukimwi upo nyie wa mada zenu kula kimasihara. https://www.youtube.com/watch?v=zEpylI1uhg0
  6. JamiiForums Tanzania Kama umezaa watoto wengi na unaishi Tanzania au Afrika laana ya umasikini itakutesa sana wewe na uzao wako wote

    Familia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu. Baada ya kufuatilia haya mambo kwa muda mrefu nahitimisha kwa kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati...
  7. JamiiForums Tanzania Nawashauri vijana wenzangu Udalali ndiyo msingi wa kipato kwa dunia ya leo, hususani Tanzania

    Assalam Alaykum! Wadau wa JF kila siku kumekuwepo na kawaida ya kuunda nyuzi tofauti za watu kuomba ushauri wa kujikwamua kimaisha lakini wengi wa wachangiaji hawaoneshi nia na azma ya kusaidia,waomba ushauri wengi huangukia patupu leo mimi @Muhafidhina nimeamua kutoa ushauri kwa vijana...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
  9. JamiiForums Tanzania Tunauza miche ya aina mbalimbali Tanzania nzima

    Agri acress farm kutokea Morogoro mjini Tanzania wanakuletea huduma bora ya miche mbali mbali ikiwemo miche ya matunda, mbao, maua na migomba. Wasiliana na mmoja wa wanna bustani kutoka Agri acress farm Morogoro na tuna kusafilishia moche yako Tanzania nzima popote ulipo. Piga simu au tuma...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mazingira hatarishi zaidi kwa Rushwa Nchini Tanzania

    Rushwa inaweza kustawi katika Mazingira mengi ikiwemo Pale ambapo hakuna Mfumo wa Uwajibikaji unaofanya kazi kwa ufanisi, Watu wanaweza kujisikia huru kufanya vitendo vya Rushwa bila hofu ya kufuatiliwa au kuchukuliwa hatua Aidha, panapokuwa na Udhaifu wa Taasisi za Sheria Rushwa inaweza...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za kufanya Full Body Check-up katika Public and Private Hospitals Tanzania

    Itabidi ujikaze kupima tu, hakuna namna mzee! 😄, kila la kheri!
  12. JamiiForums Tanzania Afrika walimbwende wapo South Africa na Nigeria, kwamba Tanzania wamejaa sura za baba tu how come?

    Afrika ni Nchi tatu tu zilizo Pata mataji ya walimbwende duniani south Africa, Nigeria na Egypt. 👸🏻 Miss World titles: 🇮🇳 India: 6 🇻🇪 Venezuela: 6 🇯🇲 Jamaica: 4 🇬🇧 UK: 4 🇿🇦 South Africa: 3 🇺🇸 USA: 3 🇮🇸 Iceland: 3 🇸🇪 Sweden: 3 🇨🇿 Czechia: 2 🇵🇱 Poland: 2 🇵🇷 Puerto Rico: 2 🇨🇳 China: 2 🇷🇺 Russia...
  13. JamiiForums Tanzania Juma kuu gumu sana la majonzi na vicheko kwa Klabu za soka za Tanzania

    moja, ni timu bora kabisa barani Africa, Simba S.C. hawa jamaa, wana ijumaa moja ngumu sana kiroho na kimwili. Ijumaa ya kushika moyo, huku jua nalo likififizwa na wingu zito la roho ya itakuaje uwanjani, dhidi ya mafarao wagumu na wabishi sana wa misri, ambao hawapendi kabisa nyavu zao...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni ya tathmini ya Moody's yaipandisha daraja Tanzania kutoka B2 kwenda B1

    Kampuni ya kutoa tathmini ya nchi juu ya uwezo wake wa kukopa na kulipa madeni, credit rating agency iitwayo Moody's imeipandisha daraja nchi ya Tanzania kutoka B2 kwenda B1. Pamoja na hilo nchi yetu bado iko kwenye kundi la nchi ambazo hazitabiriki. Yaani kuikopesha na kulipwa ni bahati...
  15. JamiiForums Tanzania Uelewa wa masuala ya kisheria ni mdogo sana Tanzania

    Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa masuala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii haimaanishi ni wale waliosoma sheria tu ndiyo wanapaswa kuijua sheria, NO kila raia anatakiwa awe japo na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya...
  16. JamiiForums Tanzania Dumuzi aendelea kukitafuna Chama cha Walimu Tanzania

    Chama cha walimu Tanzania ndio chama kikubwa kuliko vyote vya Wafanyakazi hapa nchini japo leo hii kina sura tofauti mbele ya jamii. Yanayojitokeza hivi sasa ni muendelezo tu wa vurugu zilizoanza baada ya kifo cha aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Msulwa 2017. Hiki ndicho kipindi ambacho...
  17. JamiiForums Tanzania Ninaumia moyo kila ninaposikia serikali ya Tanzania imeagiza ndege mpya ya biashara

    Wiki ijayo tunapokea ndege nyingine ya fedha nyingi sana ambayo itaungana na ndege zingine za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Ununuzi wa ndege za mabilioni si tatizo, tatizo ni pale tumeruka hatua muhimu. Tulipaswa kutatua masuala ya maji, umeme, elimu, na afya kwanza kabla ya kufikiria...
  18. JamiiForums Tanzania Kamati ya Nane ya pamoja ya Biashara (JTC) Kenya na Tanzania zakutana kutatua changamoto za Kibiashara

    JUMUIYA YA MKUTANO WA KAMATI YA NANE YA PAMOJA YA BIASHARA (JTC) KATI YA JAMHURI YA KENYA NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHUGHULIKIA MASUALA YANAYOATHIRI BIASHARA TAREHE 18 - 22 MACHI 2024, KISUMU, KENYA. 1. Mheshimiwa Dkt William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mheshimiwa Dkt...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna sheria inaruhusu au kukataza binadamu kumwita mwenzake KAFIRI?

    Nimemsikia mwanasiasa mmoja akitumia neno kafiri katika nyumba ya ibada hapa Mwanza. Pamoja na kwamba tunashirikiana naye kwenye imani na kwamba neno Kafiri limekuwa likitumika sana ila kwa tamaduni zetu Tanzania neno hili lina ukakasi mkubwa hasa katika matamshi ya kiswahili. Ni neno lakukwaza...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania population growth trend. A blessing or curse?

    The history of population counts in Tanzania dates back to 1910. The first modern census was conducted in 1958. After the union of Tanganyika and Zanzibar in 1964, other censuses were conducted in 1967, 1978, 1988, 2002 and 2012. Since 1967, the country has conducted decennial Population and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…